Daktari anasoma miaka 5-7 na mhandisi anasoma miaka kati ya 3-4 lakini ona tofauti ya mishahara kati yao hapa chini

Bakharesa hajasoma lakin kaajiri wasomi. Hivi kweli hajajiendeleza kweli kielimu au kuhudhuria course fupi fupi?
Inavyosemekana alijiendeleza kwa elimu ya biashara mkuu.
Ila si unaelewa wabongo tunadanganyana kwa hadithi za kusadikika mkuu?!
 
Dogo inaonyesha bado upo shule..
Hzo stethoscope na thermometer zinatengenezwa na nani?.
Hizo amplicox zinazalishwa kwa fermentation, najua hayo huyajui unafikiri who run those fermenters?.
Halafu unasema upo kituo cha afya then et unalipwa 950k, serikali gani hiyo inalipa maco kiasi hicho?.
Asee hukusoma comments za juu.
Nimekwambia sifanyi kaz serikalini mkuu.
Asee soma kwanzia juu.
Nilifanya kazi ktk vituo vya afya vya taasis.ya kiislam nikaacha sawa.
Halafu hukuelewa nachozungumza nimetoa mifano mingi sana.
Katika maswala ya dawa hiyo ni kazi ya pharmacists hata sisi tunasomea jinsi zinavyotengenezwa na composition zake ktk pharmacology.
Huelewi unakurupuka.
Inaelekea hujui kusoma na kuoanisha mifano.
Then hukusoma comments za juu ukaelewa quotes zangu.
Kqma ulikua hujui nilifanya kaz private nyamafu ww.
Hiyo fermentation unayoisemea wewe ya utengenezaji hiyo ampicloxacillin ni wafamasia inawahusu.USIKURUPUKE SOMA KITU KWA UMAKINI
 
Ahaaa.
Thibitisha kwa proof sio kwa maneno mkuu.
Nipe evidence wapi mm ni half cooked idiot
Hapo kwenye red nimegundua sasa wewe ni half cooked idiot

Na nyie ndio aina ya madaktari tulionao huku..Akija mgonjwa mwenye shule akiwachimbisha mnapaniki kuwa mnafundishwa kazi kumbe hakuna mjualo halafu mpo hapa kudai muongezewe pesa...Kuleni laki sita hiyo
 
Mkuu utamlaumu jamaa bure; mwili wa binadamu ni kitu ambacho haibadiliki badiliki. Inayo mfumo na principle inayofahamika kwamba ukitaka kufanya upasuaji wa moyo unatkiwa kuanza na hiki na hiki; ukitaka kufanya upasuaji wa kichwa unatakiwa uanze na hiki na hiki tofauti na hapo utakua siyo mtaalam.

Sasa turudi kwenye fani ya uhandisi wao wanashughulika na vitu ambavyo havina sheria maalum au principle timizi. Leo daktari atamwambia tunapata shida na madhara yatokanayo na kuchoma watu sindano tunapochukua vipimo hivyo tunaitaji vifaa ambavyo tutatumia kuchukua vipimo vya damu bila kuchoma mtu.sindano hapo ndo akili inaanza kutumika kuipata vipimo.

Kuna jengo lipo Pale kariakoo chini first floor imearibika ila floor za juu ni nzima hivyo afanye maarifa ili ya chini irekebishwe bila zingine kuleta madhara ujue hapo haina sheria maalum.
Kwenye tiba tunajiushisha na dalili.; hivyo miongoni mwa dalili hizi kuna kitu kati ya hizi mgonjwa atakua nazo.

Kuna matumizi makubwa sana ya akili kwa wahandisi zaidi ya koda zote; na wataalam walishaipigia kura mara nyingi sana.
Ni kweli tupu. Umeongea ukweli mtupu
 
Nitajie dk. By professional mwenye cheo kikubwa selikarin na mm nikutajie engineers uone kuwa mishahara tunapanga sisi so lazma kujipendelea maana hatujui wanayoyapitia wenzetu
Hoja yako ulipoianza nimeipenda, ni kweli kumlipa Civil Engineer zaidi ya Daktari wa binadamu haiingii akilini. Labda aliyepanga ngazi za mishahara alikuwa Civil Engineer. Majukumu na uwajibikaji wao ni mbalimbàli lakini risk pia ni kubwa kwa Dokta kuliko Injinia. Hili ni tatizo lililoanzishwa na ukurupukaji na sasa waneshindwa kulitafutia dawa hata walipounda tume ya mishahara ambayo nayo imeshindwa kurekebisha tatizo zaidi ya kelele za "Tumefikia hatua nzuri".
Hata hivyo udhaifu huo hauwezi kuhalalisha uonezi wanaofanyiwa walimu. Ifike mahali tujue chanzo cha maarifa yote ni Mwalimu. Hata hiyo miaka 5 ya Daktari hawi peke yake, anakuwa na Mwalimu kwa muda huo wote. Daktari ni mwanafunzi kwa miaka 5-7 kama ulivyosema, lakini Mwalimu ni mwanafunzi muda wote wa maisha yake. Kazi yake ni kutotoa Madaktari, Mainjinia, Wachumi, na kuabort mbumbumbu ambao wengine wanageuka kupanga mshahara wake wakitokea kwenye siasa ambako ni Kokoro la waliomo na wasiokuwamo.
Mwalimu ni Kila kitu ingawaje anaonekana si kitu.
 
Mkuu utamlaumu jamaa bure; mwili wa binadamu ni kitu ambacho haibadiliki badiliki. Inayo mfumo na principle inayofahamika kwamba ukitaka kufanya upasuaji wa moyo unatkiwa kuanza na hiki na hiki; ukitaka kufanya upasuaji wa kichwa unatakiwa uanze na hiki na hiki tofauti na hapo utakua siyo mtaalam.

Sasa turudi kwenye fani ya uhandisi wao wanashughulika na vitu ambavyo havina sheria maalum au principle timizi. Leo daktari atamwambia tunapata shida na madhara yatokanayo na kuchoma watu sindano tunapochukua vipimo hivyo tunaitaji vifaa ambavyo tutatumia kuchukua vipimo vya damu bila kuchoma mtu.sindano hapo ndo akili inaanza kutumika kuipata vipimo.

Kuna jengo lipo Pale kariakoo chini first floor imearibika ila floor za juu ni nzima hivyo afanye maarifa ili ya chini irekebishwe bila zingine kuleta madhara ujue hapo haina sheria maalum.
Kwenye tiba tunajiushisha na dalili.; hivyo miongoni mwa dalili hizi kuna kitu kati ya hizi mgonjwa atakua nazo.

Kuna matumizi makubwa sana ya akili kwa wahandisi zaidi ya koda zote; na wataalam walishaipigia kura mara nyingi sana.
Sawa kaka lakini ukizungumzia ktk kutumia akili hata madaktari hutumia tena sana.
Kuna magonjwa mengine huwa yanashahabiana dalili.
Na mbaya zaidi hatta sisi huwa tunatumia akili pindi unapokuja ugonjwa mpya ktk kuufanyia uchunguzi.
Na mbaya zaid gonjwa likiwa hatari sisi ndio wa kwanza kufa nalo maana sisi ndio tunaotibu.
NDIO NACHUKUA DEGREE NOW NAIPAMBANIA LAKINI HUKO MBELENI MAMBO YANAPAMBA MOTO.
unavyosemea ww mkuu ktk upasuaji inahitajika akili itulie kuna baadhi ya mishipa ukiigusa vibaya ni shidda kwa mgonjwa.
 
Mkuu utamlaumu jamaa bure; mwili wa binadamu ni kitu ambacho haibadiliki badiliki. Inayo mfumo na principle inayofahamika kwamba ukitaka kufanya upasuaji wa moyo unatkiwa kuanza na hiki na hiki; ukitaka kufanya upasuaji wa kichwa unatakiwa uanze na hiki na hiki tofauti na hapo utakua siyo mtaalam.

Sasa turudi kwenye fani ya uhandisi wao wanashughulika na vitu ambavyo havina sheria maalum au principle timizi. Leo daktari atamwambia tunapata shida na madhara yatokanayo na kuchoma watu sindano tunapochukua vipimo hivyo tunaitaji vifaa ambavyo tutatumia kuchukua vipimo vya damu bila kuchoma mtu.sindano hapo ndo akili inaanza kutumika kuipata vipimo.

Kuna jengo lipo Pale kariakoo chini first floor imearibika ila floor za juu ni nzima hivyo afanye maarifa ili ya chini irekebishwe bila zingine kuleta madhara ujue hapo haina sheria maalum.
Kwenye tiba tunajiushisha na dalili.; hivyo miongoni mwa dalili hizi kuna kitu kati ya hizi mgonjwa atakua nazo.

Kuna matumizi makubwa sana ya akili kwa wahandisi zaidi ya koda zote; na wataalam walishaipigia kura mara nyingi sana.
Mkuu hongera sana umetowa jibu zuri mno. Sisi wahandisi tunafanya mazingira kuwa rahisi kuishi bila kero.
Kwa mfano leo mtu anapita kitonga na kuogopa mazingira ya barabara ambayo imejengwa je kabla haijajengwa mazingira yalikuwa hatarishi kwa kiasi gani?.
 
Nimetoa mifano miwili na kuelezea kwa umakini still huelewi.
Embu soma quotes za juu na za sasa kwa umakini maana hatta kukuelezea nashindwa.
THEN NAJIJUA MM KIJANA MDOGO ILA PLZ UKINIITA KIJANA INATOSHA KUNIITA DOGO NI KUVUNJIANA HESHIMA SAWA MKUU.
Dogo inaonyesha bado upo shule..
Hzo stethoscope na thermometer zinatengenezwa na nani?.
Hizo amplicox zinazalishwa kwa fermentation, najua hayo huyajui unafikiri who run those fermenters?.
Halafu unasema upo kituo cha afya then et unalipwa 950k, serikali gani hiyo inalipa maco kiasi hicho?.
 
Hao ni Maeng wa Mbelee.. Eng wa bongo michosho tu!
Hakuna wanataaluma wanayojitosheleza hapa tanzania kulinganisha na wanataaluma wa ulaya.
Hivyo kazi ya Uhandisi ni kazi ngumu mno.
Unaenda kufanya feasibility study ya mradi mazingira hatarishi sana.
Sisi tunaonekana hatuwezi kwa sababu makosa yetu huonekana kwa macho ila taaluma zingine makosa yako kwenye makaratasi tu.
Kutengeneza engineer mzuri kunahitaji capital ya kutosha.
Give engineer resources and capital he/she can do any thing in this world
 
Na ndio maana wenzako wanakimbilia kazi nje ya nchi..endelea kulalama
 
Hoja yako ulipoianza nimeipenda, ni kweli kumlipa Civil Engineer zaidi ya Daktari wa binadamu haiingii akilini. Labda aliyepanga ngazi za mishahara alikuwa Civil Engineer. Majukumu na uwajibikaji wao ni mbalimbàli lakini risk pia ni kubwa kwa Dokta kuliko Injinia. Hili ni tatizo lililoanzishwa na ukurupukaji na sasa waneshindwa kulitafutia dawa hata walipounda tume ya mishahara ambayo nayo imeshindwa kurekebisha tatizo zaidi ya kelele za "Tumefikia hatua nzuri".
Hata hivyo udhaifu huo hauwezi kuhalalisha uonezi wanaofanyiwa walimu. Ifike mahali tujue chanzo cha maarifa yote ni Mwalimu. Hata hiyo miaka 5 ya Daktari hawi peke yake, anakuwa na Mwalimu kwa muda huo wote. Daktari ni mwanafunzi kwa miaka 5-7 kama ulivyosema, lakini Mwalimu ni mwanafunzi muda wote wa maisha yake. Kazi yake ni kutotoa Madaktari, Mainjinia, Wachumi, na kuabort mbumbumbu ambao wengine wanageuka kupanga mshahara wake wakitokea kwenye siasa ambako ni Kokoro la waliomo na wasiokuwamo.
Mwalimu ni Kila kitu ingawaje anaonekana si kitu.
Naomba nikupe heshima yako [emoji108]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
kama hakutoshi njoo tulinde geti la kanjibahi hapa Upanga mwisho wa mwezi napokea Tsh 120,000/ na tukufundishe kunywa maji ya kandoro unayosemaga yanaumiza matumbo na tunalala kwenye mabox wakati huo kanjibahi anatengeneza watoto
 
Achana na hao wa taasisi nazungumzia watu wa serikali kuu,Tanroads hapo ni case study tu lakini wahandisi wanaolipwa kidogo ni wa halmashauri lakini wa serikali kuu ukiacha hao wa Tanroads na Tarura wako vizuri sana kuliko madaktari
Siyo kweli serikali kuu mishahara ni sawa na wa halmashauri
 
Hoja yako ulipoianza nimeipenda, ni kweli kumlipa Civil Engineer zaidi ya Daktari wa binadamu haiingii akilini. Labda aliyepanga ngazi za mishahara alikuwa Civil Engineer. Majukumu na uwajibikaji wao ni mbalimbàli lakini risk pia ni kubwa kwa Dokta kuliko Injinia. Hili ni tatizo lililoanzishwa na ukurupukaji na sasa waneshindwa kulitafutia dawa hata walipounda tume ya mishahara ambayo nayo imeshindwa kurekebisha tatizo zaidi ya kelele za "Tumefikia hatua nzuri".
Hata hivyo udhaifu huo hauwezi kuhalalisha uonezi wanaofanyiwa walimu. Ifike mahali tujue chanzo cha maarifa yote ni Mwalimu. Hata hiyo miaka 5 ya Daktari hawi peke yake, anakuwa na Mwalimu kwa muda huo wote. Daktari ni mwanafunzi kwa miaka 5-7 kama ulivyosema, lakini Mwalimu ni mwanafunzi muda wote wa maisha yake. Kazi yake ni kutotoa Madaktari, Mainjinia, Wachumi, na kuabort mbumbumbu ambao wengine wanageuka kupanga mshahara wake wakitokea kwenye siasa ambako ni Kokoro la waliomo na wasiokuwamo.
Mwalimu ni Kila kitu ingawaje anaonekana si kitu.
Mkuu mwalimu anaefundisha watu udaktarii analipwa bei gani...?

Wewe unataka kumlinganisha mwalimu kanjinji ambae alipata div four ya 26 kisha unataka umfananishe na mwalimu ambae yuko spesho kwa ajili ya kuwafundisha vijana waliotoka form six PCB...?

Kwanza hapo naona sio sawa kabisa.

Mwalimu kanjenje wa shule ya msingi na sekondari wale hawawezi kufanana mshahara na mwalimu wa chuo ambae yeye ni maalumu kuwapika watu kuuchezea mwili wa mwanadamu.

Au waalimu hawa wote ni sawa,walipwe sawa tuu?

Mwalimu wa shule ya msingi anaweza kuwafundisha vijana waliotoka form six PCB udaktari...?
 
Back
Top Bottom