Daktari alifanya nikampoteza mchumba wangu Mercy

Tuendeleee.........

Ule ujumbe wa Mercy siku ile ulimboa sana Mage na hata mimi pia.
Mage aliniomba namba za Mercy lakini niliona kama vile ni utoto yeye kuanza kupigishana kelele na mtu ambaye naimani kabisa Hana nafasi katika maisha yangu kwasasa.

Nilianza kuona kabisa Mercy kapoteza nafasi katika maisha yangu baada ya Mage kuja katika maisha yangu.
Hisia na mapenz kwa Mage viliongezeka na vinaongezeka kadri siku zinavokwenda. Mercy hakuchoka kunisumbua japo nimeshamwambia kuwa tayari nimepata mchumba na soon tutaoana.
Kuna siku nilikuta mesej kwenye cm ya Mage wanachat na Mercy. Hii siku niligundua kuwa Mercy nibile species ya wanawake ambao ni selfish.

Nilikuta Mercy anamdanganya Mage kwamba yule mtoto ni wangu na nachokifanya ni kuikwepa dam yangu.
Cha kushangaza ni kwamba zile texts zilikuwa zina kama siku mbili lakini Mage hakuwahi kuniuliza chochote juu ya yale mambo ambayo aliambiwa na Mercy.

Hiki kitu kinanifanya niendelee kumuona Mage kwamba ni mtu na nusu yani ni kama nimeokota dodo kwenye mpapai. Na mpka sasa hivi mage hajawahi kuniuliza kuhusu hiki kitu nafikiri ni kwasababu tayari nilikuwa nishamueleza yote yalotokea kati yangu mimi na Mercy na akanielewa. Na katika yale majibizano niliona Mage anamwambia MERCY kwamba amemuelewa na atalifanyia kazi. Yani niliona kabisa Mage katumia akili kubwa ili kumzubaisha Mercy na kumfanya acool down.

Mercy tayari kaniambia kwamba mwezi wa 6 au wa 7 atahamia hapa Tanga mahali nilipo na anasema et hatachoka kizembe na kuniacha nimuoe mtu mwingine Zaid yake.
Hizi mambo za Mercy kiukweli now days ni kama hazinistui na nadhani ni kwasababu ya uwepo wa huyu mchumba Mage karibu yangu muda wote.

Ndugu zangu kuna mengi lakin NIPENDE kuwajuza kwamba mimi na Mage tayari kuna makubaliano kati ya pande mbili.

Taratibu zimefuatwa na gues what mwezi wa saba Mungu akipenda tutaanza maisha mapya mimi na Mage [emoji2956][emoji2956][emoji2956] kama mke na mume. Nitapenda kuwa update juu ya kitakachoendelea mpka hapo mwezi wa saba mimi na Mage tutakapoanza maisha yetu na nina imani tutaishi kwa furaha na Mungu ajaalie hivyo.

Niwashukuru pia kwa kuzidi kunipa ushaur juu ya hili swala ambalo kiukweli limenipitisha katika njia na hali ngumu ambazo sikutarajia katika maisha yangu lakini NIPENDE kumshuku Mungu kwa zawad ya uhai na huyu mchumba wangu Mage ambaye Sasa anaonekana kuwa zawad special kutoka kwa Mungu.

Mungu awabariki sana, tutakutana hapo baadae katika muendelezo wa kipi kitakachotokea hapa katikati. Ahsanteni sana.
Baada ya hapa ..nikafuatilie tena uongo wa INSIDER MAN MZEE WA KUTOA MADEM OUT.

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Taratibu zimefuatwa na gues what mwezi wa saba Mungu akipenda tutaanza maisha mapya mimi na Mage 🤩🤩🤩 kama mke na mume. Nitapenda kuwa update juu ya kitakachoendelea mpka hapo mwezi wa saba mimi na Mage tutakapoanza maisha yetu na nina imani tutaishi kwa furaha na Mungu ajaalie hivyo.

Niwashukuru pia kwa kuzidi kunipa ushaur juu ya hili swala ambalo kiukweli limenipitisha katika njia na hali ngumu ambazo sikutarajia katika maisha yangu lakini NIPENDE kumshuku Mungu kwa zawad ya uhai na huyu mchumba wangu Mage ambaye Sasa anaonekana kuwa zawad special kutoka kwa Mungu.

Mungu awabariki sana, tutakutana hapo baadae katika muendelezo wa kipi kitakachotokea hapa katikati. Ahsanteni sana.
Kijana umeona Uzi uliopita tumekupiga spana ukaona utunge kwamba unamuoa mwanamke mwingine ili tukupe sifa ya uanaume kumbe pengine unataka kumuoa mercy?
 
😂😂😂 Hapana Mkuu nitawagea picha nikisha muweka ndani Mage
 
Mercy anachekesha kweli yupo kama kapagawa na pepo yani😅😅😅 kulinda utu na heshima yake alitakiwa kujituliza tu sio hizo drama alizoanzisha anajidhalilisha bure tu na asipokuwa makini atapata ukichaa

Karma imemtafuna kwa haraka sana km ni kweli lakini manake nyie vivulana huwa ni viongo viongo
 
Anateseka kiukweli kila siku ni kuomba msamaha tu
 
Daah!, Huu uzi unanikumbusha mbali sana kipindi niko chuo.

Nilishikaga cm ya dem na nikamtafuta jamaa alokuwa ananigongea... Jamaa aliwasha gari kutoka mkoa X usiku huo huo mpk nilipo for more than 8 hours kwa basi na akaja mkoani kwangu

Baada ya jamaa kuja na dem akaniacha geto (kumbuka tulikuwa tunakaa chumba kimoja) na kwenda kulala na jamaa lodge.

Mapenz ya chuo ni u-fu***
HAKUNA MAPENZI CHUO.

Nikipata nafasi nitakuja kuwasimulia yangu.

#Kataa ndoa
Subir Tu kufollow
 
Tuendeleee.......

Hapa nikaona kabisa Mercy hakuwa na mapenz na Dokta ila shida ni tamaa za pesa na Dokta alikuwa hana mpango wa kumuoa Mercy ila alihitaji kunikomoa tu. Nilihisi vile baadae baada ya siku moja Dokta kunitumia ujumbe "dogo wanaume tushafanya yetu ole wake hiyo mimba mkaitoe".

Hii text alinitumia siku moja kabla ya Mercy kufanya jaribio la kuitoa ile mimba. Hii text sikumuonesha Mercy niliona kama ntamchanganya tu na Haina maana.

DOKTA ALIMTIA MERCY MIMBA KWA MAKUSUDI NA ALIMLAGHAI KWA PESA ZAKE, HII KITU MERCY MWENYEWE NDO ALINAMBIA.

Niliwaza kama Mercy alikuwa hampendi Dokta ni kwanini alikubali kufanya nae tena kavu siku zake za hatari. Sikupata majibu sahihi nikaamua kuipotezea tu japo niliishia kuamini kuwa pesa ndo ilimshawishi Mercy mpka kubeba mimba.

Swala la Mercy kwenda namimi kwao akanitambulishe sikulikubali niliona Mercy hajafikiria kwa kutuliza akili na pia binafsi sikuwa tayar kuoa mwanamke mwenye mtoto.

SIKU YA KUAGANA NA MERCY ILIKUWA NI MAJONZI SANA.

Nilimsindikiza stand akapanda bus kuelekea kwao. Mimi naye nilibaki kwanza pale town kuna mambo yangu nilikuwa nayafatilia.

Nilikaa kama mwezi hivi ukizingatia hata kodi yangu bado ilikuwa inasoma. Kipindi kile nipo bado pale town niliamua nimtafute Merry, Merry alikuwa tayar kashaondoka kwenda Field alienda mkoa wa dodoma. Nilipomaliza mishe zangu nikapak vitu vyangu nikaondoka nyumbani namimi.

Mawasiliano na Mercy yaliendelea ila upande wangu nilianza kuona Haina tena haja ya kumtafuta mara kwa mara ila yeye alikuwa ananitafuta sana ananisihi nimuoe hata kama bado sijajipanga yeye kwao pesa so shida sana. Aliahidi ataomba pesa ya mtaji tuanze kuzichanga mdogo mdogo ila mimi nikaona kabisa Mercy nikimuoa na tayari kazaa na Dokta nitakua nimejitia kitanzi na kujibuturia kistuli mwenyewe.

Matokeo ya semester ya mwsho yalitoka na mimi na Mercy sote tulifaulu vizur hakukuwa na mtu mwenye kimeo.
Japo nilikuwa bado naumia kumkosa Mercy lawama zangu zote nilizielekezea kwa Dokta na niliahidi kutokuja kumsamehe yule jamaa.

Ilikuwa mwez wa1 mwaka jana Mercy alijifungua mtoto wa kiume na anamuita Johnson, still Mercy ananisisitizia nimuoe lakini bado sioni kama kumuoa Mercy nitakuwa nimefanya jambo la msingi.

Mimi naye hali yangu ya kiafya ilichange ghafla nakumbuka ilikuwa mwez wa 12, 2022 hata graduation sikufanya, nilipatwa na kama kistroke flan yani upande wa kushoto haukuwa sawa. Nilishindwa kutembea, nilipoteza uwezo wa kuongea kwa takriban wiki Moja yani mdomo ulikuwa mzito sana ila nilikuwa natumia maandishi nilipokuwa nahitaji kuongea na mtu.

Nilipelekwa hospital nashukuru Mungu pamoja na madaktari walifanikisha kunipa huduma nikarudi katika hali yangu ya kawaida.
Nilitumia madawa tofaut tofaut ila kuna hiyo moja siwez isahau. Najua kuna wataalam wa afya humu wanaijua vizuri inaitwa "Aten" sijajua kama ndo jina linaishia hapo au linakirefu chake. Hii dawa bhna nakumbuka siku hiyo nilikuwa bado siwez kuongea mtaalam akaagiza ikachukuliwe hii dawa, ni tu vidonge tudogo sana kiumbo, niliambiwa nimeze kamoja tu kwa siku ila mziki wake hii dawa sio wa kitoto.

Hii dawa ukiitumia inakufanya upate ham ya kuongea, inakufanya ujihisi raha yani sinywi na sijawahi kutumia pombe lakini nature ya hii dawa inataka ifanane na tabia ya pombe. Nilikuwa naambiwa nimeze kimoja kwa siku lakini nilikuwa nataman nipige hata tutatu kwasababu yani vilikuwa vinanichangamsha kwanzia kichwani mpka sehem zingine za mwili.

Nilipona kabisa na mpka sasa niko poa.
Mercy naye anaendelea vizuri na mtoto wake na kila siku ananitafuta (hata asubuhi hii kashanitumia text) tunaongea na kuchat saana. Kila siku ananikumbusha kuhusu swala la ndoa na anasisitiza sana nimuoe kwani ananipenda lakini mimi bado sipo tayar kwasababu Mercy tayar anamtoto na sio mtoto tu ila mtoto ni wa Dokta mtu mwenye ROHO mbaya.

NIKIONA KUNA HAJA YA KULETA MREJESHO JUU YA MIMI NA MERCY BASI NITARUDI KUWAPA MREJESHO JUU YA NINI KINAENDELEA LAKINI MIMI BADO SIONI KAMA NINAWEZA KUMUOA MERCY.

Naomba kufunga Uzi wangu kwa kuwashukuru nyote na nawatakia kila lakheri katika safari yenu hapa duniani hasa katika ulimwengu wa mapenzi.

AHSANTENI 🫶🫶🫶.
Daah pole sana Lakini kamwe usije ukadhubutu rudiana na hyo takataka that is my take.
Tafuta kazi ya kufanya,kula,Pendeza, jipende tafuta mwingine atakayekupenda kwa dhati na mtakayeanza naye life, Pia usiache sana Kusali.
 
Tuendeleee.........

Ule ujumbe wa Mercy siku ile ulimboa sana Mage na hata mimi pia.
Mage aliniomba namba za Mercy lakini niliona kama vile ni utoto yeye kuanza kupigishana kelele na mtu ambaye naimani kabisa Hana nafasi katika maisha yangu kwasasa.

Nilianza kuona kabisa Mercy kapoteza nafasi katika maisha yangu baada ya Mage kuja katika maisha yangu.
Hisia na mapenz kwa Mage viliongezeka na vinaongezeka kadri siku zinavokwenda. Mercy hakuchoka kunisumbua japo nimeshamwambia kuwa tayari nimepata mchumba na soon tutaoana.
Kuna siku nilikuta mesej kwenye cm ya Mage wanachat na Mercy. Hii siku niligundua kuwa Mercy nibile species ya wanawake ambao ni selfish.

Nilikuta Mercy anamdanganya Mage kwamba yule mtoto ni wangu na nachokifanya ni kuikwepa dam yangu.
Cha kushangaza ni kwamba zile texts zilikuwa zina kama siku mbili lakini Mage hakuwahi kuniuliza chochote juu ya yale mambo ambayo aliambiwa na Mercy.

Hiki kitu kinanifanya niendelee kumuona Mage kwamba ni mtu na nusu yani ni kama nimeokota dodo kwenye mpapai. Na mpka sasa hivi mage hajawahi kuniuliza kuhusu hiki kitu nafikiri ni kwasababu tayari nilikuwa nishamueleza yote yalotokea kati yangu mimi na Mercy na akanielewa. Na katika yale majibizano niliona Mage anamwambia MERCY kwamba amemuelewa na atalifanyia kazi. Yani niliona kabisa Mage katumia akili kubwa ili kumzubaisha Mercy na kumfanya acool down.

Mercy tayari kaniambia kwamba mwezi wa 6 au wa 7 atahamia hapa Tanga mahali nilipo na anasema et hatachoka kizembe na kuniacha nimuoe mtu mwingine Zaid yake.
Hizi mambo za Mercy kiukweli now days ni kama hazinistui na nadhani ni kwasababu ya uwepo wa huyu mchumba Mage karibu yangu muda wote.

Ndugu zangu kuna mengi lakin NIPENDE kuwajuza kwamba mimi na Mage tayari kuna makubaliano kati ya pande mbili.

Taratibu zimefuatwa na gues what mwezi wa saba Mungu akipenda tutaanza maisha mapya mimi na Mage [emoji2956][emoji2956][emoji2956] kama mke na mume. Nitapenda kuwa update juu ya kitakachoendelea mpka hapo mwezi wa saba mimi na Mage tutakapoanza maisha yetu na nina imani tutaishi kwa furaha na Mungu ajaalie hivyo.

Niwashukuru pia kwa kuzidi kunipa ushaur juu ya hili swala ambalo kiukweli limenipitisha katika njia na hali ngumu ambazo sikutarajia katika maisha yangu lakini NIPENDE kumshuku Mungu kwa zawad ya uhai na huyu mchumba wangu Mage ambaye Sasa anaonekana kuwa zawad special kutoka kwa Mungu.

Mungu awabariki sana, tutakutana hapo baadae katika muendelezo wa kipi kitakachotokea hapa katikati. Ahsanteni sana.
Nilikuomba namba ya Mercy umeninyima, wallah vile asingekusumbua tena. Inaonekana unasikilizia sana PUSSIE
 
Naomba nikuulize mleta mada mwanzoni ulipoanza kumzungunzia Mage ulisema amekuzidi miaka kama miwili hivo kama anakupa mtihani kwenye suala ya kumuweka ndani ,ingawa sifa anazo au nimekunukuuu vibaya
 
Sasa, wazazi wa mercy wakikupigia wasimulie yote pia waambie kuwa mtoto siyo wako, kisha namba badilisha na harusi usifunge mkoa huo, shetani mercy atakuja kukuharibia kwenye harusi.
Mercy anaenda kufeli
 
Tunajua mwisho wa siku ulimpa mimba, katika kujifungua akapoteza maisha....

Sisi tunachotaka kujua, ni kwa namna gani huyo daktari alihusika ktk kusababisha kifo cha mchuchu wako?

Hayo maelezo ya namna mlivyopeana mimba, sijui ukamuweka popo kanyea mbingu, sijui ukamzamia chumvini mpaka aka squirt sisi hayatusaidiii..
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Amuweke mercy bench asimuache, kwasisi tulioa tunaelewa umuhimu wa kiwa na reserve, sometimes ndani kuna wakati hapakaliki au kuna wakati unakuta huyo mwanamke anataka kuolewa kwa hali na mali, kwa hiyo akifika ndani anabadilika.. so ukiwa na reserve hata ukimpiga chini uliyemuoa ukirudi kwenye ubachelor unakuwa na pa kuanzia
ushasalitiwa na mtu akapiga hapo chata kabisa mkuu au kwa sababu imetokea kwa mwenzako unaichukulia poa? unachukulia poa kutombewa na ukajua si ndio.
 
Swala la kuwabakiza ma ex kwa lengo la emergence eti ikitokea amebadilika mkaachana uwe na pakuanzia hilo sio sawa kaka mkubwa,hapo unatengeneza mazingira ya usaliti,maana hata ikitokea mmeachana c unatafuta mwengine mnaanza upya sioni ulazima wa ex
 
Back
Top Bottom