Daktari alifanya nikampoteza mchumba wangu Mercy

Unayajua mapenz wew?
 
Hata hvo sijasema kama bado Nina mpango na Mercy
 
Sawa bhna
 
Unayajua mapenz wew?
Sasa wewe endelea kuyasifia hayo mapenzi ukidhani wewe pekeyako ndio umeyapitia.like your so special on it.

Watu back on the days yalituumiza tukaumia haswa na kuibuka washindi na tumeyashinda ila sio kizembe hivyo kama unavyo yaendekeza wewe. Tulikonda hadi watu wakahisi tunangoma na siku sio nyingi tunakufa.

Yaani hadi siku mzazi wangu ananiona ni baba yaani unamuona kabisa anajikaza kulia huku akikuuliza unaumwa nini husemi nikasingizia chuo kigumu.

Hadi kuja kupona sio kizembe kama unavyo jiendekeza wewe.

By the way endelea kufarijiana na huyo singo maza wako hapo kama unadhani life is all about that.
 
NAHISI KUNA CHA KUJIFUNZA KATIKA HUU UZI U
Leta Uzi complete tujue nini kilikukuta
 
Mimi nilisha pona bana saizi nakula tu mema ya nchi.

Japo kua watu wanasema huwezi kumjua mwanamke ila Mimi nawajua wanawake A...Z.

Pindi mtakapo anza kutumia akili badala ya hisia mtakula mema mengi tu na hakuna mwanamke atakuumiza akili
 
Kwahiyo unatufokea ama?
 
DeMostAdmired Pale ulipogundua mercy anapigwa na Dr usingemwambia kitu, ungekua unajipigia tu, akikudanganya kaletwa na gari la uncle unamwambia poa, ungeenda unamtoa akilini polepole. Nilipokua kijana nikishaona demu ana dalili flan natafutaga wa kutulizia stress mapema sana, ni muhimu anakusaidia usipate stress
 
Hahahahaha dah

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
 
Nilimpenda sana
 
Nilimpenda sana
Kumpenda mtu sana sio tiketi ya wewe kuumia au kujidhuru.

Mbona yeye alivo dinywa tu na dokta alikufungia tintedi bila maelezo kujari utafanya nini.

Yamemshinda kwa dr ndio kaja kwako maana wewe ndio mnyonge wake yaani dr akikaza tena unaachwa mchana kweupe na kwa dharau kubwa sana.

Huyo ilitakiwa awe sexy toy lako na sio vingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…