Naomba nikupe mrejesho wangu kuhusu huu mkasa wako:
1. Naona kwenye kichwa cha mkasa wako umeandika jinsi dokta alivyosababisha ukamkosa mchumba wako Mercy. Nikusahihishe kidogo, WEWE ndie uliesababisha ukamkosa Mercy, you need to know this ili ujifunze na ubadilike. Wanawake hawapendi wanaume ambao ni PUSSIFIED MEN, kama wewe ulivyokua kwa Mercy, there is no way Mercy angeku pick wewe over dokta, lilikua ni suala la muda tu. Badilika, never never never ever be a PUSSIFIED MAN. Man-up and be a FRAMED man, ulitakiwa kutengeneza your manhood FRAME, halafu kumvuta Mercy kwenye mfumo wako aishi ndani ya FRAME yako, not otherwise.Usimlaumu kabisa Mercy, wewe kama mwanaume ulifeli kwa 100% kwa kuwa a PUSSIFIED MAN.
2. Ulifanya makosa makubwa sana sana, kuanzia pale kuanza kusoma meseji za Mercy, kumtumia meseji dokta, kwenda kumpiga biti, etc. Hiyo ni weakness kubwa sana sana kwako. Hii inaendana na point # 1 hapo, ONLY PUSSIFIED MEN do this.
3. Unaendeshwa na hisia, hili ni kosa kubwa sana kwa mwanaume, mwanaume haendeshwi kwa hisia, bali kwa FACTS and LOGIC. Ukishakua mwanaume unaeendeshwa na hisia, unakua huna tofauti na mwanamke, so mchumba/mke wako anakuchoka unakua ni kama mzigo tu kwake, huna tofauti naye. Na akitokea tu mwanaume anaetumia facts & logic anambeba fasta tu, kama alivyobebwa Mercy na dokta. Jifunze namna ya kudhibiti hisia, usitumie hisia kufanya maamuzi. Hakuna mwanamke anaefurahia kuwa na mwanaume alietawaliwa na hisia.
DeMostAdmired