Daktari alifanya nikampoteza mchumba wangu Mercy

Tuendeleee.........

Ule ujumbe wa Mercy siku ile ulimboa sana Mage na hata mimi pia.
Mage aliniomba namba za Mercy lakini niliona kama vile ni utoto yeye kuanza kupigishana kelele na mtu ambaye naimani kabisa Hana nafasi katika maisha yangu kwasasa.

Nilianza kuona kabisa Mercy kapoteza nafasi katika maisha yangu baada ya Mage kuja katika maisha yangu.
Hisia na mapenz kwa Mage viliongezeka na vinaongezeka kadri siku zinavokwenda. Mercy hakuchoka kunisumbua japo nimeshamwambia kuwa tayari nimepata mchumba na soon tutaoana.
Kuna siku nilikuta mesej kwenye cm ya Mage wanachat na Mercy. Hii siku niligundua kuwa Mercy nibile species ya wanawake ambao ni selfish.

Nilikuta Mercy anamdanganya Mage kwamba yule mtoto ni wangu na nachokifanya ni kuikwepa dam yangu.
Cha kushangaza ni kwamba zile texts zilikuwa zina kama siku mbili lakini Mage hakuwahi kuniuliza chochote juu ya yale mambo ambayo aliambiwa na Mercy.

Hiki kitu kinanifanya niendelee kumuona Mage kwamba ni mtu na nusu yani ni kama nimeokota dodo kwenye mpapai. Na mpka sasa hivi mage hajawahi kuniuliza kuhusu hiki kitu nafikiri ni kwasababu tayari nilikuwa nishamueleza yote yalotokea kati yangu mimi na Mercy na akanielewa. Na katika yale majibizano niliona Mage anamwambia MERCY kwamba amemuelewa na atalifanyia kazi. Yani niliona kabisa Mage katumia akili kubwa ili kumzubaisha Mercy na kumfanya acool down.

Mercy tayari kaniambia kwamba mwezi wa 6 au wa 7 atahamia hapa Tanga mahali nilipo na anasema et hatachoka kizembe na kuniacha nimuoe mtu mwingine Zaid yake.
Hizi mambo za Mercy kiukweli now days ni kama hazinistui na nadhani ni kwasababu ya uwepo wa huyu mchumba Mage karibu yangu muda wote.

Ndugu zangu kuna mengi lakin NIPENDE kuwajuza kwamba mimi na Mage tayari kuna makubaliano kati ya pande mbili.

Taratibu zimefuatwa na gues what mwezi wa saba Mungu akipenda tutaanza maisha mapya mimi na Mage 🤩🤩🤩 kama mke na mume. Nitapenda kuwa update juu ya kitakachoendelea mpka hapo mwezi wa saba mimi na Mage tutakapoanza maisha yetu na nina imani tutaishi kwa furaha na Mungu ajaalie hivyo.

Niwashukuru pia kwa kuzidi kunipa ushaur juu ya hili swala ambalo kiukweli limenipitisha katika njia na hali ngumu ambazo sikutarajia katika maisha yangu lakini NIPENDE kumshuku Mungu kwa zawad ya uhai na huyu mchumba wangu Mage ambaye Sasa anaonekana kuwa zawad special kutoka kwa Mungu.

Mungu awabariki sana, tutakutana hapo baadae katika muendelezo wa kipi kitakachotokea hapa katikati. Ahsanteni sana.
 
Usiache kutupa updates mpk mtakapokuwa na wajukuu nimependa ulivyo mkarimu mkuu
 
Nimekupata Mkuu
ili mchumba wako aamini uko real badilisha namba kama mlivyoshauriana itamfanya azidi kujenga uaminifu kwako na aone una misimamo hao ni wanawake wanajua ni namna gani ya kumwangusha mwanaume. Huyo dem unaona kule amebadilisha tena maneno kwamba mtoto ni wako usipo fanya hivy huyu mage ataanza kuwaza kuna mchezo unamchezea, mzee wangu stuka mapema chukua hatua.
 
Tuendeleee.........

Ule ujumbe wa Mercy siku ile ulimboa sana Mage na hata mimi pia.
Mage aliniomba namba za Mercy lakini niliona kama vile ni utoto yeye kuanza kupigishana kelele na mtu ambaye naimani kabisa Hana nafasi katika maisha yangu kwasasa.

Nilianza kuona kabisa Mercy kapoteza nafasi katika maisha yangu baada ya Mage kuja katika maisha yangu.
Hisia na mapenz kwa Mage viliongezeka na vinaongezeka kadri siku zinavokwenda. Mercy hakuchoka kunisumbua japo nimeshamwambia kuwa tayari nimepata mchumba na soon tutaoana.
Kuna siku nilikuta mesej kwenye cm ya Mage wanachat na Mercy. Hii siku niligundua kuwa Mercy nibile species ya wanawake ambao ni selfish.

Nilikuta Mercy anamdanganya Mage kwamba yule mtoto ni wangu na nachokifanya ni kuikwepa dam yangu.
Cha kushangaza ni kwamba zile texts zilikuwa zina kama siku mbili lakini Mage hakuwahi kuniuliza chochote juu ya yale mambo ambayo aliambiwa na Mercy.

Hiki kitu kinanifanya niendelee kumuona Mage kwamba ni mtu na nusu yani ni kama nimeokota dodo kwenye mpapai. Na mpka sasa hivi mage hajawahi kuniuliza kuhusu hiki kitu nafikiri ni kwasababu tayari nilikuwa nishamueleza yote yalotokea kati yangu mimi na Mercy na akanielewa. Na katika yale majibizano niliona Mage anamwambia MERCY kwamba amemuelewa na atalifanyia kazi. Yani niliona kabisa Mage katumia akili kubwa ili kumzubaisha Mercy na kumfanya acool down.

Mercy tayari kaniambia kwamba mwezi wa 6 au wa 7 atahamia hapa Tanga mahali nilipo na anasema et hatachoka kizembe na kuniacha nimuoe mtu mwingine Zaid yake.
Hizi mambo za Mercy kiukweli now days ni kama hazinistui na nadhani ni kwasababu ya uwepo wa huyu mchumba Mage karibu yangu muda wote.

Ndugu zangu kuna mengi lakin NIPENDE kuwajuza kwamba mimi na Mage tayari kuna makubaliano kati ya pande mbili.

Taratibu zimefuatwa na gues what mwezi wa saba Mungu akipenda tutaanza maisha mapya mimi na Mage [emoji2956][emoji2956][emoji2956] kama mke na mume. Nitapenda kuwa update juu ya kitakachoendelea mpka hapo mwezi wa saba mimi na Mage tutakapoanza maisha yetu na nina imani tutaishi kwa furaha na Mungu ajaalie hivyo.

Niwashukuru pia kwa kuzidi kunipa ushaur juu ya hili swala ambalo kiukweli limenipitisha katika njia na hali ngumu ambazo sikutarajia katika maisha yangu lakini NIPENDE kumshuku Mungu kwa zawad ya uhai na huyu mchumba wangu Mage ambaye Sasa anaonekana kuwa zawad special kutoka kwa Mungu.

Mungu awabariki sana, tutakutana hapo baadae katika muendelezo wa kipi kitakachotokea hapa katikati. Ahsanteni sana.
Nakushauri usimuache mercy, muweke reserve, hawa wanawake hawaelewekagi
Na huyo mage usifunge naye ndoa kwanza,
Huwezi jua huko mbeleni mambo yatakuwaje wewe na mary.. na hata huyo mercy usimuambie kuwa umeoa..

Save hii mesege, kuna siku utaikumbuka
 
Namshauri jamaa akate njia zote za kumkutanisha au mawasiliano na Mercy,asimwendekeze huyo mwanamke,alishakosea kumsaliti jamaa achukue kama funzo halafu akalitumie kuwa muaminifu kwa atakaempata
 
Amuweke mercy bench asimuache, kwasisi tulioa tunaelewa umuhimu wa kiwa na reserve, sometimes ndani kuna wakati hapakaliki au kuna wakati unakuta huyo mwanamke anataka kuolewa kwa hali na mali, kwa hiyo akifika ndani anabadilika.. so ukiwa na reserve hata ukimpiga chini uliyemuoa ukirudi kwenye ubachelor unakuwa na pa kuanzia
 
Kila la kheri mkuu, Umepitia mengi na story yako imetufundisha kitu.

Kwa kuwa umemaliza na mm nafikiria kufungua uzi na kuwaletea yangu sasa.

Mimi yangu itachukua miezi minne nasimulia sijui niipe title gan 😔😔

Nitawasimulia kisha mnitukane yaishe
Tuendeleee.........

Ule ujumbe wa Mercy siku ile ulimboa sana Mage na hata mimi pia.
Mage aliniomba namba za Mercy lakini niliona kama vile ni utoto yeye kuanza kupigishana kelele na mtu ambaye naimani kabisa Hana nafasi katika maisha yangu kwasasa.

Nilianza kuona kabisa Mercy kapoteza nafasi katika maisha yangu baada ya Mage kuja katika maisha yangu.
Hisia na mapenz kwa Mage viliongezeka na vinaongezeka kadri siku zinavokwenda. Mercy hakuchoka kunisumbua japo nimeshamwambia kuwa tayari nimepata mchumba na soon tutaoana.
Kuna siku nilikuta mesej kwenye cm ya Mage wanachat na Mercy. Hii siku niligundua kuwa Mercy nibile species ya wanawake ambao ni selfish.

Nilikuta Mercy anamdanganya Mage kwamba yule mtoto ni wangu na nachokifanya ni kuikwepa dam yangu.
Cha kushangaza ni kwamba zile texts zilikuwa zina kama siku mbili lakini Mage hakuwahi kuniuliza chochote juu ya yale mambo ambayo aliambiwa na Mercy.

Hiki kitu kinanifanya niendelee kumuona Mage kwamba ni mtu na nusu yani ni kama nimeokota dodo kwenye mpapai. Na mpka sasa hivi mage hajawahi kuniuliza kuhusu hiki kitu nafikiri ni kwasababu tayari nilikuwa nishamueleza yote yalotokea kati yangu mimi na Mercy na akanielewa. Na katika yale majibizano niliona Mage anamwambia MERCY kwamba amemuelewa na atalifanyia kazi. Yani niliona kabisa Mage katumia akili kubwa ili kumzubaisha Mercy na kumfanya acool down.

Mercy tayari kaniambia kwamba mwezi wa 6 au wa 7 atahamia hapa Tanga mahali nilipo na anasema et hatachoka kizembe na kuniacha nimuoe mtu mwingine Zaid yake.
Hizi mambo za Mercy kiukweli now days ni kama hazinistui na nadhani ni kwasababu ya uwepo wa huyu mchumba Mage karibu yangu muda wote.

Ndugu zangu kuna mengi lakin NIPENDE kuwajuza kwamba mimi na Mage tayari kuna makubaliano kati ya pande mbili.

Taratibu zimefuatwa na gues what mwezi wa saba Mungu akipenda tutaanza maisha mapya mimi na Mage 🤩🤩🤩 kama mke na mume. Nitapenda kuwa update juu ya kitakachoendelea mpka hapo mwezi wa saba mimi na Mage tutakapoanza maisha yetu na nina imani tutaishi kwa furaha na Mungu ajaalie hivyo.

Niwashukuru pia kwa kuzidi kunipa ushaur juu ya hili swala ambalo kiukweli limenipitisha katika njia na hali ngumu ambazo sikutarajia katika maisha yangu lakini NIPENDE kumshuku Mungu kwa zawad ya uhai na huyu mchumba wangu Mage ambaye Sasa anaonekana kuwa zawad special kutoka kwa Mungu.

Mungu awabariki sana, tutakutana hapo baadae katika muendelezo wa kipi kitakachotokea hapa katikati. Ahsanteni sana.
 
Kila la kheri mkuu, Umepitia mengi na story yako imetufundisha kitu.

Kwa kuwa umemaliza na mm nafikiria kufungua uzi na kuwaletea yangu sasa.

Mimi yangu itachukua miezi minne nasimulia sijui niipe title gan 😔😔

Nitawasimulia kisha mnitukane yaishe
Usisahau kinitag Mkuu
 
Tuendeleee.........

Ule ujumbe wa Mercy siku ile ulimboa sana Mage na hata mimi pia.
Mage aliniomba namba za Mercy lakini niliona kama vile ni utoto yeye kuanza kupigishana kelele na mtu ambaye naimani kabisa Hana nafasi katika maisha yangu kwasasa.

Nilianza kuona kabisa Mercy kapoteza nafasi katika maisha yangu baada ya Mage kuja katika maisha yangu.
Hisia na mapenz kwa Mage viliongezeka na vinaongezeka kadri siku zinavokwenda. Mercy hakuchoka kunisumbua japo nimeshamwambia kuwa tayari nimepata mchumba na soon tutaoana.
Kuna siku nilikuta mesej kwenye cm ya Mage wanachat na Mercy. Hii siku niligundua kuwa Mercy nibile species ya wanawake ambao ni selfish.

Nilikuta Mercy anamdanganya Mage kwamba yule mtoto ni wangu na nachokifanya ni kuikwepa dam yangu.
Cha kushangaza ni kwamba zile texts zilikuwa zina kama siku mbili lakini Mage hakuwahi kuniuliza chochote juu ya yale mambo ambayo aliambiwa na Mercy.

Hiki kitu kinanifanya niendelee kumuona Mage kwamba ni mtu na nusu yani ni kama nimeokota dodo kwenye mpapai. Na mpka sasa hivi mage hajawahi kuniuliza kuhusu hiki kitu nafikiri ni kwasababu tayari nilikuwa nishamueleza yote yalotokea kati yangu mimi na Mercy na akanielewa. Na katika yale majibizano niliona Mage anamwambia MERCY kwamba amemuelewa na atalifanyia kazi. Yani niliona kabisa Mage katumia akili kubwa ili kumzubaisha Mercy na kumfanya acool down.

Mercy tayari kaniambia kwamba mwezi wa 6 au wa 7 atahamia hapa Tanga mahali nilipo na anasema et hatachoka kizembe na kuniacha nimuoe mtu mwingine Zaid yake.
Hizi mambo za Mercy kiukweli now days ni kama hazinistui na nadhani ni kwasababu ya uwepo wa huyu mchumba Mage karibu yangu muda wote.

Ndugu zangu kuna mengi lakin NIPENDE kuwajuza kwamba mimi na Mage tayari kuna makubaliano kati ya pande mbili.

Taratibu zimefuatwa na gues what mwezi wa saba Mungu akipenda tutaanza maisha mapya mimi na Mage [emoji2956][emoji2956][emoji2956] kama mke na mume. Nitapenda kuwa update juu ya kitakachoendelea mpka hapo mwezi wa saba mimi na Mage tutakapoanza maisha yetu na nina imani tutaishi kwa furaha na Mungu ajaalie hivyo.

Niwashukuru pia kwa kuzidi kunipa ushaur juu ya hili swala ambalo kiukweli limenipitisha katika njia na hali ngumu ambazo sikutarajia katika maisha yangu lakini NIPENDE kumshuku Mungu kwa zawad ya uhai na huyu mchumba wangu Mage ambaye Sasa anaonekana kuwa zawad special kutoka kwa Mungu.

Mungu awabariki sana, tutakutana hapo baadae katika muendelezo wa kipi kitakachotokea hapa katikati. Ahsanteni sana.
Ujipange ukioa, sisi madaktari hatuna michango.
 
Back
Top Bottom