reymage
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 12,203
- 28,789
Pole brooMimi naona mapenz siyo vita kukomoana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole brooMimi naona mapenz siyo vita kukomoana
Sure, Hawa ndio washkaji wa faida sasa.Tuendeleee........
Nipo zangu geto siku hiyo naona mesej ya Mercy "nimepata hiyo sup kwasababu yako". Kiukweli sikuwa na ham ya kujibu hata ile text ya Mercy huwezi amini nilikuwa nina hasira naye sana japo kupata kwake sup iliniuma.
Baadae nikaona hapana ngoja nimjibu, niliandika short text "pole, utaichomoa usiwaze". Mercy hakujibu tena.
Kulikuwa na baadhi ya nguo zangu kwa Mercy nikaona nazipataje maana nikama nilikuwa tyr nishaachwa.
Nikaona nizipotezee tu maana hazikuwa nyingi na za maana kivile. Niliona Mercy ile sup kwa kiasi flan ingempunguzia kasi na atajirud kwangu kumbe nilikuwa najidanganya.
Kuna siku nilikuwa katika baiki nasepa chuo njian ilinipita gari na nikahisi ni gari ya Dokta, nilikuwa nimekaribia kufika chuo. Niliona ile gar imesimama akatoka Mercy akasepa na gar ikageuzwa ikaondoka.
Siku hii nilijiona kama kuishi kwangu duniani ni adhabu kubwa, niliona ulimwengu umenielemea, nilichanganyikiwa sana na machozi yalinilenga.
Nilipofika venue nikamkuta Mercy yupo na wenzake wanapiga stors, niliwasalimia then nikasonga zangu kutafuta place nikae.
Kuna huyo dem tulikuwa tunasoma wote anaitwa Sozi, Sozi alikuwa ni mmoja ya walokuwa wananikubali sana na alifanya kila njia niwe naye katika mahusiano lakini nilikuwa nishazama kwa Mercy. Pale nilipoenda kukaa nilimkuta Sozi na madem wengine kama watatu kulikuwa na nafasi kama ya watu wawili ilikuwa imebak, Sozi aliponiona akaniita kwa bashasha akanambia niende kukaa naye eti kaniwekea seat.
Namimi sikukataa nikaenda, nilivofika wakalopoka "hey handsome njoo ukae hapa jamani tumekuwekea seat" hili bench kilikuwa hatua mbili mbele ya bench alokuwa amekaa Mercy. Nilipofika Sozi akanambia "handsome karibu, you are so handsome hivi unalijua hilo lakini?" Niliona kama ananizingua tu nikamzuga zuga tutaendelea kula stor.
Yale maneno ya Sozi yalifika alipokuwa amekaa Mercy na wenzake kwani mmoja wa marafiki wa Mercy yule Recho nilimsikia akisema "handsome wako kachukuliwa huko" nikawa makini kusikia Mercy angejibu nini lakini aliguna tu. (Mercy siyo talkative).
Sozi alianza kunilipua akasema saiv siwaelew wewe na Mercy mbona kama hampo sawa, nikamjibu achana na hayo mambo tupiga stor zingine. Sozi akacheka akanambia "nilokupa nafas ukachezea saiz tungekuwa tunaenjoy zetu, of course Sozi alikuwa ananipenda lakini sikutaka kuwa naye kwasabb ni mtu wa maneno mengi na mimi sipend dem wa hivo yan tusingedum.
Kile kitendo cha akina Sozi kuniweka seat na kunikaribisha kwa bashasha kilimfanya nijiamini kwa kiasi flan nikaona kumbe ninathamani kwa watu, nikaona Mercy kuniacha nisijione sina thamani nikamalizia kuwaza na kale kamsemo "ukinidelet wengine wananidowload"
Lecturer aliingia tukapiga pind then tukasepa, siku ile hatukuwa na vipindi vingi. Tulivotoka Mercy aliikiwa na gar akasepa. Hii hali nilijidanganya kwamba nishaizoea kumbe ilikuwa inaniumiza taratibu.
Washkaji walikuwa wananicheka sana kwasbb Mercy alikuwa anafanya kama kunikomoa na sikuwahi kudhani kama Mercy angefikia kufanya mambo ya kikatili vile kwangu kwasabb alikuwa ni dem mpole na mstaarabu sana.
Hali ile ya kudharirishwa na Mercy ilikuwa inaniharibu akili taratibu. Nilikuwa najiona kama nabadirika taratibu taratibu lakini nikawa siyatilii maanani yale mabadiriko.
Usiku nilikuwa natokwa sana na jasho, nikaanza kuwa mtu muongeaji sana, nikaanza kukonda Zaid na Zaid, nikaanza kuacha nywere zinakua mpka zinapitiliza yani kifupi nikaanza kuona kama naenda kuwa chizi lakini mimi nikawa najiona kawaida tu. Nilianza kuwachukia wanawake pia, nikawa nahasira nao tofauti na mwanzo.
Rafiki yangu Mbwambo alinigundua kwamba naenda kuharibikiwa, kuna siku alinifata akanambia anahitaji kuongea namimi nakumbuka ilikuwa tupo chuo kwahiyo tukapanga baada ya vipindi tutaongea wakat tunarud kitaa maana Mbwambo pia alihamia kitaa.
Njiani Mbwambo alinambia kwamba anaona sipo sawa na nahitaji nipate mtu wa karibu kwa kampani na uangalizi, nilimkatalia lakini akanisihi kwamba atahakikisha anakua namimi benet hatakubali kuiona nazd kuteseka. (Kama wenye shida za afya ya akili wengekuwa wanapata watu kama Mbwambo basi suicide cases zingepungua sana).
Mbwambo alinambia nichakue nihamie kwake au yeye ahamie kwangu, nikamwambia Haina haja lakini alisisitiza tena kwamba "kaka haupo sawa niamini mimi unahitaj kampani". Basi nikakubali nikahamia kwa Mbwambo.
See you......
Unapoteza muda mwingi kujibu comment wakati sisi tunaitaji episodeMimi naona mapenz siyo vita kukomoana
mbwambwo ni wapare.Ktk maisha hakikisha una rafiki wa kinyakyusa wanajua kutia moyo mnooo
acha usukumaBahati mbaya dunia inapambana kuwadhoofisha wanaume. Siku hizi:
Wanaume tumekuwa dhaifu kupita kiasi. Sijui hata tunaelekea wapi!
- Mwanaume kupika, kuosha vyombo, kufua, na house chores nyinginezo na mwanamke akiwepo imekuwa ujanja
- Mwanamke kuwa breadwinner wa familia ndiyo habari ya mjini, Unakuta mwanaume na akili zake timamu kabisa anatafuta mwanamke wa kusaidiana naye kutafuta mkate wa familia!
- Mwanaume kuongozwa na mwanamke wala siyo jambo la ajabu
Shule niliyosoma O-level tulikuwa tunafuga ng'ombe. Siku za week kulikuwa na mchungaji wa shule; weekends tuliwekeana zamu ya kuchunga kwa madarasa.Bitter truth hata mimi sipendi mwanaume dhaifu
Juzi kuna mtu aliandika mada fulani kuhusu mwanamke humuhumh nimemsahau akasema wnaawake tuko vice versa the guy kasema ukweli mtupu kiasi kadhaa kikubwa cha asilimia
Nawe unapika na kumfulia mpenzi wako?acha usukuma
Katika maisha kuna watu wanadhani kila mtu mwema ni mnyakyusa. huyo Mbwambo ni MPAREKtk maisha hakikisha una rafiki wa kinyakyusa wanajua kutia moyo mnooo
Okay ahsante kunirekebisha broombwambwo ni wapare.
kumsaidia mkeo ni dhambi?Nawe unapika na kumfulia mpenzi wako?
Ukimaliza hii stori yako nitakuja na yangu ''JINSI MKE WA JIRANI YANGU ALIVYOCHEPUKA NA KUNISALITI''Mimi naona mapenz siyo vita kukomoana
Sawa nimefutaKatika maisha kuna watu wanadhani kila mtu mwema ni mnyakyusa. huyo Mbwambo ni MPARE
kama kasumba kuhusu wasukuma na ukarimu. pumbavu. nina bad experience nao wasukuma. wana ukarimu wa kinafiki huku anakumaliza kwa kukuchekea.Katika maisha kuna watu wanadhani kila mtu mwema ni mnyakyusa. huyo Mbwambo ni MPARE
Ukimaliza hii stori yako nitakuja na yangu ''JINSI MKE WANGU WA JIRANI YANGU ALIVYOCHEPUKA NA KUNISALITI''
Halafu ukimaliza anakusifia? 😄kumsaidia mkeo ni dhambi?
PoaNimerudi sahz kuangalia kama umeshusha nondo nimeona umeshusha episode kadhaa shusha zingine Mkuu
Pumbavu zaokama kasumba kuhusu wasukuma na ukarimu. pumbavu. nina bad experience nao wasukuma. wana ukarimu wa kinafiki huku anakumaliza kwa kukuchekea.