Daktari amshauri akafanye mapenzi kama tiba

Daktari amshauri akafanye mapenzi kama tiba

dr???(specify) isije ikawa kaenda kwa mganga wa kienyeji alaf unasema doctor coz maumivi ya mgongo na kuumwa tumbo yanauhusiano gani na sex
hapo unataka kumaanisha kuwa mtu asipofanya mapenzi ataumwa
kama ugonjwa huo upo basi doctor autaje unaitwaje kwa kitalaamu???
 
Ninakuelewa sex ni nzuri lakini pale unapokuwa na mwenza mmeaminiana. Siyo jambo jema kufanya sex kwasababu kama roho haiko tayari. Kama amefikia umri wa kuoa na yuko tayari ataenjoy sana sex kwenye ndoa. Ninampa hongera nyingi kwa kuweza kujitunza mpaka umri huo alionao.
Unampa hongera wakati hataki tiba!
 
mmmh huyo atakua haumwi serious, maana angeenda kufanya for the sake ya kupunguza anachoumwa.

alternatively lazima atakua na mahusiano afanye kuhalalisha ili ale kilicho halali kama nafsi yake na iman ya dini zetu inavyosema.

hakuna ushauri mwingine zaidi ya huo
 
haya yanakuja kuwa majipu makubwa ndani ya ndoa,,mtu mpaka leo hajawah kut..mba demu.
 
Sex is good for the heart and refresher of the brain
 
uyo ana matatizo yake mbona mm Nina lengo kama lake na sijawahi kusex tangu nizaliwe na Nina miaka 19. usimshauri mwenzako aingie kwenye zinaa kwani zinaa ni uchafu na anabidi akaenao mbali.
 
Asalam wana Member wote kuna kijana(Me). Ana umri wa miaka 25, tangu azaliwe hajawahi kufanya tendo hilo ni mhitimu wa chuo kikuu kimojawapo hapa Dsm baada ya kusumbuliwa sana na maradhi ya mgongo na tumbo, jana alienda kuonana na Doctor baada ya kumueleza tatizo lake, Dr alimshauri tiba yake ni kufanya Sex Sasa yeye hayupo tayari lengo lake hadi aowee. Anaitaji ushauri wenu. Mimi nimeshindwa nimshauri nini.
 
uyo ana matatizo yake mbona mm Nina lengo kama lake na sijawahi kusex tangu nizaliwe na Nina miaka 19. usimshauri mwenzako aingie kwenye zinaa kwani zinaa ni uchafu na anabidi akaenao mbali.
 
tumbo halihusiani na via vya uzazi. it's his decision,so respect that.
if I was him, nisha ku unfriend.
fear god's punishment, kuna maisha baada ya kufa.
 
Nina wasiwasi sana juu ya elimu ya huyo daktari. Nahisi ni daktari kanjanja! Angemshauri aoe sio akafanye zinaa.
 
Ngono ni dhambi but kwa mtu alie mature akikaa muda mrefu anaweza pata madhara.

Mi nilikuwa nasumbuliwa na kichwa maumivu kila wakati pia nilichelewa sana kuanza sex around 21 hivi but nilipoanza Kudo at least Mara moja kwa wiki naona mabadiliko kidogo

NB : Ngono ni uzinzi
 
Aache ujinga. Amsikilize daktar. Atakufa bure kwa ubish usio na msing.sasa ni kwa nini alienda kwa daktar kama anapewa matibabu hayafanyii kazi?
 
Back
Top Bottom