SI KWELI Daktari aliyemkosoa Rais wa Burkina Faso kushindwa kushughulika na ugaidi apelekwa kukabiliana na ugaidi huo

Baada ya kuitathmini taarifa hii, tumebaini kuwa si ya kweli.
Adhabu kama hizi na Tanzania iziige ili wote wale wanaotukana mitandaoni wapate stahiki zao.
 
Bado sijakuelewa unachokipinga ua kukikubali ni nini?
Hajui anachopinga wala anachokubaliana msamehe.
nchi iko vitani anatokea zuzu kutusi na kupunguza morali ya walioko mstari wa mbele inabidi apelekwe tu huko aone shida iliopo.
 
Mimi nadhani daktari huyo ataweza kuumaliza ugaidi, si kwa kuwaua magaidi, bali kwa kuwa upande wao na kuanza kuwashawishi kuingia kwenye mazungumzo.
Rais ana lengo la kumtoa kafara, lakini anaweza kuja kukuta anakuwa Rais wa nchi hiyo bila kuwepo kwa ugaidi.
Tumuombee
 
Afrika ndio tunashangilia kuongozwa na hawa wapumbavu na kuwaita eti ni wakombozi...kazi tunayo..πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Ni mhuni tu kama wengine na atajimilikisha utajiri na familia yake hadi hapo watakapopinduliwa na wao,
Nyie simnatamani 'na huku jeshi wachukue
 
Afrika ndio tunashangilia kuongozwa na hawa wapumbavu na kuwaita eti ni wakombozi...kazi tunayo..[emoji23][emoji23][emoji23]

Ni mhuni tu kama wengine na atajimilikisha utajiri na familia yake hadi hapo watakapopinduliwa na wao,
Tutabaki wachache tusiohusudu Wajinga. Daktari kazi yake ni kutibu, anapolaumu Kwa Amiri Jeshi Mkuu kukosa usalama sababu ya magaidi ni haki yake.
Kumpeleka yeye akapambane na Magaidi ni uhuni tu.
 
Wewe ulizia kama kuna magaidi warembo wa kike tuπŸ˜‚
Inabidi kufuatilia taarifa zake huyu, si ajaabu yuko tayari mbinguni; wanasema kuongea ni rahisi ila kutenda ni ngumu
 
Wacha na Mimi niache kukosoa safari za uarabuni nisije nikapewa ndege niende Mimi kuiwakilisha nchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…