Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Huyo ni Masanja na misimamo yake, hujui mbinu zake na si ajabu hajachapiwa. Kaa kitaalamu mjombaYule wa masanja wako pamoja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo ni Masanja na misimamo yake, hujui mbinu zake na si ajabu hajachapiwa. Kaa kitaalamu mjombaYule wa masanja wako pamoja
Umeishia episode ipiMtoa mada hujaleta mrejesho, mimba ya pili ya Doctor mercy alizaa au alitoa? Mage umemuoa? DeMostAdmired
Tusimulie kidogo kuhusu Merry maana ali play role kubwa kukufanya uendelee kuwa sawa.Umeishia episode ipi
Mercy alipobeba mimba ya pili ya Doctor, kajifungua?Umeishia episode ipi
Kajifungua now ana watoto wawili lakini bado hali ni ileile usumbufu kama woteMercy alipobeba mimba ya pili ya Doctor, kajifungua?
Huyo kashaharibikiwa maisha, kaaibisha wazazi wake, kazaa watoto wawili na mume wa mtu, mblock au badili namba.Kajifungua now ana watoto wawili lakini bado hali ni ileile usumbufu kama wote
Sawa ni chai tena ya mdarasini na ilikiEpisode ya mwisho, imethibitisha kabisa hii ilikuwa chai.
Hongera mkuu
PamojaOk hapo alipotaka kutoa mimba ili muanze Tena upya hapo kwangu mwanamke huyo napiga chini hapo hapo......
Sipendi na huwa simkubali mwanamke anayetoa mimba.... Labda kuwe na biological factor! Nje ya hapo ni mwiko kwangu!
Pole kwa yaliyokukuta! Jitahidi kufuata ushauri wa watu humu..... Utakusaidia kwenye penzi jingine na kuilinda manhood yako kwa ujumla!
Nikutakie kila la khery! Brother
mkuu funguka kwanza hapa kuhusu malez ya kiumen/toa codes kwamba alizngua wap au information gan muhmu ktoka kwa ding yake alizikosa. wahanga hapa niwengi. karibu.Kilicho chako hakipotei, mercy hukupangiwa kuwa na wewe. Ulikuwa unalazimisha tu. Na dokta katumika kama catalyst tu ya kukuonyesha mercy ni mtu wa aina gani. Mercy angekuwa hamtaki dokta,angemla block mapema tu.
Umekaa na mwanamke miaka mitatu hajabeba mimba, ila kaenda kwa mwingine miezi kadhaa tu karudi na mimba.
And Nadhani wewe hukuwa karibu sana na mshua wako au hukupata malezi proper ya upande wa kiumeni.
Ni ngumu kidogo kuweka kwenye maneno,mkuu funguka kwanza hapa kuhusu malez ya kiumen/toa codes kwamba alizngua wap au information gan muhmu ktoka kwa ding yake alizikosa. wahanga hapa niwengi. karibu.