Daktari alifanya nikampoteza mchumba wangu Mercy

Pumbavu wewe...sasa unafoka nini...kwani huwezi toa ushauri kistaarabu..

Malaya mwenyewe....kakojoe ulale ngurue pori wewe.
Kuna watu hua wanajifanya ni malaika sana kwenye haya maisha, wakati kuna page za maisha yao hawawezi kuzisoma hazarani.

Mtu hujamuoa, hamjatambulishana kwao wote mnazini. Unaanzaje kusema ana kucheat? Kwa mkataba wenu wa kilaghai mlio sainiana geto mkishuhudiwa na kitanda?

Huyo dada angeweza kua loyal, na mtoa maada akaja kumuacha tu mbele na kuoa mwanamke mwengine, na huenda mpaka kwenye hii story kuna kurasa zimerukwa za yeye kuchepuka.
 
KATA MAWASILIANO NA HUYO MWANAMKE. UTAKUFAAAAAAAAAA KABLA YA SIKU ZAKO.
 
Ukiwa kijana mdogo lazima kupitia maswaiba ya mahusiano kama yako. Mwanzoni utaona ni mapenzi ya kweli ila ukipata kazi ya kukuweka bize muda ukapita utakuja kujidharau kwamba hayakuwa mapenzi bali mazoea tu.

Kwa umri wako una haki ya kuumia ila muda ukipita hata ukute demu wako anagongwa na jamaa hapo wala roho haistuki kabisa.
 
Uhakika
 
Kwahiyo huku mimba inasumbuliwa na wewe upo humo humo unamsumbua mtoto [emoji7][emoji7][emoji15]
 
Asante kwa story, ila ukimuoa tu, Dr lazima aje tena kisingizio mtoto hapo ndiyo utakufa kabisa kama si kupalalaizi kabisa, na anaweza akaongeza na mtoto wa pili huku mpo naye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…