zwangandaba
JF-Expert Member
- Jan 31, 2023
- 747
- 1,404
Wamemdhulumu nani?Ndio maana laana haziishi kwenye familia zetu kumbe wazazi wetu wanatafuna hela za dhuluma..
We ukipata utaacha?
Wachawi mko wengi sema tu mnakosa vitendea kazi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamemdhulumu nani?Ndio maana laana haziishi kwenye familia zetu kumbe wazazi wetu wanatafuna hela za dhuluma..
😁😁😁Lojana kaja na moto mbayaamods wameanza kumpiga pin kwa kuunga nyuzi, labda ata kata moto
Acheni wivu, tafuteni fursa. Kuiba kunatokea in the 'long run', kwasababu huwezi ukaiba dawa za kujaza pharmacy nzima, utaiba baadhi tu ya dawa. Na hili litawezekana baada ya kuthubutu kwanza kwa kile kidogo ulichonacho.Ukiona mtu anasifia kuajiriwa mchunguze sana, wengi wapigaji! Ona mfano mdogo; mwalimu hana posho au marupurupu ndo maana kila siku analalamika. Mapolisi nao, hivyo hivyo.
Kuna mambo mengi sana kwenye ajira, ukiona mtu anasema anapata milioni 5 mshahara matumizi yake bei gani kwa siku? Na amewekeza wapi?
Mshahara pekee hauwezi kuendesha maisha yako ya kila siku. Iko hivyo.
Waajiriwa wanapiga madili yao.
Ndyo,yuko sahihi kwasababu anachoiba kinamlipaUkiona mtu anasifia kuajiriwa mchunguze sana, wengi wapigaji! Ona mfano mdogo; mwalimu hana posho au marupurupu ndo maana kila siku analalamika. Mapolisi nao, hivyo hivyo.
Kuna mambo mengi sana kwenye ajira, ukiona mtu anasema anapata milioni 5 mshahara matumizi yake bei gani kwa siku? Na amewekeza wapi?
Mshahara pekee hauwezi kuendesha maisha yako ya kila siku. Iko hivyo.
Waajiriwa wanapiga madili yao.
Daktari anaibaje dawaUkiona mtu anasifia kuajiriwa mchunguze sana, wengi wapigaji! Ona mfano mdogo; mwalimu hana posho au marupurupu ndo maana kila siku analalamika. Mapolisi nao, hivyo hivyo.
Kuna mambo mengi sana kwenye ajira, ukiona mtu anasema anapata milioni 5 mshahara matumizi yake bei gani kwa siku? Na amewekeza wapi?
Mshahara pekee hauwezi kuendesha maisha yako ya kila siku. Iko hivyo.
Waajiriwa wanapiga madili yao.
Jamaa anaona kila mtumishi wa kiume kwenye sekta ya afya ni Daktari.Daktari anaibaje dawa
Kwa mfano daktari anayefanya kazi hospitali ya mkoa anaibaje dawa pharmacy/store?
Doctor na dawa wapi na wapi? Au unazungumzia wafamasia?Kwamba we ndo unayeuza au ? we unatetea madoctor nadhani umegushwa [emoji16][emoji16][emoji16] niko pale we wakwanza wakuchunguze
Jamaa ana kinyongo hatari.Pole kijana kwa kukosa ajira ipo siku nawe utakula keki ya taifa
Umeongea ukweliAcheni wivu, tafuteni fursa. Kuiba kunatokea in the 'long run', kwasababu huwezi ukaiba dawa za kujaza pharmacy nzima, utaiba baadhi tu ya dawa. Na hili litawezekana baada ya kuthubutu kwanza kwa kile kidogo ulichonacho.
Kama unadhani rahisi na wewe ajiriwa halafu uibe. Fikiri nje ya box, get out of your comfort zone. Fursa zina aibu, usisubiri zikufuate, zifuate.
Mwenye masikio na asikie.