Daktari alifanya nikampoteza mchumba wangu Mercy

Daktari alifanya nikampoteza mchumba wangu Mercy

Mimi binafsi niliumia na mpenzi wangu wa kwanza ila akili haikutoka Kama jamaa .

Alikuwa anamwogopa yule Demu Malaya eti anaweza kuwa na Ngoma wakati huo hamwogopi Mercy wake aliyetoka kwa Doctor ambaye hamfahamu na Mbaya zaidi huyo Malaya wa chuo aliliwa na Doctor alivyo jifanya Mercy fake tena akiwa anajua pasipo kubakisha shaka.
Sasa Kama huyo Mercy fake alikuwa na Ngoma si uwwzekano wa kuicha Doctor upo na ikaingia kwa Mercy alafu wewe,
Yaani huli kitimoto ila mchuzi unakunywa.

Sijui ata ulisoma nini bila kuelimika yaani wewe unajua kabisa demu ameshaingia king kwa Doctor siku anrudi kutoka likizo badala ufanye fumanizi muachane unajibebisha ukale mbunye tu.
Hivi ukishapewa mbunye ndio mapenzi yenyewe eti?
Bila Amani ya moyo wako,na afya ya Akili na Mwili?
Wewe ni ndezi ndio maana aliamumua kukupa ujumbe kuwa wewe siyo mwanaume ,kwanza huna uwezo wa kutungisha Mimba ndio maana akaenda kwa Rijali Doctor.siyo hivyo tu ata kuichakata hujui ndio maana alikutoa baru akabaki na Mwanaume .

Uliye kuwa na Makosa ni wewe hakuna cha Doctor au Mercy ,kavulana kasikojua kujisimamia ,Mwanaume wa kweli ni kupasua maneno haijalishi yatamweka katika hali gani pia na kuwa na kifua kwa Yale yasiyotakiwa kusemwa yaani Siri.
Sasa wewe kila siku ni vimikasa vya ajabu Alafu mwisho unajitetea na Uongo Mtoto wa watu akaunganisha Doti japo haikuwa kweli na ndio maana akafanya alicho fanya.
Formula ni Mbili tu ukishidwa kulipa kisasi Samehe ,na ndio huyu binti alitumia japo hukuhusika ila ukiazi wako ndio ulikupa Atia ya kuficha mambo na kusema uongo.
Nahisi Mtoto wa watu hajui ukweli mpaka Leo naamini anachokijua Ulimsaliti naye akakusaliti tofauti yenu ni yeye ni Mtoto wa kike akadaka mimba hivyo tu .

Kumbe umeuficha ukweli ,Sms inasomeka kabisa Unamboo nzuri Alafu unarahisisha eti sijafanya chochote .
Ilikuweje ikaonekana na ukasifiwa najua hujui kuwa Mbooo inakaa wapi ,ni kama pua tu mtu anaweza sema hii pana hii ndufu eti.
Ulihusika kumwaribia Mercy maisha kwa ujinga wako wakiwango cha lami ,Moyo wake ukahifadhi maumivu mengi bila Sababu akaamua kutafuta ahueni kwa kulipiza .
Binafsi nilivyo nikikutongoza ukaniambia hapana ,kesho ukisema nimekubali Mimi Baba nimeshafunga kitabu,labda zile swaga za kike za kuzungusha kidogo ila siyo unatoa jibu kuwa haiwezekani alafu kesho inawezekana hichi tayari ni kichwa maji hajui kujisimamia /kuamua .

Jina halisi la hii story ni JINSI NILIVYO CHANGIA KUHARIBU PENZI KWA UONGO NA UJINGA WANGU
Safi sana umeongea point, huyo dogo hana akili..
 
Mimi binafsi niliumia na mpenzi wangu wa kwanza ila akili haikutoka Kama jamaa .

Alikuwa anamwogopa yule Demu Malaya eti anaweza kuwa na Ngoma wakati huo hamwogopi Mercy wake aliyetoka kwa Doctor ambaye hamfahamu na Mbaya zaidi huyo Malaya wa chuo aliliwa na Doctor alivyo jifanya Mercy fake tena akiwa anajua pasipo kubakisha shaka.
Sasa Kama huyo Mercy fake alikuwa na Ngoma si uwwzekano wa kuicha Doctor upo na ikaingia kwa Mercy alafu wewe,
Yaani huli kitimoto ila mchuzi unakunywa.

Sijui ata ulisoma nini bila kuelimika yaani wewe unajua kabisa demu ameshaingia king kwa Doctor siku anrudi kutoka likizo badala ufanye fumanizi muachane unajibebisha ukale mbunye tu.
Hivi ukishapewa mbunye ndio mapenzi yenyewe eti?
Bila Amani ya moyo wako,na afya ya Akili na Mwili?
Wewe ni ndezi ndio maana aliamumua kukupa ujumbe kuwa wewe siyo mwanaume ,kwanza huna uwezo wa kutungisha Mimba ndio maana akaenda kwa Rijali Doctor.siyo hivyo tu ata kuichakata hujui ndio maana alikutoa baru akabaki na Mwanaume .

Uliye kuwa na Makosa ni wewe hakuna cha Doctor au Mercy ,kavulana kasikojua kujisimamia ,Mwanaume wa kweli ni kupasua maneno haijalishi yatamweka katika hali gani pia na kuwa na kifua kwa Yale yasiyotakiwa kusemwa yaani Siri.
Sasa wewe kila siku ni vimikasa vya ajabu Alafu mwisho unajitetea na Uongo Mtoto wa watu akaunganisha Doti japo haikuwa kweli na ndio maana akafanya alicho fanya.
Formula ni Mbili tu ukishidwa kulipa kisasi Samehe ,na ndio huyu binti alitumia japo hukuhusika ila ukiazi wako ndio ulikupa Atia ya kuficha mambo na kusema uongo.
Nahisi Mtoto wa watu hajui ukweli mpaka Leo naamini anachokijua Ulimsaliti naye akakusaliti tofauti yenu ni yeye ni Mtoto wa kike akadaka mimba hivyo tu .

Kumbe umeuficha ukweli ,Sms inasomeka kabisa Unamboo nzuri Alafu unarahisisha eti sijafanya chochote .
Ilikuweje ikaonekana na ukasifiwa najua hujui kuwa Mbooo inakaa wapi ,ni kama pua tu mtu anaweza sema hii pana hii ndufu eti.
Ulihusika kumwaribia Mercy maisha kwa ujinga wako wakiwango cha lami ,Moyo wake ukahifadhi maumivu mengi bila Sababu akaamua kutafuta ahueni kwa kulipiza .
Binafsi nilivyo nikikutongoza ukaniambia hapana ,kesho ukisema nimekubali Mimi Baba nimeshafunga kitabu,labda zile swaga za kike za kuzungusha kidogo ila siyo unatoa jibu kuwa haiwezekani alafu kesho inawezekana hichi tayari ni kichwa maji hajui kujisimamia /kuamua .

Jina halisi la hii story ni JINSI NILIVYO CHANGIA KUHARIBU PENZI KWA UONGO NA UJINGA WANGU
Nimependa huu uandishi wako mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uyu jamaaa mjinga sana,anapoelekea atarudiana na uyo mesi then ndoani atapigwa matukio hadi apararase jumla...

Uyo mwanamke akupendi bali anakuitaji baada ya Kuona mambo yake Kwa dokta hayaendi sawa..wewe endelea kutumia hisia kufikiri..
 
Keng
ajiulize tuu , kwani saiz Dokta hamtafuti huyo mercy? na unazani hawaongei vizuri ? na unazani matumizi ya mtoto hamtumii? akijijibu haya maswali naamini atakata mawasiliano nae. huyo mercy anakutaka tena sababu kazalishwa na mtu ambae anafamilia yake na hawezi kumuoa.
Kenge hawaelewagi mpaka atoke damu
 
Mara nyingi manzi akikutana tu na Hawa viumbe Anza kuhesabu maumivu.
Kuna madoctor
Askari
Muuza nguo za dukani
Wasusi WA kiume
Maafisa bank
Wauza chips
Akitoa tu namba Kwa hao watu Anza kujiengua mapema.
Na kama hutak kujiengua basi kubal kushare.

Kuna manzi nilimpenda Sana nilijiaminisha Sana kwake
Nilijitoa Sana kwake Kwa hali yangu hii hii ya umaskin
Nilimpa muda wangu
Niliona Dunia ni yangu.
Ila mwisho WA siku nilikuja lipwa maumivu makali Sana.

Kupitia huyu pimbi nawaona wanawake wote kama shetan.
Yes nimeoa lakin nimeoa tu kutimiza wajibu ila mwanamke wangu simpi umuhimu wowote ule maishan mwangu.

Namchukulia tu kama mshkaji so hata akiondoka Leo hii Sina Cha kupoteza maishan mwangu .

Kwakifupi Sina Ile love ya kumpa mwanamke seriously yaan nipo neutral Sana .

Ushaur wangu Hawa viumbe tuishi nao tu ila tukijua ni kama kitanda Cha lodge Leo utalia wewe kesho atalalia mwingine ,Sina Tena huo moyo WA kumzingatia kiivo mwanamke .
and the vice versa
na sisi tunafundishana hivi hivi
 
Huyo DeMostAdmired ni lipumbavu mno, nayeye anaridhika na sababu ya kwamba eti Mercy alihadaiwa na pesa za Doctor, huyo mercy ni malaya na ni Lucifer kabisa maana pesa mbona hata kwao zipo? Ni umalaya tu ndo umempeleka kwa Doctor.

Halafu demu akikupenda, hawezi akala sana Hela zako, dogo alikuwa anachangia kodi na kutoa matumizi, mpaka akaombwa laki akawa hana, hadi mercy akakasirika. Pia demu akikupenda, atakupa K yake kirahisi, sasa dogo anadai alikuwa anamkula mara mbili kwa semister.

Cha ajabu zaidi ni kwamba, mpaka sasa huyo dogo anawaza kumuoa Single mother aitwaye Mercy, ambaye pia ni malaya mbwa na ni shetani mkubwa (Lucifer mkuu), eti mpaka sasa anajichatisha chatisha kwa mercy pmj na kulia lia. Yaani ukikutana na mwanamke Malaya anapambana na nyoka, unatakiwa umsaidie nyoka, kwahiyo dogo unatakiwa uact kama mwanaume kamili unayedindisha, acha kulia lia pumbavu zako.
 
Huyo DeMostAdmired ni lipumbavu mno, nayeye anaridhika na sababu ya kwamba eti Mercy alihadaiwa na pesa za Doctor, huyo mercy ni malaya na ni Lucifer kabisa maana pesa mbona hata kwao zipo? Ni umalaya tu ndo umempeleka kwa Doctor.

Halafu demu akikupenda, hawezi akala sana Hela zako, dogo alikuwa anachangia kodi na kutoa matumizi, mpaka akaombwa laki akawa hana, hadi mercy akakasirika. Pia demu akikupenda, atakupa K yake kirahisi, sasa dogo anadai alikuwa anamkula mara mbili kwa semister.

Cha ajabu zaidi ni kwamba, mpaka sasa huyo dogo anawaza kumuoa Single mother aitwaye Mercy, ambaye pia ni malaya mbwa na ni shetani mkubwa (Lucifer mkuu), eti mpaka sasa anajichatisha chatisha kwa mercy pmj na kulia lia. Yaani ukikutana na mwanamke Malaya anapambana na nyoka, unatakiwa umsaidie nyoka, kwahiyo dogo unatakiwa uact kama mwanaume kamili unayedindisha, acha kulia lia pumbavu zako.
Pumbavu wewe...sasa unafoka nini...kwani huwezi toa ushauri kistaarabu..

Malaya mwenyewe....kakojoe ulale ngurue pori wewe.
 
NIPO KANISANI LAKINI NIMETOKA KIDOGO NJE NIWAIPANDISHIE EPISODE MOJA.

Tuendeleee.......

Hapo nilianza kumuona Mercy mtu tofauti sana na mwanzo kwasababu sikutarajia kama angefanya ule upuuzi.

Basi nikajikaza tu huku nasikiza mziki, nakumbuka nilikuwa nimeweka playlist ya nyimbo za FireboyDML, (need you, what if I say, energy, gbas gbos, champion, vibration, wait and see n.k).
Kuchek saa ni saa nane na nusu Mercy bado hajanichek nikaona namimi nikaushe tu mpka anitafute. Kichwani zile mesej za Dokta zilikuwa hazipungui muda wote zinajirudia. Nikamkumbuka mpka yule bro wa tanapa japo nikaona hata angekuepo msaada wake isingeweza kumrudisha Mercy kwangu.

Siku ile kusemazaukweli nilipanga niachane na Mercy nijikite katika masomo yangu nitoke na GPA nzuri. Kidogo mara cm yangu ikaita kichek ni Mercy, nikapokea akanambia niende kwake tyr kasharud. Lakini nikamwambia sitakwenda muda ule nitaenda jioni.

Alijistukia akaniuliza vipi kuna shida nikamwambia hakuna tatzo.
Nilipanga nisiende muda ule kwasababu nilikuwa ninahasira sana na Mercy tungejikuta tunagonbana tu hafu ingekuwa jau.
Basi jioni ilipofika nikajikusakusanya kwenda kwa Mercy, nilimkuta anachezea cm yake iphone seven ya gold mpauko. Alikuwa keshapika ilikuwa na wali na samaki, tukavunga kwanza tuvute muda ndo tule.

Nilikiamsha nikamuliza kwanini alikuwa hapatikani na kachelewa sana, akajibu cm ilizima chaj na kwa anko wake kunashida ya umeme kulitokea shot. Nikajikaza kumuelewa lakini nikawa nawaza nimuoneshe zile texts za Dokta ila nikaona haitasaidia ila itabomoa nitamfanya Mercy aniache mazima direct maana nilikuwa cna uhakika kama ile battle ningeiweza na kumfanya Mercy amuache Dokta.

Hapa nikaanza kujiona mimi ni mpenz mtazamaji hata show alikuwa ananipa kuniridhisha tu ndo jinsi nilivokuwa nahisi.
Siku zilisogea semester ikasonga vitimbwi vikaendelea. Hakika Dokta alimteka Mercy kwa kutumia pesa zake, ilifika hatua Mercy akawa ananiomba pesa nyingi ili nishindwe kumpa then aanze complain. Nikaona kama ni kitu cha ajabu maana

Mercy hakuwa anaomba pesa ndefu kias cha kunikomoa. Mwanzo alikuwa anaomba labda pesa ya kusuka alikuwa ananitajia kiasi labda naomba elf15 nikasuke, labda elf10 ya kitu flani, elf20 ya jambo flan na haikuwa mara kwa mara.
Sasa ghafla nikakutana na ombi la laki moja anasema anahitaj kubadir cm auze ile aongezee anunue kubwa zaid. Nikamwambia aniwait kidogo boom likitoka nimpe hiyo pesa aliitikia kwa unyonge sana na kama dizain ya kukomplain kidogo. Nikaona huyu kashaingiwa na tamaa baada ya kuonja utam wa penz la pesa la Dokta. Nikaona kabisa huyu mtu simuwez kwasasa na kifupi sio level zangu.

Nikaanza kupanga mikakat ya kujiondoa kwake taratibu lakini nikawaza nikusanye evidence juu ya mahusiano yake na Dokta ili siku akiona nimejitoa niambatanishe zile evidence ili aone makosa yapo wapi. Nikapanga kumchek Mercy feki ili akikutana tena na Dokta apige picha chats zote then anitumie tsap. Hakuwa na noma yule dem plus alikuwa anahitaj rungu langu mpka kesho bas hakunipinga akaona pia ni fursa maana yalikuwa ni mazingira ya kuandaa kuachana kwetu mimi na Mercy og.

Huku mimi nikaanza kumkataa Mercy taratibu, nikawa sometimes nampitia na baiki siku nyingne simpitiii, somedays naenda kula kwake siku nyingine siendi yani nikawa nafanya vile ili siku tukiachana niwe nishazoea.
Siku zilienda tukawa tunaishi hvohvo kwa kuforce ilifika muda mawasiliano yakapungua kwa kiasi kikubwa. Mercy alikuwa anamuliza shida nini namimi namjibu hapana nipo sawa kabisa asiwaze. Lakini nikawa namuona kama mnafiki kuuliza kitu anachokijua.

Siku moja Mercy alinitumia ujumbe kwamba anaenda kwa anko wake na atalala hukohuko maana mamaake mzaz kaja kwahyo Hana uhakika kama atarudi siku ileile. Nikakubali lakini kinawa najua kabisa Mercy kanidanganya ila anaenda kuliwa.

Nakumbuka ilikuwa ni weekend, nikapata wazo nimwambia Mercy fek amchek Dokta aombe mtoko siku ile. Nilipomchek akanijibu alikuwa na mpango huo yeye binafs kabla hata ya mimi kuwaza hilo na alikuwa ashamuomba watoke na Dokta kamjibu siku hiyo atakuwa yupo bize sana na hatokuwa na muda, tayari nikahitimisha Mercy anaenda kwa Dokta. Nikarelax nikaona Haina haja ya kuendelea kuumia nikawa nafanya mambo yangu tu.

Ndugu yangu hakuna kitu nilikuwa nacho makini kama kusoma, Mercy aliniumiza sana lakini sikuwahi kufeli hili ndo naloshukuru mpka Mercy mwenyewe na marafiki zake wakawa wananiita mimi mchawi wa masomo. Kwasabb sikuruhusu mambo yangu yaingiliane na masomo yangu.

Asee siku Ile Dokta alituma tena mesej "dogo vipi umeshindwa kumdhibiti Mercy". Nikaona Dokta sasa hata kama ni ROHO mbaya kazidisha na hiyo sas ni arrogance. Nikamjibu kistarabu tu "tumia muda wako vizur enjoy" then nikakaa zangu kimya.

Seeee you.......
===
Muendelezo soma Daktari alifanya nikampoteza mchumba wangu Mercy
Pole sana, huo ndiyo ukubwa mambo mengine hayatakusumbua japo uliumia sana.
 
Tuendeleee........

Nipo zangu geto siku hiyo naona mesej ya Mercy "nimepata hiyo sup kwasababu yako". Kiukweli sikuwa na ham ya kujibu hata ile text ya Mercy huwezi amini nilikuwa nina hasira naye sana japo kupata kwake sup iliniuma.

Baadae nikaona hapana ngoja nimjibu, niliandika short text "pole, utaichomoa usiwaze". Mercy hakujibu tena.
Kulikuwa na baadhi ya nguo zangu kwa Mercy nikaona nazipataje maana nikama nilikuwa tyr nishaachwa.
Nikaona nizipotezee tu maana hazikuwa nyingi na za maana kivile. Niliona Mercy ile sup kwa kiasi flan ingempunguzia kasi na atajirud kwangu kumbe nilikuwa najidanganya.

Kuna siku nilikuwa katika baiki nasepa chuo njian ilinipita gari na nikahisi ni gari ya Dokta, nilikuwa nimekaribia kufika chuo. Niliona ile gar imesimama akatoka Mercy akasepa na gar ikageuzwa ikaondoka.
Siku hii nilijiona kama kuishi kwangu duniani ni adhabu kubwa, niliona ulimwengu umenielemea, nilichanganyikiwa sana na machozi yalinilenga.
Nilipofika venue nikamkuta Mercy yupo na wenzake wanapiga stors, niliwasalimia then nikasonga zangu kutafuta place nikae.

Kuna huyo dem tulikuwa tunasoma wote anaitwa Sozi, Sozi alikuwa ni mmoja ya walokuwa wananikubali sana na alifanya kila njia niwe naye katika mahusiano lakini nilikuwa nishazama kwa Mercy. Pale nilipoenda kukaa nilimkuta Sozi na madem wengine kama watatu kulikuwa na nafasi kama ya watu wawili ilikuwa imebak, Sozi aliponiona akaniita kwa bashasha akanambia niende kukaa naye eti kaniwekea seat.

Namimi sikukataa nikaenda, nilivofika wakalopoka "hey handsome njoo ukae hapa jamani tumekuwekea seat" hili bench kilikuwa hatua mbili mbele ya bench alokuwa amekaa Mercy. Nilipofika Sozi akanambia "handsome karibu, you are so handsome hivi unalijua hilo lakini?" Niliona kama ananizingua tu nikamzuga zuga tutaendelea kula stor.
Yale maneno ya Sozi yalifika alipokuwa amekaa Mercy na wenzake kwani mmoja wa marafiki wa Mercy yule Recho nilimsikia akisema "handsome wako kachukuliwa huko" nikawa makini kusikia Mercy angejibu nini lakini aliguna tu. (Mercy siyo talkative).

Sozi alianza kunilipua akasema saiv siwaelew wewe na Mercy mbona kama hampo sawa, nikamjibu achana na hayo mambo tupiga stor zingine. Sozi akacheka akanambia "nilokupa nafas ukachezea saiz tungekuwa tunaenjoy zetu, of course Sozi alikuwa ananipenda lakini sikutaka kuwa naye kwasabb ni mtu wa maneno mengi na mimi sipend dem wa hivo yan tusingedum.

Kile kitendo cha akina Sozi kuniweka seat na kunikaribisha kwa bashasha kilimfanya nijiamini kwa kiasi flan nikaona kumbe ninathamani kwa watu, nikaona Mercy kuniacha nisijione sina thamani nikamalizia kuwaza na kale kamsemo "ukinidelet wengine wananidowload"

Lecturer aliingia tukapiga pind then tukasepa, siku ile hatukuwa na vipindi vingi. Tulivotoka Mercy aliikiwa na gar akasepa. Hii hali nilijidanganya kwamba nishaizoea kumbe ilikuwa inaniumiza taratibu.

Washkaji walikuwa wananicheka sana kwasbb Mercy alikuwa anafanya kama kunikomoa na sikuwahi kudhani kama Mercy angefikia kufanya mambo ya kikatili vile kwangu kwasabb alikuwa ni dem mpole na mstaarabu sana.

Hali ile ya kudharirishwa na Mercy ilikuwa inaniharibu akili taratibu. Nilikuwa najiona kama nabadirika taratibu taratibu lakini nikawa siyatilii maanani yale mabadiriko.
Usiku nilikuwa natokwa sana na jasho, nikaanza kuwa mtu muongeaji sana, nikaanza kukonda Zaid na Zaid, nikaanza kuacha nywere zinakua mpka zinapitiliza yani kifupi nikaanza kuona kama naenda kuwa chizi lakini mimi nikawa najiona kawaida tu. Nilianza kuwachukia wanawake pia, nikawa nahasira nao tofauti na mwanzo.

Rafiki yangu Mbwambo alinigundua kwamba naenda kuharibikiwa, kuna siku alinifata akanambia anahitaji kuongea namimi nakumbuka ilikuwa tupo chuo kwahiyo tukapanga baada ya vipindi tutaongea wakat tunarud kitaa maana Mbwambo pia alihamia kitaa.

Njiani Mbwambo alinambia kwamba anaona sipo sawa na nahitaji nipate mtu wa karibu kwa kampani na uangalizi, nilimkatalia lakini akanisihi kwamba atahakikisha anakua namimi benet hatakubali kuiona nazd kuteseka. (Kama wenye shida za afya ya akili wengekuwa wanapata watu kama Mbwambo basi suicide cases zingepungua sana).

Mbwambo alinambia nichakue nihamie kwake au yeye ahamie kwangu, nikamwambia Haina haja lakini alisisitiza tena kwamba "kaka haupo sawa niamini mimi unahitaj kampani". Basi nikakubali nikahamia kwa Mbwambo.

See you......
Kwahiyo utarudi lini! Ukirudi unitafute sawa mdogo wake na nihii.....
 
Tuendeleee........

Maisha yalisonga nikiwa nipo kwa Mbwambo lakini nilikuwa narud magetoni kufata nguo na vitu vingine incase. NAMSHUKURU SANA Mbwambo alinisaidia sana.

Ngoja nimwambie kitu, Mbwambo kuna kipindi mwaka wa pili aliandamwa sana na sup ilibak kidogo adisco, Sasa aliniomba wakat wa kusapua ukifika basi niwe naye around ili niwe nampiga piga msasa. Baada ya field niliahirisha kwenda home kwaajili pia ya Mbwambo, tulikuwa tunakesha wote nampiga msasa na hatimaye akachomoa zote hii mwenyewe sikuamini yani jamaa alifuta sap zote alikuwa nazo tano ( sem2+sem3).

Nahisi hiki kitu ndo kilimfanya nayeye anisaidie na kuniona wa maana kwake. MERCY kuletwa na Dokta chuoni ikawa ni kawaida. Mimi huku hali ilizidi kuwa mbaya wanafunzi wenzangu walikua wote lakini Mercy hakujali hili.

Mbwambo alinishauri nitafute dem angalau wa kuniliwaza, nilimuona kama anaongea ujinga nikawa namjibu "kama Mercy wangu kabadirika kawa hivi basi hakuna dem mwingine nitakuja kumuamini".
Mbwambo akanambia "huyu dem naye kushauri umtafute sio kwa ajili ya kumpenda awe mpenz wako bali unasukuma naye time tu semester ikate tumalizie chuo". Haya maneno yalinifundisha kitu.

Baadae nikaja kumsikiliza Mbwambo lakini nikawa bado naathiriwa na ujinga wa Mercy, hakika nilikonda sana, nilikuwa natokwa na jasho sio polepole.

Nikaanza kufikiria ni nani nimvute awe bebe yangu kwa muda, nikawaza Mercy fek nikaona hapana ataniona kama mtu ninayetanga tanga baada ya kuachwa na Mercy kwasababu ni mtu aliyekuwa anajua kilichokuwa kikiendelea mwanzo mwsho.

Nilikuja kumpata dem mmoja anayeitwa "Merry" hii ni real name.
Huyu alikuwa ni mtu wa singida. Marry alikuwa ni first year, niliamua kwenda first year ili iwe ngum kwa dem wangu mpya kufaham story yangu na hata kama atakuja kuifaham basi iwe tyr nishamuweka under utawala wangu kwahyo haitakuwa na shida sana.

Nilikuwa na huyu Merry lakini nikawa najisemea kama Mercy atarudi Merry anaoigwa chini fasta tu maana Mercy alikuwa ananafasi ya kioekee katika moyo wangu.

Ndugu zangu huyu Merry ni binti mwembama, mrefu, mweupe na nywere zake zakiaina flan nadhani ni mtu wa singida lakini kamix na wairaq.
Merry alikuwa ananipa penzi as if alikuja kwangu kwa lengo la kunitibia yake maumivu kutoka kwa Mercy.

Merry alikuwa ananipa mapenz ya moto na ya dhat yani kama dozi hakunibania kama Mercy alivokuwa ananifanyia. Namimi nikaenda na tempo yake ikawa ni mwendobwa show tu yani nilikuwa nikimwambia nipo geto dakika chache tu namuona huyu hapa, nilianza kupata afadhar lakini ile hali ya kutokwa na jasho ilikuwa bado inaendelea na kukonda kukawa palepale kumbe nilikuwa nimepata shida mpka kwenye moyo sikuwa najua.

Ile semester ya mwisho ilikuwa ngum sana lakini nafikiri ingekuwa ngumu Zaid kama ningekuwa sina akina Mbwambo na Merry dem wangu wa first year.

Merry alikuwa ananijali sana na nikaanza kumpenda lakini bado Mercy still alikuwa anarotate katika mind yangu na muda wote nilikuwa namuwaza kwakweli.
Siku zilienda maisha yakasogea semester ikawa inakaribia mwishoni. Hapo Sasa mawasiliano na Mercy hayakuwepo kabisa na nikawa namuona tu venue, kitaa basi.

Kuna siku niliumia sana, ilikuwa ni weekend nimeenda town, nilikuwa alone nlienda crdb town kutoa pesa maana ATM ya kule chuoni ilipata shida kidogo kwahyo ikanibid niende town. Nilivokuwa navuka barabara ili niingie bank nikamuona Mercy na Dokta wanatoka kwenye duka la vipodoz lilikuwa mkabala na bank. Wao hawakuniona, ile kitu iliniuma sana nikatamani nimchek kwenye cm japo nimwambie nimemmiss lakini nikaona ni upuuzi nitampa point tatu za bure.

Kidume nikajikaza hilo jambo likapita nikazoea, kuna siku tena nikawaona wanatoka alipokuwa anakaa Mercy walikuwa katika gari wanaishirizia zao mtaani. Nikiona mengi nilivumilia lakini baadae nikaja kuoma nguvu ya kukaa kimya.

Ulikuwa imebak kama mwez hivi tuingie UE ya mwisho tumalize chuo, siku hiyo nikaona mesej ya Recho rafkiake Mercy. Alinichek akanambia Mercy ni kama hayupo sawa anaonekana kazinguana na Dokta wake.

Nikamwambia asante kwa taarifa lakin asiwe ananambia habari za Mercy kwasbb nilikuwa nikisikia jina lake moyo ulikuwa unalipuka kama nimepigwa na shot ya umeme wa grid ya taifa.
Sio kusikia jina tu hata nilipokiwa nikimuona nilikuwa nalipukwa sana na moyo. Hii hali ilikuwa inanisababisha natokwa sana na jasho na nakuwa na hasira sana zisizo na maana.

See you......
Pole sana, ila majibu yatatoka tu.
 
Tuendeleee......

Baada ya wiki moja tena Recho akanambia anahitaj kuniona nikamuliza kuna shida gani akanambia anashida zake binafsi. Tukapanga tuonanae geto kwake huyu Recho, geto kwake sio mbali na kwa Mercy.

Siku hiyo nipo kwa Recho hata hatujaanza stor Mercy akafika akatusalimia pale akakaa.
Nilivomuona Mercy nilipatwa na hasira isiyo ya kifani. Nilikuwa nasubiri nini kitafuata, Mercy akaniita "DeMostAdmired naomba msamaha sana kwa yote nilokufanyia ninaweza kujielezea na naamini utanielewa, mimi nakupenda sana". Kwa wazoefu mtanielewa, nilijikuta napatwa na hasira sana nikafungua mlango nikasepa zangu sikuongea chochote nikamwambia Recho asirudie tena kunikutanisha na Mercy waniache kwanza.

Kwa kiasi flan nikapata ahueni kwasbb niliona Mercy Sasa yamemshinda huko alikokuwa na kaona kuwa mimi ni wamaana.
Baada ya pale ndugu zangu zilikuwa ni cm na texts mfululizo kutoka kwa Mercy. Nilijikaza kama kwa wiki moja hivi then baadae nikaona haina shida ngoja nianze kumpokelea cm zake na kujibu texts zake.

Mawasiliano yalirudi na Mercy kwakuwa nilikuwa bado nampenda nikaamua nirudiane naye. Kimbembe kilikuja kwa Merry, Mercy aligundua kuwa nipo na Merry, akaniambia niachane naye. Mimi naye sikuwa na hiana nikamuweka pembeni Merry japo siku moja moja nilikuwa namtafuta tunapasha viporo.

Ndugu zangu speed alorud nayo Mercy kwangu ilikuwa sio ya kawaida, yani nilikuwa napewa mapenz ya premium version.
Nilikuwa natolewa out za kustukiza, mazawad yakutosha hakika nikaanza kukaa sawa japo kumbe tyr Ile shida ya moyo ilikuwa ishakuwa kubwa yani furaha nilikuwa nayo ila Ile shida ya kutokwa na jasho sana iliendelea. Nilikuwa najiskia vbaya sometimes na hii nikajua tu ni kwasababu ya trauma alonisabbshia Mercy.

Kuna mkasa ulitokea, kifupi ulikuwa ni ugomv mkubwa kati ya Mercy na Merry, Mercy alimfata Merry akampiga bit na Merry naye akakaza asee ilikuwa ni tatizo lakini mimi niliona Mercy analeta wivu wa kinafiki kwasababu yeye ndo alisababsha mpka nikamtafuta Merry. Washkaji na madem wengine class wakawa wananisihi nisimuache Merry kwani Mercy tyr alionekana ni mtu wa kijinga. Pamoja na watu kunisihi vile lakini bado nilikuwa siwasikii mwsho wa siku nikachagua kuishi na Mercy.

Siku zilisogea tukawa tunakaribia UE, nikaanza kuona dalili mbaya kwa Mercy.
Kifupi nilianza kuona dalili za mimba kwa Mercy, niliona amekuwa mchovu, kutema tema mate. Nikaona kabisa huyu atakuwa na mimba, ikabidi nimuulize kwasababu mzunguko wa Mercy nilikuwa naujua na kwamuda ambao tulikuwa tumerudiana naye baada ya kutoka kwa Dokta niliona kabsa kama ni mimba basi sio yangu hundred percent.

Nilipomuliza akanambia ataenda kupima, alipoenda kupima kweli bhna alikuwa na mimba.

Nikamuliza mimba ya nani, Mercy hakutaka kunidanganya alinambia kwamba mimba anahisi ni ya Dokta sio yangu.

See you.......
Duu licha ya yote hayo ukamrudia, nilijua ni wanawake ndiyo hawajielewagi kumbe hata wanaume mpo
 
Back
Top Bottom