Daktari anasoma miaka 5-7 na mhandisi anasoma miaka kati ya 3-4 lakini ona tofauti ya mishahara kati yao hapa chini

Daktari anasoma miaka 5-7 na mhandisi anasoma miaka kati ya 3-4 lakini ona tofauti ya mishahara kati yao hapa chini

U are still a kid my friend duuuh......yaan hata hujui % contributions ya vifaa n kias gan ktk kutibu.....pole sana ila nikwambie tu kuwa vifaa vina mchango mdogo sana ktk kutibu,na kama vingekuwa na mchango mkubwa bhc hao waliovigundua ndio wangekuwa na uwezo mkubwa wa kutibu kuliko madaktari wenyewe...na kusingekuwa na haja ya madr kusoma 5 years bali wangejifunza how to operate hvyo vifaa mlivyogundua to make a diagnosis.... My friend u know nothing about the power of medicine.... One day u will comprehend
Kwani MD pekee ndio anasoma miaka 5?
 
Hujui unachokiongea wewe..! Jiulize kwanini wanasoma 5yrs + 1yr Internship
Acha kupotosha. MD wanasoma miaka 2 tu darasani (basic sciences) na wahandisi miaka 4 darasani! Miaka 3 ya MD ni clinical rotations. Umezungumzia interniship unasahau kuwa Mhandisi lazima naye anatakiwa kuwa registered?
 
U are still a kid my friend duuuh......yaan hata hujui % contributions ya vifaa n kias gan ktk kutibu.....pole sana ila nikwambie tu kuwa vifaa vina mchango mdogo sana ktk kutibu,na kama vingekuwa na mchango mkubwa bhc hao waliovigundua ndio wangekuwa na uwezo mkubwa wa kutibu kuliko madaktari wenyewe...na kusingekuwa na haja ya madr kusoma 5 years bali wangejifunza how to operate hvyo vifaa mlivyogundua to make a diagnosis.... My friend u know nothing about the power of medicine.... One day u will comprehend

Mkuu jitahidi kwenda deep na sio kuwaza theory, % contribution ya vifaa kwenye matibabu sijui umewaza practically!!

Mgonjwa anayehitaji operation kama vifaa havipo unawezaje kufanyiwa operation..
Mgonjwa wa Kansa anaweza kutibiwa kansa kwa mionzi bila machine za mionzi?.
Mgonjwa wa Maleria tutamjuaje kama kweli anamalaria bila vifaa..?
Hizo sindano, microscope,ultrasound, X-ray, lile limtambo la CT- Scan
Hizo sindano zinazotumika kuanzia kuchukua damu na kutibu..
Hayo mafridge mnayohifadhia dawa..
Hizo Cold room kwa ajili ya storages..

Aisee anayeweza kupingana na hili labda Mganga wa tiba asili anayetumia mizizi lakini hawa madaktari wanaokaa darasani na kwenda hospitali hili la kujifananisha na Engineers waache kabisa..

Sidhani kama umeshawahi kutembelea huko kwenye Pharmacetical industries na kujionea engineering and engineering concept zinavyosaidia kutengeneza dawa..
 
Tatzo naongea na a person who has never been to medical field....u real know nothing about medicine.... Na unachojua n kuwa bila vipimo daktari hawez kutibu wala kuujua ugonjwa ,hapo ndipo unapojipumbaza...ila nikwambie tu kwa faida yako n kuwa a doctor can reach a diagnosis in more than 70% without ordering investigation na ndio maana unaweza kupewa dawa bila kupimwa na ukapona....nyie mainjinia wa bongo uchwara kabisa mmetufanyia nn mpk saiv?? Hzo pharmaceutical industries unazosemea mmetengeneza IPI hapa nchini,zote zinatoka nchi za nje coz the engineers we have can't even construct our roads.....

Engineers wa kibongo hamna contribution yoyote ile...vifaa vyote vya construction anatengeneza mzungu au mchina nyie mnaangalia tu yaan hamjaweza kugundua hata kutengeneza bajaji licha ya kuwa na degree zenu uchwara za kukariri.....yaan mchango wa mhandisi wa Bongo hauna umuhimu sana bila kuwepo mchina....u are fools
 
Udaktari tiba ni fani nyeti na ngumu sana lakini cha kushangaza daktari anapata salary ya Tsh.1,500,000 gloss hukuhandisi wa Civil pale TANROADS(case study) anapata 2,000,000
Clinical officer/tabibu =950,000 huku Civil Technician=1,118,000 per month

Kwa staili hii case za rushwa zitaisha huko hospitali na vituo vya afya?

Tafadhali serikali wapeni madaktari uzito unaostahili kwenye malipo,wanatumia kusoma na wanaumia kazini.

Hata kwenye stahiki za posho na benefits zingine daktari hamfikii mhandisi lakini pia mhandisi hasa wa civil wako kwenye industry ambayo possibility ya yeye kupata pesa ni kubwa kuliko watu wa afya hadi semina zije.

Chonde chonde serikali mnapopanga viwango mliangalie hili na ule mpango wa kuwianisha malipo ya wafanyakazi walio na elimu moja limeishia wapi?
Mshahara unatokana na kile unacho deliver, siyo miaka ya kusoma au blah za kukariri huko shuleni
 
Mkuu hiyo dhana imepitwa na wakati zama hizi
Ukweli unabaki palepale utabibu ni wito tangu enzi na enzi. Hii huduma ilitolewa kwa kumpa tabibu shukran tu na si vinginevyo. Kazi ya utabibu ni ya zamani sana kadri ya ubinadamu wenyewe ulivoanza, na kwa sehemu kubwa ilitolewa kama huduma na si biashara na wagonjwa walikuwa wakitoa shukrani tu kwa tabibu husika au mkunga.

Kitu ninachokubaliana na mtoa mada ni kuwa Serikali iangalia namna ya kusawazisha mishahara kidogo kwa watumishi wa Serikali na wale serikali kuu na serikali za mitaa pamoja na wale wa kwenye taasisi. Changamoto kubwa ni kuwa watu wa taasisi Salary scales zao ni tofauti na zile watumishi wa serikali kuu na mitaa. Mfano, kuna jamaa yangu huu ni mwaka wa 6 kazini na ni degree holder amesoma economics salary yake ni laki 7 wakati mtu wa fani hiyo hiyo anaefanya kazi BOT au TRA salary yake si chini ya 1.5!

Kusema ukweli tofauti ni kubwa sana, na haifai kabisa
 
Acha kutetea tetea pasipo logic, huwezi kumlinganisha mtu anaeokoa maisha ya watu na Mwalimu anaefundisha kutoka kwenye kitabu Kazi Ya Mwalimu ni nyepesi mno Na isingekuwa nyepesi watu hawangekuwa wanaenda kurundikana huko, wewe huoni wavivu wooote wa darasani hukimbilia ualimu? Mtu anaenda kupasua kichwa cha mtu amtoe uvimbe Halafu amshone than unamlinganisha Mwalimu kweli? Acha kulinganisha udaktari na ualimu Kwanzaa inatakiwa Mwalimu apate asilimia 20 ya mshahara wa daktari
Sijui nikutukane tusi gani? Hivi mtu anaweza kukufundisha kuendesha gari wakati hajui kuendesha gari?
 
= gross

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Hapana kusomea uislamu
Kwani mtu alijua kusoma?

Wewe mfia dini kwanini unamuabisha Mtume asiyesoma

Kwa hiyo unamaanisha nani mjinga?
 
Kwani wewe umewahi kuwa engineeer.

Na kama wewe siyo engineer, unajuaje ugumu wa kazi ta engineer.

Back
Top Bottom