Daktari amshauri akafanye mapenzi kama tiba

dr???(specify) isije ikawa kaenda kwa mganga wa kienyeji alaf unasema doctor coz maumivi ya mgongo na kuumwa tumbo yanauhusiano gani na sex
hapo unataka kumaanisha kuwa mtu asipofanya mapenzi ataumwa
kama ugonjwa huo upo basi doctor autaje unaitwaje kwa kitalaamu???
 
Unampa hongera wakati hataki tiba!
 
mmmh huyo atakua haumwi serious, maana angeenda kufanya for the sake ya kupunguza anachoumwa.

alternatively lazima atakua na mahusiano afanye kuhalalisha ili ale kilicho halali kama nafsi yake na iman ya dini zetu inavyosema.

hakuna ushauri mwingine zaidi ya huo
 
haya yanakuja kuwa majipu makubwa ndani ya ndoa,,mtu mpaka leo hajawah kut..mba demu.
 
Sex is good for the heart and refresher of the brain
 
uyo ana matatizo yake mbona mm Nina lengo kama lake na sijawahi kusex tangu nizaliwe na Nina miaka 19. usimshauri mwenzako aingie kwenye zinaa kwani zinaa ni uchafu na anabidi akaenao mbali.
 
 
uyo ana matatizo yake mbona mm Nina lengo kama lake na sijawahi kusex tangu nizaliwe na Nina miaka 19. usimshauri mwenzako aingie kwenye zinaa kwani zinaa ni uchafu na anabidi akaenao mbali.
 
tumbo halihusiani na via vya uzazi. it's his decision,so respect that.
if I was him, nisha ku unfriend.
fear god's punishment, kuna maisha baada ya kufa.
 
Nina wasiwasi sana juu ya elimu ya huyo daktari. Nahisi ni daktari kanjanja! Angemshauri aoe sio akafanye zinaa.
 
Ngono ni dhambi but kwa mtu alie mature akikaa muda mrefu anaweza pata madhara.

Mi nilikuwa nasumbuliwa na kichwa maumivu kila wakati pia nilichelewa sana kuanza sex around 21 hivi but nilipoanza Kudo at least Mara moja kwa wiki naona mabadiliko kidogo

NB : Ngono ni uzinzi
 
Aache ujinga. Amsikilize daktar. Atakufa bure kwa ubish usio na msing.sasa ni kwa nini alienda kwa daktar kama anapewa matibabu hayafanyii kazi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…