Daktari alifanya nikampoteza mchumba wangu Mercy

Daktari alifanya nikampoteza mchumba wangu Mercy

Nakuja unisimulie PM, Nimekuwa interested kusikia
Sina story yoyote ila kuna ujinga nimeukumbuka wa shosti yangu alivyoganganisha wanaume, nikisimulia atanijua ni mimi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hii ndo story bora ya mapenzi kuwahi kusoma daaah hadi machozi yamenilenga hasa pale mercy alivyomtumia meseji doctor na kumuuliza "baby where are you now mbona kimya"". Hiii kitu isikie tu kwa wengine usiombe ikutokee
 
DAKTARI ALIFANYA NIKAMPOTEZA MCHUMBA WANGU MERCY

A necessary continuity

Kama jinsi tulivoishia, nilipona yale matatizo niliyotapata kutokana na sekeseke la Mercy na Dokta. Lakini pia Mercy aliendelea kulea mtoto wake huko kwao kaskazini.

Mimi nilipata issue nikaja Tanga na kama tunavojua Tanga ni karibu na mikoa ya Kilimanjaro na Arusha.
Mawasiliano yaliendelea na Mercy alionyesha kunijali na kufanya kila njia ili niweze kusahau na kumsamehe kabisa kwa yale alonifanyia. Alikuwa mtu wa kujilaumu na kujistukia sana kifupi alikuwa na guilty na alikuwa ana regret sana.

Mercy aliendelea kuniplease kwa kunifanyia vitu mbali mbali lakini pia alijikeep sana close to me kupitia mawasiliano ya cm.

Mwezi wa 7 mwaka jana(2023) nilikuwa tyr nipo huku Tanga na alipofaham kwamba nipo Tanga alifurahi sana akawa anajisemesha "alipangalo Mungu binadam ni ngumu kulipangua" nilimuliza alikuwa anamaanisha nini lakini alinizuga zuga hakumambia alikuwa anamaanisha nini.

Mimi ni mtu mzima na nauwezo wa kung'amua mambo nikawa nishamuelewa japo nilipatwa na hofu kidogo maana mapenz hayana adabu na nilifikiria na kushauri nilopata kutoka kwa wadau hapa jamvini nazidi kujiona kwamba nina kibarua cha kukaa chini na kufanya maamuzi sahihi zaidi juu ya hii ishu.

MERCY alianza kuforce yeye kuja huku Tanga anione akidai kanimiss sana. Mimi kumkwepa nikawa namwambia atulie kwanza mtoto angalau achangamke maana kilikuwa bado kichanga.

Akawa ananilalamikia sana akidai sina tena mapenzi naye kwasababu amezaa na mtu mwingine, akawa anasema namchukia sana kwasabb amenifanyia unyama sana. Haya yote nikawa naona ni kama alikuwa anajutia kwa alinifanyia na nilimuona ni kama alikuwa na depression kiasi flan maana malalamiko yalikuwa hayakati, alituma text nikachelewa kujibu basi ntaandikiwa essay ya malalamiko mpka nikome.

Bro wangu ambaye pia alinisimamia mwanzo mwisho wakati naumwa mpka nikapona alikuwa ashanionya kuhusu Mercy akanambia kamwe nisiruhusu moyo wangu umrudishe tena Mercy katika maisha yangu. Hii ni kwasababu alitoboka sana mfuko na kiukweli kama angepiga mahesabu ya pesa ilotumika kunitibia basi ingepatikana pesa ya kutosha tu na ukizingatia chanzo ni mapenz basi watu huwa wanachukulia kama ni upuuzi na kuwachukulia victims kama ni wapumbavu na ma bongolala sana.

Nilikazia hapo hapo kwamba Mercy asije Tanga hiyo ilikuwa mwez wa 7 mwaka jana.....

See you ndugu zangu.......
Bado hujakoma kumbe 😏😏
 
Debe tupu huyo muache anadhani ye ndo wa kwanza kupenda anapenda hizi Pole na kuonewa huruma ndo maana alitombewa kijinga
Yani anavyolia lia km jinga vile, ndiomana mwanamke alikuwa mpk na jeuri ya kukigawa kwa dokta. Halafu tunamshauri anatuona maboya yy anawajua sana wanawake kuliko sisi wanawke wenzake!!! Na watamtombea sana asipojitambua.
Huyo demu kashakuwa cha wote, leo kavua chupi kwa gari lisilozidi hata 20mln vipi akitokea mwenye range?? Si ndo atabeba mimba za mapacha.
 
Back
Top Bottom