MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Anatakiwa kujua hapa hakuna Mercy... sisi wote ni kina Dokta Mathew...Eeeeh sisi tunajua ku clear Hali ya hewa,ndugu yetu mnamuudhi sana anaweza ahirishakusimulia Bure kama Mpwayungu....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anatakiwa kujua hapa hakuna Mercy... sisi wote ni kina Dokta Mathew...Eeeeh sisi tunajua ku clear Hali ya hewa,ndugu yetu mnamuudhi sana anaweza ahirishakusimulia Bure kama Mpwayungu....
Mi number Moja nakukubali sana mchizi wangu....Jamaa yangu mmoja huwa anasema anionea wivu sana. Jinsi mademu wa JF wanavyonipenda. Namwambia ni Nyota tu. Nyota yangu ina ng'ara mimi darasa la 7 z nliye fail, sina pesa hohehahe lakini jina langu mademu wanalo midomoni mwao. Ni nyota tu.
HahahahUmenikumbusha mbali sana jinsi mwalimu alivyo nizidi kete,kumpiga mimba na kumuoa binti ambae nilimtoa bikra na tulikuwa na ahadi ya kuoana.
Wanaosema bikra ni wako mwenyewe huwa nawachungulia na kusema iiiiiiiiiiiiiiii .
Muwe na huruma basi na mwenzenu🤔Anatakiwa hapa hakuna Mercy... sisi wote ni kina Dokta Mathew...
Ngoja nijitahdOya tuma kama 2 au 3 kabla ya mechi ya Yanga na Cr
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Oky poa nimekupata Mkuu, ila kama nawew ni Dokta kweli basi jua upo miongoni mwa watu ambao hawana nafas katika moyo wangu take it positively nadhani hii ni psychological issue
Hahaha Kushona Sare ya Vitenge Huwezi kunishawishi hata kidgo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kitu ambacho siwazi kukifanya ndio hiki cha kushoan sare.
Nipo chamani kwa mwaka wa 4 na miezi kadhaa ila sijawahi kufikiria kushona sare
Umenikumbusha Swaga za msukuma Bungeni 🤣🤣Jamaa yangu mmoja huwa anasema anionea wivu sana. Jinsi mademu wa JF wanavyonipenda. Namwambia ni Nyota tu. Nyota yangu ina ng'ara mimi darasa la 7 z nliye fail, sina pesa hohehahe lakini jina langu mademu wanalo midomoni mwao. Ni nyota tu.
🤣🤣Anatakiwa kujua hapa hakuna Mercy... sisi wote ni kina Dokta Mathew...
Uzinzi tu ndio unawaza hapo sio?Jamaa yangu mmoja huwa anasema anionea wivu sana. Jinsi mademu wa JF wanavyonipenda. Namwambia ni Nyota tu. Nyota yangu ina ng'ara mimi darasa la 7 z nliye fail, sina pesa hohehahe lakini jina langu mademu wanalo midomoni mwao. Ni nyota tu.
Unamzingua Dogo akiona hilo Koti lako anajua ndio walewale.Hahaha Kushona Sare ya Vitenge Huwezi kunishawishi hata kidgo
🤣🤣Unamzingua Dogo akiona hilo Koti lako anajua ndio walewale.
Kifupi madem walikua wengi tuu sema Mercy kwa jamaa anavyomuelezea alikua dem mmoja mzuri sana afu kama kasabato flan hivi.
PoaDeMostAdmired mwamba chukua hii kutoka kwangu, iko hv badala ya kupost kidogo kidogo kama dozi ya dawa kutwa mara tatu,,,,fanya hivi ingia kwenye note book ya simu yako andika kamba ya kutosha hata ukija kutuma humu watu wanapata kitu roho inapenda,,, hlf unapata mda wa kutosha kujibu comments
Ni hayo tu!
Mkuu kwani unamlipa mshikaji? Au unadhani Hana kazi nyingine ya kufanya? Usichukulie hii mitandao seriously. Hawa watu “unaowaona” humu….they only exist online…DeMostAdmired mwamba chukua hii kutoka kwangu, iko hv badala ya kupost kidogo kidogo kama dozi ya dawa kutwa mara tatu,,,,fanya hivi ingia kwenye note book ya simu yako andika kamba ya kutosha hata ukija kutuma humu watu wanapata kitu roho inapenda,,, hlf unapata mda wa kutosha kujibu comments
Ni hayo tu!
ok na kwanini alimpa namba dokta mtu ambaye ni stranger? huoni demu wako ni kifafa. hiyo tu kwangu ni red alert.Namba ya Mercy mwenyewe alidai home kwao wasingemuelewa na ndugu zake wengi wameizoea ile kwahyo wazo la kubadili line halikumuingia akilini na aliona haina haja
Chief naona wewe ndio huelewi, mimi mwenyewe sometime huwa naandika nyuzi ndefu, huwa nafanya hivyo naweza tumia siku tano kuandika hlf ikikamilika natupia kwahiyo sio jambo geni,,,, mfano yeye hupost mara tatu au nne kwa siku, angekuwa anapost mara moja tu,hlf anatayarisha mzigo wa kesho kidogo kidogo kadri anavyopata mda.Mkuu kwani unamlipa mshikaji? Au unadhani Hana kazi nyingine ya kufanya? Usichukulie hii mitandao seriously. Hawa watu “unaowaona” humu….they only exist online…
Hizi ni hekaya za mitandaoni….kuwa serious Kadogo.