Medicine imekuwa ikitegemea Engineers( Bio,Electric,Structural,Hydraulics,Robotics etc) kwa kipindi kirefu na bado kuna uhusiano mkubwa sana kati ya kazi za hawa mafundi na udaktari,na kila miaka inavyoenda utaona kwamba engineers wamekua ni chachu za inventions ambazo zimeleta mapinduzi ktk sekta ya afya( CT SCAN,PET SCANS,MRI,ECHO,ECG,ENDOSCOPES,DNA MACHINES,RAPID RESPONSE LAB MACHINES,RADIOTHERAPY MACHINES,ANAESTHESIA MACHINES na list inaendelea...hapa utaona kwamba kila siku zinavyoenda mafundi wanazidi kurahisisha kazi ya diagnosis ya magonjwa mbalimbali....hapa naongelea acurracy(Sensitivity na Specificity).Lakini yote haya hayatoi nafasi kuona daktari ni chini ya engineer whatsoever!!kila kazi ina maana kwa nafasi yake na wakati wake....heshima kwa Engineers na Madaktari mnastahili pongezi za dhati kwa kazi zenu.