Daktari anasoma miaka 5-7 na mhandisi anasoma miaka kati ya 3-4 lakini ona tofauti ya mishahara kati yao hapa chini

Umeshawahi kufikiria kuwa huyo engineer akiumwa au akiumia nani anamtibu mkuu?

Daktari anahakikisha kwanza afya ya engineer huyo.
Maisha nikutegemeana, sijasema daktari hana manufaa kwenye jamii ila kutegemeana kwao ndo kunatufanya tuenjoy hii dunia tunayoishi now.
 
Ndo maana tunasema madaktari walipwe zaidi maana hawana fursa zinginezo za kupata pesa ndefu kuliko wahandisi
 
Hivi kwanini,Taasisi huwa Zina lipa mishahara Minono?
Nahitaji kufahamu
 
Kipi kinafanya, Taasisi kuwa na Mishahara Mikubwa?
Kunatofauti Kati ya
Mamlaka na Taasisi?
 
Kwa aina hii ya ma specialist ni sawa wanaweza kuwa vizuri zaidi lakini inategemeana pia na lobbying maana mhandisi haumii sana kupiga pesa kama daktari
 
Hizo source nyingine katengeneza daktar au Engineer wa Mitambo?
 
Thanks,Hizi Mamlaka za Mabonde (Water Basins)
Eg
Wami/Ruvu Basins
Rufiji Basins
Nazo huwa zimeanzishwa kwa kanuni au Ni part za Idara ndani ya wizara ya maji?
 
Huu ndio uungwana,wahandisi wana fursa nyingi za lobbying ya pesa lakini kwenye projects posho za supervision tu zinaweza zidi salary mara dufu zaidi hapo bado ten percent kutoka kwa wakandarasi
 
ukizungumzia kuhusu risk labda unasemea risks za namna gani??
Kwamba hujui kukutana na wagonjwa inahatarisha afya zao? Wewe mwalimu una risk zipi kazini? Huna dharura,unapewa holidays na wikend afu unaongea nini mkuu
 
Umenikumbusha Enzi za utoto/ujana
ukisikia kabinti kamemkubali Fulani,na wewe unaenda kuomba mahusiano,ukikataliwa analalamika kwa kusema " mbona ulimkubali fulani na mimi unanikataa..?"

Na wewe kwa kulinganisha fani za watu hapo ndipo ulipokosea.
Nikuulize kwani huyo daktari hakujua ni wapi wanatoa mafunzo ya uhandisi?
Na tunapozungumzia wito,tunazungumzia msukumo wa ndani uliokusukuma kusoma fani
Fulani na si fani nyingine.Huo ndo wito,shida inakuja kama ulisoma kwa kufuata mkumbo lazima ulalamike.
 
Angalia muda wanaokaa darasani na kumbuka hizo ni gloss salary take home hapo ni 800,000 yaani hiyo ndio ya kuitafuta kwa miaka 5 university?

Kuna mtu anaitwa faiza foxy sijui Kama ashakutembelea Mana ulivyokomaa na hyo gloss n hatari.

Kila kitu kina mazingira yake ya ufanyaji kazi na kipato chake Kama unajiuliza kuhusu Hilo mbona hujafikiria mwalimu n sh ngapi vp huyu mwanasiasa tunayemtuma kila Jimbo atuwakilishe kwenye kutunga sheria zile pesa zote n zann?

Hata mkulima naye anateseka tuu anashinda shambani kwa tabu miez minne lakin dalali anakuja kuchukua kiulain Tena kwa pesa ambayo mkulima haitaki hata huyo mlaji wa mwisho ananunua karibu Mara tano ya mkulima lakini vipi mkulima anhekutana na mtu wa mwisho akamuuzia kwa nusu ya Bei ya dalali au mfanyabiashara ?

N hapo tuu kilimo kingekuwa n uti wa mgongo ila kiuhalisia kilimo n kukosa inshu ya maana ya kufanya naamini kwa hilo.
 
Ikumbukwe ofisi ya daktar ni kwenye risk ya afya yake,anapambania uhai wa binadamu,anasoma kila siku ili akuokoe....mwalimu anastahili ila Dr is the second one after God........
 
Mkuu hapo kwa Clinical officer 950,000/= mbona kama sio kweli?

C.O anachukua 680,000/= kama take home na kabla huwa haizidi au haifiki 850k..ninaye ndugu yangu C.O
Kwa private mkuu 950,000.
Nilifanyaga mm ktk vituo vya afya vya taasis ya kiislam mkuu.
Hata mshahara wa MD wa serikali ni tofaut na private sielew kwann ipo hivi
 
Ugumu upo kila sehemu usifikiri upo kwenu tu kikubwa ni kila mmoja kutambua na kuthamini profession ya mwenzake na siyo kujikweza muonekane too special kuliko wengine huo ni ushamba.
Dah kaka hatujajikweza Umeshinda maana duuuh!
 
Jengo unalotumia kufanya operation hujui Engineer kahusika?
Ambulance inayotumika kuleta wagonjwa hujui kua injinia kahusika katika utengenezaji wake?
Barabara je?
Huwezi fanya comparison za kitoto hivyo... engineer hajengi ana design yy hata tofali hashiki, basi bora huo mshahara wake wapewe wale vibarua wanaopanda juu na matofali...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…