omuhima
Member
- Feb 23, 2024
- 17
- 37
Tuko hapa mimi kama aliyekuwa CR wao
nauliza hivi katika wafuatiliaji wote 68k plus hakuna wahusika wa huu mkasa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nauliza hivi katika wafuatiliaji wote 68k plus hakuna wahusika wa huu mkasa?
Alipiga na kiswaswadu bila shakaHapa tulienda na Mercy kuzurula ilikuwa ni weekend alinipigia hii picha
😂😂😂😂 akigoogle je?🤣🤣🤣Uandishi wako haujakaa ki Daktari aisee.....kama kweli hebu nitajie dawa ya Hemorrhoid au Clonic UTI
Ya kugoogle inajulikana🤣😂😂😂😂 akigoogle je?
Ulipona wewe mwenzangu mimi sikuachwa salamaBinafsi nimewahi kukutana na hawa wadudu WABAYA doctors kwenye anga zangu Mara tatu Mara mbili nikiwa mchuo kama ulivyokua wew Mara moja nilipokua kibaruani. Hyo ya chuo ilikua miaka hyo ya 2018 nakumbuka niliimwa sanaa ikapelekea kulazwa hospital fln hv ya private sasa aliekua ananitake care ni mpenzi wangu (nikiri tu huyu mtoto alikua mzuri sana yan pisi kweli ) nakumbuka siku hyo ilikua usiku nimelala nimetundikiwa drip zile af kitanda cha pili alikua alikua amekaa dem Wang anajisomea coz next day alikua na pepa la chuo.yule doctor aliekuwa anicheki hali yangu pamoja na zile drip akaanza kumtongoza dem wangu IN MY PRESENCE aisee !nahisi alijua nimesinzia au nimezidiwa so nisingeweza kuskia , alikua anamsifia alivyo mzuri pia ni mtu mwenye kujali sana na blaa blaa zngne . nilimsikia akimwambia kwakua huyo mpenz wako anaumwa naomba mm nichukue majukum yake ikiwa ni pamoja na kuclear bills zote na pia kama kuna shida binafsi basi anaweza kumsaidia na pia akamuahidi angempatia sehem ya kufanyia kazi kwani anarafiki yake ambae ni Hr manager kitengo flani(jina kapuni) yan yule doctor nakumbuka alikaa pale sio chini ya masaa manne anapanga mistari yake , muda huo Mimi kimyaa! Napambana na drip zangu.jamaa alifanikiwa kukwara namba doh Ila dem hakutoka pale mpaka asubh alivyoenda kwa pepa . Alivyorudi bdae akanikuta Nimepata nafuu kdg na ningeweza kuruhusiwa mda mchache tu. To cut the story mda Nimeruhusiwa nilimfata yule doctor nikiwa na Lzy nikamchana mbele ya dem na nikamwambia upuuzi wote aliokua anamwambia manzi yangu na nikamtishia ntaenda kumreport kwa mkuu wake wa kazi. Kiukwel jamaa aliniomba samahan na ngoma ikaisha . nilivyofika nje nikamwambia lz nipe hyo namba ya huyu qummer Fanya fasta , nikaichukua af nikamwambia iblock kila tundu then futa. Bdae dem alinieleza kila kitu kumbe jamaa alikua anamtumia matext ya kulia lia . (hii battle niliwin kiurahisi coz nilikua na mm sio mchovu financially or biologically) .Samahann kwa uandishi mbaya wakuu
Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
tatiz lako ulikuwa na pigo za kishambaUlipona wewe mwenzangu mimi sikuachwa salama
Kuwin hii pia inataka pia demu asie na njaaBinafsi nimewahi kukutana na hawa wadudu WABAYA doctors kwenye anga zangu Mara tatu Mara mbili nikiwa mchuo kama ulivyokua wew Mara moja nilipokua kibaruani. Hyo ya chuo ilikua miaka hyo ya 2018 nakumbuka niliimwa sanaa ikapelekea kulazwa hospital fln hv ya private sasa aliekua ananitake care ni mpenzi wangu (nikiri tu huyu mtoto alikua mzuri sana yan pisi kweli ) nakumbuka siku hyo ilikua usiku nimelala nimetundikiwa drip zile af kitanda cha pili alikua amekaa dem Wang anajisomea coz next day alikua na pepa la chuo.yule doctor aliekuwa anicheki hali yangu pamoja na zile drip akaanza kumtongoza dem wangu IN MY PRESENCE aisee !nahisi alijua nimesinzia au nimezidiwa so nisingeweza kuskia , alikua anamsifia alivyo mzuri pia ni mtu mwenye kujali sana na blaa blaa zngne . nilimsikia akimwambia kwakua huyo mpenz wako anaumwa naomba mm nichukue majukum yake ikiwa ni pamoja na kuclear bills zote na pia kama kuna shida binafsi basi anaweza kumsaidia na pia akamuahidi angempatia sehem ya kufanyia kazi kwani anarafiki yake ambae ni Hr manager kitengo flani(jina kapuni) yan yule doctor nakumbuka alikaa pale sio chini ya masaa manne anapanga mistari yake , muda huo Mimi kimyaa! Napambana na drip zangu.jamaa alifanikiwa kukwara namba doh Ila dem hakutoka pale mpaka asubh alivyoenda kwa pepa . Alivyorudi bdae akanikuta Nimepata nafuu kdg na ningeweza kuruhusiwa mda mchache tu. To cut the story mda Nimeruhusiwa nilimfata yule doctor nikiwa na Lzy nikamchana mbele ya dem na nikamwambia upuuzi wote aliokua anamwambia manzi yangu na nikamtishia ntaenda kumreport kwa mkuu wake wa kazi. Kiukwel jamaa aliniomba samahan na ngoma ikaisha . nilivyofika nje nikamwambia lz nipe hyo namba ya huyu qummer Fanya fasta , nikaichukua af nikamwambia iblock kila tundu then futa. Bdae dem alinieleza kila kitu kumbe jamaa alikua anamtumia matext ya kulia lia . (hii battle niliwin kiurahisi coz nilikua na mm sio mchovu financially or biologically) .
Duuh na kweli,ila umri wake bado maana ni chali hajafika hata 28 huyuBila hivi hawa wanao zingua kwa kujifanya wanapenda huwa hawaelewi.
Yaani jitu halijihurumii....muda huu anaumwa hadi Moyo kisa huyo demu wake ila hakomi sasa tuongee nae vipi....?
Tumbembeleze kama mtoto au.....? Inabidi apate makavu live ili akili ifanye kazi
Sasa mkuu ulitaka awe anamkodia ndinga? Akati ndio uwezo wake na anasev nauli kwa alichonachotatiz lako ulikuwa na pigo za kishamba
yan dem unampeleka chuo kwa baki kam wanyamwez vile wanavoenda shamban kulima wenye hela wamewin easy kabisa
AiseeHapa ndo ulipotibiwa
View attachment 2917015
View attachment 2917016
Unaikumbuka Hii offisi unamkumbuka nani kati ya hao..View attachment 2917017
MwambieSasa mkuu ulitaka awe anamkodia ndinga? Akati ndio uwezo wake na anasev nauli kwa alichonacho
Niliona vita ingezd kuwa ngumMkuu naomba nıandıke kwa erufi kubwa ili unijibu "WAKATI UNATAFUTA NJIA YA KUFANYA DOCTOR AMUACHE MPENZI WAKO, HAUKUWAZA LABDA KUMPELELEZA DOCTOR ANAPOKAA UPATE NAMBA YA MKEWE ILI WAKATI ANAPIGA PIGA SIMU KWA MPENZI WAKO NA WEWE UNAMWAGA UPUPU KWA MKEWE KUWA MUME WAKO ANASUMBUA MPENZI WAKO"??
Wala sio hapo anabashiri tuAisee
Nimependa namba nne pamoja na itimisho big up sana mzee kwa kuwaza kama mimiNilichokiona mimi kwenye somo hili bwana Admired bado anampenda Mercy kutoka moyoni kikwazo ni mtoto tu kulingana na maandishi yake na pia nadhani amekutana na wasichana kadha wa kadha lkn wengi hawajafit kwenye vigezo vya jamaa ikiwemo huyo Marry yaani ilotokea emergence lkn hafit kwenye cretaria za msela
Sasa nini kitatokea mbeleni!!!?
Hapa kuna mambo wawili ambayo yataendelea kumtafuna jamaa mpk aje mwanamke wa vigezo vya Mercy na si suala la rahisi kufanikisha japo inawezekana akiwa mvumilivu
Pili jamaa akimuoa Mercy hakika mateso hayatakoma kwake labda Dr afe maana yeye ( dr ) yupo kwa ajili ya kumkomoa jamaa yetu na anajiona mshindi na hana mpango hata na huyo Mercy wa kumuoa hata mke wa pili
Tatu ,kama inawezekana mshauri Mercy aolewe na mtu mwingine kabisa asiyejua background ya nyie wawili ( dr na wewe) hiyo itamleta amani ya kudumu
Nne, kwa kuwa binti alijigeuza mwili wake kuwa chombo cha starehe na hakujali hasara aliyokuletea ikiwemo ya afya yako nadhani ni vzr uendelee kumpelekea moto pasipo kumshtua kama jinsi alivyopretend kuwa hamna kinachoendelea ili hali alijua nini anafanya pasipo kujali utaumia kiasi gani
Kwa wewe usijali dr anamla au hamli ,anawasiliana nae au laa ,anahudumia au vp wewe mpige pu...mbu tu siku akili ikimwijia ajue anatumika kote kote basi atachagua njia sahihi kwake
No comment umemaliliza kila kitu hongera sana mtumishiMm sio Nabii ila naiona ndoa kati yako na mercy nawaona mtakuja kuoana hata kwa kutuficha Wana JF tusijue na nayaona majuto makubwa zaidi ya yale ya chuo kwa kufanya maamuzi hayo.
Note: 1 kikombe Cha ndoa yako ww na mercy kwa mtirirko wa story yako nipende kusema kukiepuka ni kigumu mno narudia tena mno. Simply kwasb mnapendana wapo ambao hawataelewa ila nakuambia mnapendana sio ww tu hata yeye anakupenda no matter alitoka na dokta.
Watu weng Sana wanatumia pesa kuwaachanisha watu mwisho wasiku wanaishia majonzi yaani huyo dokta pona yake ni kwakuwa ana familia asingekuwa na familia angetaka kumuoa mercy ili akukomeshe zaidi, hajui kama angefanya hvyo ungekuwa unamchapia siku yoyote ukijisikia
Kwann kwasabab nyiny hamjaachana Bali mmeachanishwa ila mioyo yenu Bado ipo pamoja na ndio maana pamoja na majeraha yote Bado distance ni 0
Fuatilia utakubaliana namm mapenz mengi yanayoachanishwa huendelea watu ili waachane wagombane wenyew na sio atokee mtu kufanya muachane
mfano mdogo wazaz ambao wanazuia watoto wao wasiliwe na vijana mtaani anasemwa Leo kesho kama kawaida tena na yule yule ila siku wakigombana wenyew serious huoni hayo mapenz yakiwa na nguvu yanapotea taratibu Kisha kufa kabisa
2: Mateso yatakuwa makubwa kwasab katika ndoa yenu dokta atakuwa rasmi ni mwanafamilia anaweza kuja kumwona mtoto na atatumia hyo kama fimbo kukunyoosha live sio kwa msg tena.
3: Akili za kuambiwa changanya na zako kila kitu kweny maisha kinatokea kwa sababu , kuna kinachotokea kukufunza wewe mwenyewe na kuna kinachotokea kikakuumiza ww kama hv lakini mlengwa wa kujifunza yupo humu JF pengine ni Mimi , wewe ni mkristo utanielewa kwa haraka juu ya mfano huu
Samsoni alitoborewa macho lakini faida ilikuwa ni kwa wengine ambao ndio walilipiwa kisasi Hali yakuwa Mateso kapata yeye tafakar Sana hilo utapata majibu. Kama ni mpnz wa kusoma vitabu kuna kitabu kinaitwa SASA NAANZA KUISHI ameandika Mwl Francis Langula kinaweza kukupa Afya mpyaa na kesho yako Kwa ushauri zaidi unaweza nichek
Kila siku ananikumbusha kuhusu swala la ndoa na anasisitiza sana nimuoe kwani ananipenda lakini mimi bado sipo tayar kwasababu Mercy tayar anamtoto na sio mtoto tu ila mtoto ni wa Dokta mtu mwenye ROHO mbayaTuendeleee.......
Hapa nikaona kabisa Mercy hakuwa na mapenz na Dokta ila shida ni tamaa za pesa na Dokta alikuwa hana mpango wa kumuoa Mercy ila alihitaji kunikomoa tu. Nilihisi vile baadae baada ya siku moja Dokta kunitumia ujumbe "dogo wanaume tushafanya yetu ole wake hiyo mimba mkaitoe".
Hii text alinitumia siku moja kabla ya Mercy kufanya jaribio la kuitoa ile mimba. Hii text sikumuonesha Mercy niliona kama ntamchanganya tu na Haina maana.
DOKTA ALIMTIA MERCY MIMBA KWA MAKUSUDI NA ALIMLAGHAI KWA PESA ZAKE, HII KITU MERCY MWENYEWE NDO ALINAMBIA.
Niliwaza kama Mercy alikuwa hampendi Dokta ni kwanini alikubali kufanya nae tena kavu siku zake za hatari. Sikupata majibu sahihi nikaamua kuipotezea tu japo niliishia kuamini kuwa pesa ndo ilimshawishi Mercy mpka kubeba mimba.
Swala la Mercy kwenda namimi kwao akanitambulishe sikulikubali niliona Mercy hajafikiria kwa kutuliza akili na pia binafsi sikuwa tayar kuoa mwanamke mwenye mtoto.
SIKU YA KUAGANA NA MERCY ILIKUWA NI MAJONZI SANA.
Nilimsindikiza stand akapanda bus kuelekea kwao. Mimi naye nilibaki kwanza pale town kuna mambo yangu nilikuwa nayafatilia.
Nilikaa kama mwezi hivi ukizingatia hata kodi yangu bado ilikuwa inasoma. Kipindi kile nipo bado pale town niliamua nimtafute Merry, Merry alikuwa tayar kashaondoka kwenda Field alienda mkoa wa dodoma. Nilipomaliza mishe zangu nikapak vitu vyangu nikaondoka nyumbani namimi.
Mawasiliano na Mercy yaliendelea ila upande wangu nilianza kuona Haina tena haja ya kumtafuta mara kwa mara ila yeye alikuwa ananitafuta sana ananisihi nimuoe hata kama bado sijajipanga yeye kwao pesa so shida sana. Aliahidi ataomba pesa ya mtaji tuanze kuzichanga mdogo mdogo ila mimi nikaona kabisa Mercy nikimuoa na tayari kazaa na Dokta nitakua nimejitia kitanzi na kujibuturia kistuli mwenyewe.
Matokeo ya semester ya mwsho yalitoka na mimi na Mercy sote tulifaulu vizur hakukuwa na mtu mwenye kimeo.
Japo nilikuwa bado naumia kumkosa Mercy lawama zangu zote nilizielekezea kwa Dokta na niliahidi kutokuja kumsamehe yule jamaa.
Ilikuwa mwez wa1 mwaka jana Mercy alijifungua mtoto wa kiume na anamuita Johnson, still Mercy ananisisitizia nimuoe lakini bado sioni kama kumuoa Mercy nitakuwa nimefanya jambo la msingi.
Mimi naye hali yangu ya kiafya ilichange ghafla nakumbuka ilikuwa mwez wa 12, 2022 hata graduation sikufanya, nilipatwa na kama kistroke flan yani upande wa kushoto haukuwa sawa. Nilishindwa kutembea, nilipoteza uwezo wa kuongea kwa takriban wiki Moja yani mdomo ulikuwa mzito sana ila nilikuwa natumia maandishi nilipokuwa nahitaji kuongea na mtu.
Nilipelekwa hospital nashukuru Mungu pamoja na madaktari walifanikisha kunipa huduma nikarudi katika hali yangu ya kawaida.
Nilitumia madawa tofaut tofaut ila kuna hiyo moja siwez isahau. Najua kuna wataalam wa afya humu wanaijua vizuri inaitwa "Aten" sijajua kama ndo jina linaishia hapo au linakirefu chake. Hii dawa bhna nakumbuka siku hiyo nilikuwa bado siwez kuongea mtaalam akaagiza ikachukuliwe hii dawa, ni tu vidonge tudogo sana kiumbo, niliambiwa nimeze kamoja tu kwa siku ila mziki wake hii dawa sio wa kitoto.
Hii dawa ukiitumia inakufanya upate ham ya kuongea, inakufanya ujihisi raha yani sinywi na sijawahi kutumia pombe lakini nature ya hii dawa inataka ifanane na tabia ya pombe. Nilikuwa naambiwa nimeze kimoja kwa siku lakini nilikuwa nataman nipige hata tutatu kwasababu yani vilikuwa vinanichangamsha kwanzia kichwani mpka sehem zingine za mwili.
Nilipona kabisa na mpka sasa niko poa.
Mercy naye anaendelea vizuri na mtoto wake na kila siku ananitafuta (hata asubuhi hii kashanitumia text) tunaongea na kuchat saana. Kila siku ananikumbusha kuhusu swala la ndoa na anasisitiza sana nimuoe kwani ananipenda lakini mimi bado sipo tayar kwasababu Mercy tayar anamtoto na sio mtoto tu ila mtoto ni wa Dokta mtu mwenye ROHO mbaya.
NIKIONA KUNA HAJA YA KULETA MREJESHO JUU YA MIMI NA MERCY BASI NITARUDI KUWAPA MREJESHO JUU YA NINI KINAENDELEA LAKINI MIMI BADO SIONI KAMA NINAWEZA KUMUOA MERCY.
Naomba kufunga Uzi wangu kwa kuwashukuru nyote na nawatakia kila lakheri katika safari yenu hapa duniani hasa katika ulimwengu wa mapenzi.
AHSANTENI 🫶🫶🫶.