Daktari alifanya nikampoteza mchumba wangu Mercy

Nimeuchukua ushaur nashukuru
Kijana pole sana na yote aliyokufanyia mercy na cha kufanya acha kuchati tena na mercy alafu pale unampiga biti dokta ndo ulimpa ushindi dokta alafu dokta sio kosa lake kosa la mercy kukuchiti angemkatalia hadi mwisho kwan angebakwa alfu ungempa wazo messy angebadili lain ya simu apo ndo ungekuwa umeua . WANAUME HAWANA MAKOSA KOSA LIPO KWA ALIYEKUMKUBALI MWANAUME mercy muoe tu ila mwambie awe mke wa pili kwanza oa pisi kali then mercy atafanya ujinga atajiona mavi da mapenzij acha tu kama mimi ningemloga dokta bucha na mercy ningemloga mikosi .Take time wazuri bado hawajazaliwa
 
Received
 
Naomba nikupe mrejesho wangu kuhusu huu mkasa wako:
1. Naona kwenye kichwa cha mkasa wako umeandika jinsi dokta alivyosababisha ukamkosa mchumba wako Mercy. Nikusahihishe kidogo, WEWE ndie uliesababisha ukamkosa Mercy, you need to know this ili ujifunze na ubadilike. Wanawake hawapendi wanaume ambao ni PUSSIFIED MEN, kama wewe ulivyokua kwa Mercy, there is no way Mercy angeku pick wewe over dokta, lilikua ni suala la muda tu. Badilika, never never never ever be a PUSSIFIED MAN. Man-up and be a FRAMED man, ulitakiwa kutengeneza your manhood FRAME, halafu kumvuta Mercy kwenye mfumo wako aishi ndani ya FRAME yako, not otherwise.Usimlaumu kabisa Mercy, wewe kama mwanaume ulifeli kwa 100% kwa kuwa a PUSSIFIED MAN.
2. Ulifanya makosa makubwa sana sana, kuanzia pale kuanza kusoma meseji za Mercy, kumtumia meseji dokta, kwenda kumpiga biti, etc. Hiyo ni weakness kubwa sana sana kwako. Hii inaendana na point # 1 hapo, ONLY PUSSIFIED MEN do this.
3. Unaendeshwa na hisia, hili ni kosa kubwa sana kwa mwanaume, mwanaume haendeshwi kwa hisia, bali kwa FACTS and LOGIC. Ukishakua mwanaume unaeendeshwa na hisia, unakua huna tofauti na mwanamke, so mchumba/mke wako anakuchoka unakua ni kama mzigo tu kwake, huna tofauti naye. Na akitokea tu mwanaume anaetumia facts & logic anambeba fasta tu, kama alivyobebwa Mercy na dokta. Jifunze namna ya kudhibiti hisia, usitumie hisia kufanya maamuzi. Hakuna mwanamke anaefurahia kuwa na mwanaume alietawaliwa na hisia.
DeMostAdmired
 
Haiwezi kuwa Atenolol it's more of Benzhexol. Atenolol ni Beta blocker haiwezi kuwa na hizo effect alizozielezea.
Lets Discuss kuhusu Side effects za Beta blocker kama Atenolol na Propranolol..

Tumia pharmacology Lets Discuss Side effects zake..

Mzee nichakuambia sio kwamba natoa kwa wagonjwa tu nimekuambia kuwa tumewahi sana kuzinywa kutoa Hofu na kujibu vizuri clinical Madaktari wa Zaman waliosoma Miaka ya zaman watakuwa wanasupport hiki kitu..

Benzhexol Zina induce Hallucination na Anxiety na vitu vinavyofanana na hivyo na haihusiani na euphoria hata kidogo..
Benzhexol hai Induce euphoria
 
Nzuri iyo safi...

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
 
Chief ungefunguka zaid ingependeza sana hasa izo mambo za PUSSIFIED MEN na FACT and LOGIC
 
Waooo....all t he best friend
Ila sikushauri kuoa huyo dada ,hyo ndoa utakufa siku si zako mdogo wangu huyo anaona wewe ni dhaifu na atakupelekesha mnooo
Subiri ujibiwe yale majibu ya kutafuta gunia za mkaaa ukimuoa she never Loved you na kama alikupenda but she took your lover for granted that's why she did hurt you badly!!!
Pole sana kwa hilo nakuombea upate mke sahihi mwenye mapenzi ya kweli na wewe na kam vipi mblok huyo Mercy kabisa usipate kuwasiliana nae kwa namna yoyote ile
Utafute mtu mwingine,yeye alichagua pesa baasi apendwe na pesa maana maumivu alokusababishia ukimuoa jiandae kufa mapema
Km kwao wanapesa baasi wamtafutie mwanaume mwenye pesa mwenziwe amuoe huyo ni kichomi brooo atakuumiza mbaya kabisa
Delete,remove,futa kabisaa mawasiliano nayee...
 
Bonge la ushauri
Tunaita makavu liveee
Bitter truth
No sugar coating hapo
Akikuelewa akuelewe km hajakuelewa baasi haelewi tenaa
 
Ukiwa kama mzazi unamshaurije binti yako anaenda chuo kikuu
Kwanza..Awe na hofu na Mungu
Pili...awe na hofu na Mungu
Tatu ...awe na hofu na Mungu

Mimi km mzazi siwezi na hakuna bingwa wa malezi duniani na hajawahi kutokea isipokua sisi kama wazazi au walezi tunawaada,kuwashauri na kuwapa muongozo kulingana na jamiii tunazoishi na imank zetu tunazoziabudu

Kama atamuogopa Mungu kikweli kabisaa...hatazini,hataharibkiwa kwa hali yoyote ile brooo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…