Daktari alifanya nikampoteza mchumba wangu Mercy

Noted!

Awali dogo alimwambia ambebee ujauzito Mercy akasema hawezi kufanya hivyo kabla ya kufunga ndoa lakini unaona mbele ya pesa mwanaharamu anapigwa na kitu kizito anapata matokea ambayo hakuyatarajia na anaulizwa mstakabali wake anajibu hajajua cha kufanya.

Na wazo la kutoa limemuijia sio kweli kwamba alimpenda dogo kwa dhati, no! Patakuwa palitokea changamoto kwa dokta ndo kugundua kwamba kumbe mission inakwenda kufeli akaanza kutapa tapa. Unjia panda huo ulimpa mrejesho kujirudisha kwa dogo kupata kama faraja bila kujali hali ya mimba aliyonayo.

Kiukweli wanawake ni wabaya wakiamua na tena dogo.asingekuwa mwingi wa hesabu bila shaka angekabidhiwa na mimba.
Kwa kifupi dogo alikuwa chaguo la pili. Kumsamehe na kurudiana na mwanamke wa hivyo ni kosa kubwa sana, ambalo lazima uje ulilipie kwa uchungu mkubwa.
 
Tuendeleee......

Baada ya wiki moja tena Recho akanambia anahitaj kuniona nikamuliza kuna shida gani akanambia anashida zake binafsi. Tukapanga tuonanae geto kwake huyu Recho, geto kwake sio mbali na kwa Mercy.

Siku hiyo nipo kwa Recho hata hatujaanza stor Mercy akafika akatusalimia pale akakaa.
Nilivomuona Mercy nilipatwa na hasira isiyo ya kifani. Nilikuwa nasubiri nini kitafuata, Mercy akaniita "DeMostAdmired naomba msamaha sana kwa yote nilokufanyia ninaweza kujielezea na naamini utanielewa, mimi nakupenda sana". Kwa wazoefu mtanielewa, nilijikuta napatwa na hasira sana nikafungua mlango nikasepa zangu sikuongea chochote nikamwambia Recho asirudie tena kunikutanisha na Mercy waniache kwanza.

Kwa kiasi flan nikapata ahueni kwasbb niliona Mercy Sasa yamemshinda huko alikokuwa na kaona kuwa mimi ni wamaana.
Baada ya pale ndugu zangu zilikuwa ni cm na texts mfululizo kutoka kwa Mercy. Nilijikaza kama kwa wiki moja hivi then baadae nikaona haina shida ngoja nianze kumpokelea cm zake na kujibu texts zake.

Mawasiliano yalirudi na Mercy kwakuwa nilikuwa bado nampenda nikaamua nirudiane naye. Kimbembe kilikuja kwa Merry, Mercy aligundua kuwa nipo na Merry, akaniambia niachane naye. Mimi naye sikuwa na hiana nikamuweka pembeni Merry japo siku moja moja nilikuwa namtafuta tunapasha viporo.

Ndugu zangu speed alorud nayo Mercy kwangu ilikuwa sio ya kawaida, yani nilikuwa napewa mapenz ya premium version.
Nilikuwa natolewa out za kustukiza, mazawad yakutosha hakika nikaanza kukaa sawa japo kumbe tyr Ile shida ya moyo ilikuwa ishakuwa kubwa yani furaha nilikuwa nayo ila Ile shida ya kutokwa na jasho sana iliendelea. Nilikuwa najiskia vbaya sometimes na hii nikajua tu ni kwasababu ya trauma alonisabbshia Mercy.

Kuna mkasa ulitokea, kifupi ulikuwa ni ugomv mkubwa kati ya Mercy na Merry, Mercy alimfata Merry akampiga bit na Merry naye akakaza asee ilikuwa ni tatizo lakini mimi niliona Mercy analeta wivu wa kinafiki kwasababu yeye ndo alisababsha mpka nikamtafuta Merry. Washkaji na madem wengine class wakawa wananisihi nisimuache Merry kwani Mercy tyr alionekana ni mtu wa kijinga. Pamoja na watu kunisihi vile lakini bado nilikuwa siwasikii mwsho wa siku nikachagua kuishi na Mercy.

Siku zilisogea tukawa tunakaribia UE, nikaanza kuona dalili mbaya kwa Mercy.
Kifupi nilianza kuona dalili za mimba kwa Mercy, niliona amekuwa mchovu, kutema tema mate. Nikaona kabisa huyu atakuwa na mimba, ikabidi nimuulize kwasababu mzunguko wa Mercy nilikuwa naujua na kwamuda ambao tulikuwa tumerudiana naye baada ya kutoka kwa Dokta niliona kabsa kama ni mimba basi sio yangu hundred percent.

Nilipomuliza akanambia ataenda kupima, alipoenda kupima kweli bhna alikuwa na mimba.

Nikamuliza mimba ya nani, Mercy hakutaka kunidanganya alinambia kwamba mimba anahisi ni ya Dokta sio yangu.

See you.......
Hapo pa kurudiana na Mercy pamenikwaza( I dont blame you, upofu wa penzi la Mercy ulizidi logic and reasoning). Merry wa watu aliyekuhifadhi wakati wa shida ukamuacha. Too bad.
 
DeMostAdmired,

Pole kwa yaliyokukuta hasa changamoto ya afya ya moyo.

Japo hatukulaumu kwa mazingira uliyokuwa unapitia; lakini kumuacha Mary for Mercy after everything you had been through, was a grave mistake.

Ulipaswa umpende Mary maana she was there when Mercy deliberately couldn't. You should have reciprocated her love.

Otherwise, karma would fairly go after you.
Hii english iko deep.
 
Habarini vijana na wazee wahuni wakitanzania,mimi ndiye huyo dokta niliyemlomba Mercy, hajawadanganya, nilimlomba pia rafiki yake huyo Mercy feki pamoja na wanafunzi wengine wengi sana, hamjadanganywa, tusigombanie hawa vicheche ni urithi wetu, huyu dogo alikuwa arrogant na limbukeni siku anakuja na huyo muhuni kuniambia niaachane na demu wake, nikataka kujua demu anajipya gani, kiukweli dogo kei yake ilikuwa inabana na sikuweza kumuacha kirahisi, ngojeni kuna mtanzania malaya mwezenu hapa anakula sindano ya Gentamycine nimudumie, bolo hoyeee
So Dr anachoma sindano sio? Tena ya Genta
 
Kuna siku nilikuwa katika baiki nasepa chuo njian ilinipita gari na nikahisi ni gari ya Dokta, nilikuwa nimekaribia kufika chuo. Niliona ile gar imesimama akatoka Mercy akasepa na gar ikageuzwa ikaondoka.
Mpaka useme ulivyogongewa usisahau kile kipande ulipowapigia Chabo Dokta na Mercy, Mercy akiwa anakatwa utepe na Dokta mpaka ukapiga kelele "ana mshono huyooooo mkunje taratibu....."

Mtu mzima hachungwi
 
Tuendeleee.......

Hapa nikaona kabisa Mercy hakuwa na mapenz na Dokta ila shida ni tamaa za pesa na Dokta alikuwa hana mpango wa kumuoa Mercy ila alihitaji kunikomoa tu. Nilihisi vile baadae baada ya siku moja Dokta kunitumia ujumbe "dogo wanaume tushafanya yetu ole wake hiyo mimba mkaitoe".

Hii text alinitumia siku moja kabla ya Mercy kufanya jaribio la kuitoa ile mimba. Hii text sikumuonesha Mercy niliona kama ntamchanganya tu na Haina maana.

DOKTA ALIMTIA MERCY MIMBA KWA MAKUSUDI NA ALIMLAGHAI KWA PESA ZAKE, HII KITU MERCY MWENYEWE NDO ALINAMBIA.

Niliwaza kama Mercy alikuwa hampendi Dokta ni kwanini alikubali kufanya nae tena kavu siku zake za hatari. Sikupata majibu sahihi nikaamua kuipotezea tu japo niliishia kuamini kuwa pesa ndo ilimshawishi Mercy mpka kubeba mimba.

Swala la Mercy kwenda namimi kwao akanitambulishe sikulikubali niliona Mercy hajafikiria kwa kutuliza akili na pia binafsi sikuwa tayar kuoa mwanamke mwenye mtoto.

SIKU YA KUAGANA NA MERCY ILIKUWA NI MAJONZI SANA.

Nilimsindikiza stand akapanda bus kuelekea kwao. Mimi naye nilibaki kwanza pale town kuna mambo yangu nilikuwa nayafatilia.

Nilikaa kama mwezi hivi ukizingatia hata kodi yangu bado ilikuwa inasoma. Kipindi kile nipo bado pale town niliamua nimtafute Merry, Merry alikuwa tayar kashaondoka kwenda Field alienda mkoa wa dodoma. Nilipomaliza mishe zangu nikapak vitu vyangu nikaondoka nyumbani namimi.

Mawasiliano na Mercy yaliendelea ila upande wangu nilianza kuona Haina tena haja ya kumtafuta mara kwa mara ila yeye alikuwa ananitafuta sana ananisihi nimuoe hata kama bado sijajipanga yeye kwao pesa so shida sana. Aliahidi ataomba pesa ya mtaji tuanze kuzichanga mdogo mdogo ila mimi nikaona kabisa Mercy nikimuoa na tayari kazaa na Dokta nitakua nimejitia kitanzi na kujibuturia kistuli mwenyewe.

Matokeo ya semester ya mwsho yalitoka na mimi na Mercy sote tulifaulu vizur hakukuwa na mtu mwenye kimeo.
Japo nilikuwa bado naumia kumkosa Mercy lawama zangu zote nilizielekezea kwa Dokta na niliahidi kutokuja kumsamehe yule jamaa.

Ilikuwa mwez wa1 mwaka jana Mercy alijifungua mtoto wa kiume na anamuita Johnson, still Mercy ananisisitizia nimuoe lakini bado sioni kama kumuoa Mercy nitakuwa nimefanya jambo la msingi.

Mimi naye hali yangu ya kiafya ilichange ghafla nakumbuka ilikuwa mwez wa 12, 2022 hata graduation sikufanya, nilipatwa na kama kistroke flan yani upande wa kushoto haukuwa sawa. Nilishindwa kutembea, nilipoteza uwezo wa kuongea kwa takriban wiki Moja yani mdomo ulikuwa mzito sana ila nilikuwa natumia maandishi nilipokuwa nahitaji kuongea na mtu.

Nilipelekwa hospital nashukuru Mungu pamoja na madaktari walifanikisha kunipa huduma nikarudi katika hali yangu ya kawaida.
Nilitumia madawa tofaut tofaut ila kuna hiyo moja siwez isahau. Najua kuna wataalam wa afya humu wanaijua vizuri inaitwa "Aten" sijajua kama ndo jina linaishia hapo au linakirefu chake. Hii dawa bhna nakumbuka siku hiyo nilikuwa bado siwez kuongea mtaalam akaagiza ikachukuliwe hii dawa, ni tu vidonge tudogo sana kiumbo, niliambiwa nimeze kamoja tu kwa siku ila mziki wake hii dawa sio wa kitoto.

Hii dawa ukiitumia inakufanya upate ham ya kuongea, inakufanya ujihisi raha yani sinywi na sijawahi kutumia pombe lakini nature ya hii dawa inataka ifanane na tabia ya pombe. Nilikuwa naambiwa nimeze kimoja kwa siku lakini nilikuwa nataman nipige hata tutatu kwasababu yani vilikuwa vinanichangamsha kwanzia kichwani mpka sehem zingine za mwili.

Nilipona kabisa na mpka sasa niko poa.
Mercy naye anaendelea vizuri na mtoto wake na kila siku ananitafuta (hata asubuhi hii kashanitumia text) tunaongea na kuchat saana. Kila siku ananikumbusha kuhusu swala la ndoa na anasisitiza sana nimuoe kwani ananipenda lakini mimi bado sipo tayar kwasababu Mercy tayar anamtoto na sio mtoto tu ila mtoto ni wa Dokta mtu mwenye ROHO mbaya.

NIKIONA KUNA HAJA YA KULETA MREJESHO JUU YA MIMI NA MERCY BASI NITARUDI KUWAPA MREJESHO JUU YA NINI KINAENDELEA LAKINI MIMI BADO SIONI KAMA NINAWEZA KUMUOA MERCY.

Naomba kufunga Uzi wangu kwa kuwashukuru nyote na nawatakia kila lakheri katika safari yenu hapa duniani hasa katika ulimwengu wa mapenzi.

AHSANTENI 🫶🫶🫶.
 
Ahsante kwa story

Ingetokea Mercy hana mtoto. Ungeweza kumuoa?
 
Hongera ila inaonekana utamuoa. Sasa na mimi naleta kwenu stori yangu "JINSI MKE WA JIRANI ALIVYOCHEPUKA NA KUNISALITI"
 
Back
Top Bottom