Daktari alifanya nikampoteza mchumba wangu Mercy

Sure, Hawa ndio washkaji wa faida sasa.
 
acha usukuma
 
Bitter truth hata mimi sipendi mwanaume dhaifu
Juzi kuna mtu aliandika mada fulani kuhusu mwanamke humuhumh nimemsahau akasema wnaawake tuko vice versa the guy kasema ukweli mtupu kiasi kadhaa kikubwa cha asilimia
Shule niliyosoma O-level tulikuwa tunafuga ng'ombe. Siku za week kulikuwa na mchungaji wa shule; weekends tuliwekeana zamu ya kuchunga kwa madarasa.

Shule yetu ilikuwa katikati ya Chuo Kikuu kimoja maarufu hapa nchini. Siku moja tukiwa tunaenda kuchunga tukakutana na wanachuo - msichana na mvulana.

Ajabu wote wakapiga kelele na kukimbia ng'ombe. Eti wanawaogopa. Ng'ombe ambao hata hawana shida yoyote!

This can tell of what we (men) have become. Sad!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…