MR TOXIC
Senior Member
- Jun 4, 2019
- 190
- 525
Sasa hiyo kazi ya kudeal na mwili unaweza kuilinganisha na kazi ya mwalimu ya kudeal na ubongo wa mtu?? AkiliWewe hakuna kazi ngumu kama ku deal na miili ya watu acha kabisa we jamaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa hiyo kazi ya kudeal na mwili unaweza kuilinganisha na kazi ya mwalimu ya kudeal na ubongo wa mtu?? AkiliWewe hakuna kazi ngumu kama ku deal na miili ya watu acha kabisa we jamaa
Udaktari tiba ni fani nyeti na ngumu sana lakini cha kushangaza daktari anapata salary ya Tsh.1,500,000 gloss hukuhandisi wa Civil pale TANROADS(case study) anapata 2,000,000
Clinical officer/tabibu =950,000 huku Civil Technician=1,118,000 per month
Kwa staili hii case za rushwa zitaisha huko hospitali na vituo vya afya?
Tafadhali serikali wapeni madaktari uzito unaostahili kwenye malipo,wanatumia kusoma na wanaumia kazini.
Hata kwenye stahiki za posho na benefits zingine daktari hamfikii mhandisi lakini pia mhandisi hasa wa civil wako kwenye industry ambayo possibility ya yeye kupata pesa ni kubwa kuliko watu wa afya hadi semina zije.
Chonde chonde serikali mnapopanga viwango mliangalie hili na ule mpango wa kuwianisha malipo ya wafanyakazi walio na elimu moja limeishia wapi?
Well well alikuwa hajui bwana mdgUdaktari ni wito kama umesoma ili utajirike umepotea njia
Huwa naona watu hutumia hili neno WITO kimakosa sana eti ukiwa mwalimu huo ni wito nk, neno wito unawafaa mapadri,wachungaji au tuseme viongozi wa dini kwa ujumla wao,lakin sio kulitumia neno hilo vibayaUdaktari ni wito kama umesoma ili utajirike umepotea njia
[emoji23][emoji23][emoji23]Wapo wewe...!! Ushawahi toa proposal wizara ya husika likakataliw??Hawajapewa nafasi ya kufanya hvyo.
Mbona wakipewa nafasi hata wanafunzi tu Wana uwezo wa kutatua hizo changamoto.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kina mfugaleeeKijana utapata laana acha kutukana wajenzi wa taifa shauri yako
Hivi bila kulipwa stahiki zako vizuri maisha utayaendeshaje ilihali fani uliyosema hata kama umeichagua mwenyewe lakini sio fani rahisi pia madaktari wanaheshimika sana mataifa mengine ila hapa Tanzania ni fani ya ovyo sana, msipende kuchukuli mambo kama yalivyo au kikawaida kuna wakati mtu unatakiwa kuhoji kwanini hivi na sio vileUnasomea fani unayoipenda si mshahara
Wew umejuaje kama uhandisi sio kazi ngumu kama udaktari?Wewe hakuna kazi ngumu kama ku deal na miili ya watu acha kabisa we jamaa
No inabidi watangaze tenda ili watu waje na proposal.[emoji23][emoji23][emoji23]Wapo wewe...!! Ushawahi toa proposal wizara ya husika likakataliw??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tatizo wengi wenu wezii wakubwaaaNo inabidi watangaze tenda ili watu waje na proposal.
Huwez kwenda mwenyewe tu bila kutangazwa hyo itakuwa ni kujipendekeza na watakusumbua hadi kiatu kitaisha soli.
Hamna mkuu,tatizo wabongo huwa hatuheshimu tu wataalam wa ndani tunachukuliana powa sana.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tatizo wengi wenu wezii wakubwaaa
Kila profession ni muhimu kwa namna na wakati wake ww.Ngoja siku upate uvimbe kwenye anus
Ndo utajua umuhimu wetu !!
Tukisema hivyo hakuna taaluma ambayo bongo ni competent.. tumia akili acha kutumia sehemu ya kutolea haja kubwa kufikiri!Eng wa bongo taka takaa tu... Yani mchina kaja Kaweka tu mabati pale Ubungo foleni kwisha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Maeng wetu hakuna kitu ni mzigo tu kwa taifa..!
Ngoja na wewe nyumba yako ipate crack ndipo utatambua umuhimu wa wahandisiNgoja siku upate uvimbe kwenye anus
Ndo utajua umuhimu wetu !!
Muajiri ni serikali kupitia utumishiMwajiri ni huyo huyo lakini?
Teh ...Ngoja na wewe nyumba yako ipate crack ndipo utatambua umuhimu wa wahandisi
Duu haya majanga,nurse mwenye diploma anaanza na ngapi sasa?Nnachokiongea nna uhakika nacho mkuu,sijakurupuka.
Clinical Officer II anaanza na TGHS B ambayo ni 680,000/=
Clinical Assistant II anaanza na TGHS A ambayo inacheza kwenye 450,000/=
Assistant Medical Officer (AMO) ipo kwenye TGHS C ndiyo hyo 980,000/=
Sidhani kama kuna upungufu wa madaktari wa kawaida mtaani hadi mtu atumike sehemu zaidi ya moja,kwa madaktari bingwa hakuna shaka kwa hiloSawa mkuu kwa mm namtoa MD nataka c.o ndio ashughulikiwe maana MD wanakula bata nao vile vile.
Ila nimekuelewa mkuu.
MD akishapata mishahara ya hospital mbili akiikutanisha kaka kasha win hapo wa kuangaliwa C.o maana wanamtumikisha 24 hours mshahara mbuzi.
Kwa mimi navyoona mkuu labda kama nimetereza nielimishe. Maana ukutanishe million 1.5 ya Mnazi mmoja na ya Hindumandal million 3 tayar mkuu huoni kuwin tayar hapo?!
Kama fikra zangu duni mkuu nipambanulie zaidi
Katika kada ya afya, ngazi ya mshahara inakuwa flat kwa Diploma na Certificate. Tofauti inapatikana kuanzia Bachelor.Duu haya majanga,nurse mwenye diploma anaanza na ngapi sasa?
Huyo AMO elimu yake inakuaje?
Eng wa bongo taka takaa tu... Yani mchina kaja Kaweka tu mabati pale Ubungo foleni kwisha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Maeng wetu hakuna kitu ni mzigo tu kwa taifa..!