Daktari anasoma miaka 5-7 na mhandisi anasoma miaka kati ya 3-4 lakini ona tofauti ya mishahara kati yao hapa chini

Tulitaka utuletee comparison kama hizi, daktar wa serikali kuu au halmashaur vs mhandisi wa serikali kuu au halmashauri, nafikiri majibu unayo saiv
 
MD is more valuable job comparable to Engineering.
Ukitaka kuamini Angalia salary scales zao wakiwa kwenye same Agency.
Mfano Serikalini
1. Engineer+ Lawyer+ IT salary scale ni TGS E
2. Medical doctor, Veterinary Doctor ni TGS F!!!
Though Watu wa Afya wana scale kidogo tofauti
Conclusion: Hata TANROAD kama wataajiri Daktari & Engineer ina maana MD atalipwa zaidi kuliko Engineer
Europe+ Asia ndo kuna Gap kubwa ambapo Sector ya Afya wanakua paid more!!
 
Scales za afya ni TGHS ambapo daktari mwenye shahada ya kwanza na fresh analipwa TGHS E sawa sawa na 1,480,000 (sio exact figure lakini haitoki nje ya 1.4..Na huyu ndio mtu anaelipwa pesa nyingi ukilinganisha na wenzie wa fani tofauti za afya wenye sifa kama zake..Wafamasia wako D.Nurses na Lab scientist wako C Kwa mishahara hii wacha waendelee kufanya kazi sehemu tatu tatu na kuzeeka kabla ya muda
 
Pharmacology ya miezi minne useme unajua composition na dawa zinavyotengenezwa?. Unamention module useme unajua dawa zinavyotengenezwa?. Sema umesoma introduction ya dawa Musoma utalii college sio et unajua dawa zinavyotengenezwa. You know nothing about dawa zaidi ya kukariri tu mtu akiumwa hichi unampa hichi. Hata hizo dawa zinavyofanya kazi hujui. Fika Md tutaongea vzuri but kwa CO bado sana
 
Ahahhhhhahhahah.

Alafu mkuu ni sawa kqeli mwalimu anaefundisha pale MUHIMBILI watu udaktari alipwe sawa mshahara na mwalimu kashishi anaefundisha vitoto kuhesabu kwa vijiti mkuu...?
 
Daah asee bahat mbaya hiyo musoma utalii siijui mkuu.
Sawa najua nipo ngazi ya chini kielimu but tuheshimiane naisaka degree usijali bado miaka minne tutatafutana
 
hili swala la kulinganisha mishahara linatakiwa liangaliwe kwa mapana sana maana kuna double standard sana kwenye mishahara mfano mm napiga mzigo moja ya chuo kikuuu hapa tanzania mtu huyo huyo mwenye cheo changu chuo kingine kanipita km ngazi mbili hivi inatia uvivu sana hii
 
Umeona mkuu eeh?!
 
well said mkuu
 
Mbunge std 7 analipwa 7m + gari + posho za kikao kila siku 3oo,000/= siyo fair kabisa
 
Sasa si bora hao wanapata hiyo, huyo aliyewawezesha mpaka wakajua kusoma na kuandika analipwa sh ngapi!?
Angalaaaauuuu umenpiga ktk mshono / core
Kiwanda kinacho waandaa hawa wote /kada pekee inayo andaa professionals zote wanaa ambulia ndururu tena kwa tabuuuuuuuuuuuu kweliiiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…