DeMostAdmired
JF-Expert Member
- Oct 7, 2017
- 1,579
- 3,798
- Thread starter
- #1,241
Na hiyo juive point ya mtaani kwenu ilikuwa inaitwa SETO JUICE POI
Hata siijuiNa hiyo juive point ya mtaani kwenu ilikuwa inaitwa SETO JUICE POINT
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na hiyo juive point ya mtaani kwenu ilikuwa inaitwa SETO JUICE POI
Hata siijuiNa hiyo juive point ya mtaani kwenu ilikuwa inaitwa SETO JUICE POINT
Unayajua mapenz wew?Bila hivi hawa wanao zingua kwa kujifanya wanapenda huwa hawaelewi.
Yaani jitu halijihurumii....muda huu anaumwa hadi Moyo kisa huyo demu wake ila hakomi sasa tuongee nae vipi....?
Tumbembeleze kama mtoto au.....? Inabidi apate makavu live ili akili ifanye kazi
Hata hvo sijasema kama bado Nina mpango na MercyBila hivi hawa wanao zingua kwa kujifanya wanapenda huwa hawaelewi.
Yaani jitu halijihurumii....muda huu anaumwa hadi Moyo kisa huyo demu wake ila hakomi sasa tuongee nae vipi....?
Tumbembeleze kama mtoto au.....? Inabidi apate makavu live ili akili ifanye kazi
Sawa bhnaBado nasema tena walikuwa wanapendana , lazma utambue mercy kufanya maamuzi hayo kulikuwa na msababishi nyuma yake na sio aliamua tu na alishampiga an expected attack mara kadhaa jamaa akawa anajitetea, mwisho wa siku demu lazma aseme kama mm nawakatalia watu halaf mwenzangu anafanya bora namm nimwage mboga pengne Huku ndiko nnapopendwa kweli.
Kiufup ukiona mwanamke Hadi anachepuka asilimia 90 mwanaume ndio chanzo
Wanawake wanaugonjwa mmoja hiv wa kipumbavu huwa nauita yaani ni watu wakulipa kisasi kinachowaumiza wao wenyewe. ambacho awali hawajui kama kisasi hiko huwa kinawaumiza wenyewe, akikufuma na mtu anaweza panga atembee hata na rafiki yako akifkr anakukukoma kumbe kinachoumia ni kiungo chake.
Kuhus swala la kusex mara chache ni jambo la kawaida Sana hasa kwa watu wenye malengo ya kusoma wenyew huwa wanaona kufanya tendo kunapunguz akili nakumbuka binafsi nilikuwa na demu toka form 1 had form 4 sijawah kutembea naye zaidi ya romance tu kisa tulikuwa tunajifanya tunasoma nilitembea naye baada ya kumaliza shule kwahyo ni jambo la kawaida na huwa linatokea ila akitokea mmoja ni anapenda kusoma mwngne hapend hapo show show daily yaan na mmoja atamfuata mwenzake mazima.
Sasa wewe endelea kuyasifia hayo mapenzi ukidhani wewe pekeyako ndio umeyapitia.like your so special on it.Unayajua mapenz wew?
SawaMercy......
View attachment 2915733
Leta Uzi complete tujue nini kilikukutaSasa wewe endelea kuyasifia hayo mapenzi ukidhani wewe pekeyako ndio umeyapitia.like your so special on it.
Watu back on the days yalituumiza tukaumia haswa na kuibuka washindi na tumeyashinda ila sio kizembe hivyo kama unavyo yaendekeza wewe. Tulikonda hadi watu wakahisi tunangoma na siku sio nyingi tunakufa.
Yaani hadi siku mzazi wangu ananiona ni baba yaani unamuona kabisa anajikaza kulia huku akikuuliza unaumwa nini husemi nikasingizia chuo kigumu.
Hadi kuja kupona sio kizembe kama unavyo jiendekeza wewe.
By the way endelea kufarijiana na huyo singo maza wako hapo kama unadhani life is all about that.
Kwahiyo unatufokea ama?JAMANI SIJAKATAA KUSHUSHA EPISODES, STORY BADO HAIJAISHA TUWE WAPOLE KWANI HUKO MBELE MTAJUA MENGI MPAKA NILILAZWA HOSPITAL KAMA WIKI NA NUSU NILIPATIWA MATIBABU HOSPITAL YA JESHI YA KANDA MKOANI TABORA. NAJUA KUNA BAADHI YA WATU WANAIFAHAM NAWASHUKURU SANA MADAKTARI WALINIPAMBANIA NIKAPONA MPAKA HAPA NILIPO NAMSHUKURU SANA MUNGU NA MADAKTARI.
NISINGEPENDA TABIA YA KUNITOLEA LUGHA ZA MATUSI IENDELEE KWANI SO VIZURI MIMI NIMEAMUA KUSHEA NA NYIE STORY HII KWA RIDHAA YANGU SIO KWAMBA MNISHURUTUSHE.
Kuna watu wanajiona sana humu na wanajifanya kila kitu wanajua, sitaki kuwatag lakini wanajiujua.
Kumbe umesoma SUA afu education,😂😂 ni haki yenu wewe na mercy kushona vitenge maana pale mazimbu walimu ndo mnaongoza kwa ushamba😂😂😂Hapa tulienda na Mercy kuzurula ilikuwa ni weekend alinipigia hii picha
Hapo ni morogoro mazimbu@DeMostAdmired tabora moja hiyo sindio?
I second you..😂😂Wewe acha zako ebu shusha huo uzi .tunataka hiyo stori bana
Hahahahaha dahWANAWAKE NI WATU WA AJABU SANA, UNAONA KIPINDI HIKI KUNA UHABA WA SUKARI WEWE KIDUME UNAWEZA UKAWA NAPESA ZAKO ZA KUTOSHA ILA UPO BIZE NA MAMBO YAKO HAUPAMBANII MKEO APATE SUKARI NDANI KWASABABU YA KUADIMIKA KWAKE MTAANI, UNAWEZA UKAJA KUSTUKA MKEO KAGAWA MBUSUSU KWA FALA MMOJA TU KISA KILO MBILI ZA SUKARI ILI AANDAE KEKI YA BIRTHDAY YA MWANAE, HAWA WATU NI SHIDA.
Thanks am doing well
Ningepoteza muda mwingi zaid na mambo yalikuwa mengiKwanini usingewafuata mwenyewe dagaa badala ya ku-rizki pesa zako na kuwatumia wengine.. wakati biashara ilikuwa tamu
Nilimpenda sanaDeMostAdmired Pale ulipogundua mercy anapigwa na Dr usingemwambia kitu, ungekua unajipigia tu, akikudanganya kaletwa na gari la uncle unamwambia poa, ungeenda unamtoa akilini polepole. Nilipokua kijana nikishaona demu ana dalili flan natafutaga wa kutulizia stress mapema sana, ni muhimu anakusaidia usipate stress
Kumpenda mtu sana sio tiketi ya wewe kuumia au kujidhuru.Nilimpenda sana