SI KWELI Daktari aliyemkosoa Rais wa Burkina Faso kushindwa kushughulika na ugaidi apelekwa kukabiliana na ugaidi huo

Baada ya kuitathmini taarifa hii, tumebaini kuwa si ya kweli.
Je, alifanikiwa kuwafukuza au kuwaua magaidi?
Hana jeshi wala silaha, huyu Rasi wa Burkina anawakilisha akili za viongozi wengi wa Afrika, Hawataki challenge:
WEwe una kila kitu, jeshi , amri na fedha unataka kulinganisha na mtu ambaye hata walinzi nyumbani kwake hana?
Ndio maana tukienda huko kwa wazungu wanatupakia maraisi 10 kwenye basi moaja ama hata viongozi wa dini weupe kutu-hug hawataki ilhali wana-awa-hug weupe wenzao.
 
Kwa mazingira hayo, huyo daktari inabidi ajiunge tu na magaidi
 
Kwa mazingira hayo, huyo daktari inabidi ajiunge tu na magaidi
Ngozi nyeusi ukiipa madaraka inapata kiburi cha uzima.
Angalia jana Spika wa bunge marekani kaondoshwa kwa msimamo wake, ameongea na amesema anabaki na msimamo wake, ameondolewa na wabunge wa chama chake, wale jamaa hawana uvyama, ni nchi kwanza.
 
Inawezekana matatizo yetu yako damuni mtu anazaliwa nayo, tukijiuliza swali, kwa nini ngozi nyeusi tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…