ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
- #481
Mjumbe hauwawi mkuu,mm ni messanger tu niko nje ya hiyo faniNa ndio maana wenzako wanakimbilia kazi nje ya nchi..endelea kulalama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mjumbe hauwawi mkuu,mm ni messanger tu niko nje ya hiyo faniNa ndio maana wenzako wanakimbilia kazi nje ya nchi..endelea kulalama
Labda TANESCO au bandari unless uwe umeamua kuzeekea kazini kwa level hiyoKuna watu wana diploma ila mshahara ni 2m.
Tulitaka utuletee comparison kama hizi, daktar wa serikali kuu au halmashaur vs mhandisi wa serikali kuu au halmashauri, nafikiri majibu unayo saivUdaktari tiba ni fani nyeti na ngumu sana lakini cha kushangaza daktari anapata salary ya Tsh.1,500,000 gloss hukuhandisi wa Civil pale TANROADS(case study) anapata 2,000,000
Clinical officer/tabibu =950,000 huku Civil Technician=1,118,000 per month
Kwa staili hii case za rushwa zitaisha huko hospitali na vituo vya afya?
Tafadhali serikali wapeni madaktari uzito unaostahili kwenye malipo,wanatumia kusoma na wanaumia kazini.
Hata kwenye stahiki za posho na benefits zingine daktari hamfikii mhandisi lakini pia mhandisi hasa wa civil wako kwenye industry ambayo possibility ya yeye kupata pesa ni kubwa kuliko watu wa afya hadi semina zije.
Chonde chonde serikali mnapopanga viwango mliangalie hili na ule mpango wa kuwianisha malipo ya wafanyakazi walio na elimu moja limeishia wapi?
Kwa mishahara hii wacha waendelee kufanya kazi sehemu tatu tatu na kuzeeka kabla ya mudaMD is more valuable job comparable to Engineering.
Ukitaka kuamini Angalia salary scales zao wakiwa kwenye same Agency.
Mfano Serikalini
1. Engineer+ Lawyer+ IT salary scale ni TGS E
2. Medical doctor, Veterinary Doctor ni TGS F!!!
Though Watu wa Afya wana scale kidogo tofauti
Conclusion: Hata TANROAD kama wataajiri Daktari & Engineer ina maana MD atalipwa zaidi kuliko Engineer
Europe+ Asia ndo kuna Gap kubwa ambapo Sector ya Afya wanakua paid more!!
Pharmacology ya miezi minne useme unajua composition na dawa zinavyotengenezwa?. Unamention module useme unajua dawa zinavyotengenezwa?. Sema umesoma introduction ya dawa Musoma utalii college sio et unajua dawa zinavyotengenezwa. You know nothing about dawa zaidi ya kukariri tu mtu akiumwa hichi unampa hichi. Hata hizo dawa zinavyofanya kazi hujui. Fika Md tutaongea vzuri but kwa CO bado sanaAsee hukusoma comments za juu.
Nimekwambia sifanyi kaz serikalini mkuu.
Asee soma kwanzia juu.
Nilifanya kazi ktk vituo vya afya vya taasis.ya kiislam nikaacha sawa.
Halafu hukuelewa nachozungumza nimetoa mifano mingi sana.
Katika maswala ya dawa hiyo ni kazi ya pharmacists hata sisi tunasomea jinsi zinavyotengenezwa na composition zake ktk pharmacology.
Huelewi unakurupuka.
Inaelekea hujui kusoma na kuoanisha mifano.
Then hukusoma comments za juu ukaelewa quotes zangu.
Kqma ulikua hujui nilifanya kaz private nyamafu ww.
Hiyo fermentation unayoisemea wewe ya utengenezaji hiyo ampicloxacillin ni wafamasia inawahusu.USIKURUPUKE SOMA KITU KWA UMAKINI
Pharmacology ya miezi minne useme unajua composition na dawa zinavyotengenezwa?. Unamention module useme unajua dawa zinavyotengenezwa?. Sema umesoma introduction ya dawa Musoma utalii college sio et unajua dawa zinavyotengenezwa. You know nothing about dawa zaidi ya kukariri tu mtu akiumwa hichi unampa hichi. Hata hizo dawa zinavyofanya kazi hujui. Fika Md tutaongea vzuri but kwa CO bado sana
Daah asee bahat mbaya hiyo musoma utalii siijui mkuu.Pharmacology ya miezi minne useme unajua composition na dawa zinavyotengenezwa?. Unamention module useme unajua dawa zinavyotengenezwa?. Sema umesoma introduction ya dawa Musoma utalii college sio et unajua dawa zinavyotengenezwa. You know nothing about dawa zaidi ya kukariri tu mtu akiumwa hichi unampa hichi. Hata hizo dawa zinavyofanya kazi hujui. Fika Md tutaongea vzuri but kwa CO bado sana
Umeona mkuu eeh?!hili swala la kulinganisha mishahara linatakiwa liangaliwe kwa mapana sana maana kuna double standard sana kwenye mishahara mfano mm napiga mzigo moja ya chuo kikuuu hapa tanzania mtu huyo huyo mwenye cheo changu chuo kingine kanipita km ngazi mbili hivi inatia uvivu sana hii
well said mkuuNi kweli serikali inatakiwa kupitia upya viwango vya mishahara kwa watumishi wake hasa kwa kuzingatia mazingira anayokutana nayo huyu mfanyakazi. Mishahara iliyonona kidogo inasaidia kumpa mtumishi morali na nguvu ya kukataa rushwa, maana hata kama mtu ni mzalendo lakini kila siku anakutana na vishawishi vikubwa kila siku kwa kazi yake na akiangalia mshahara wake dah..mtakuja mfungulia kesi za rushwa na kumuona sio mzalendo kumbe wasababishi ni serikali wenyewe.
Mwanasheria wa Serikali analipwa gross TZS 969,000/= (amesoma miaka 4 chuoni pamoja na mwaka 1 wa mafunzo pale shule ya sheria Tanzania). Huyu mwanasheria anatetea serikali kwenye kesi zote za madai, ambapo serikali kulingana na uhaba wa fedha pamoja na uzembe tu wa viongozi wa taasisi wakati mwingine, haikaukiwi kesi, kila siku watu wanaishtaki (wakandarasi na wazabuni mbalimbali). Sasa mtu anaoambana kuokoa mabilioni yasilipwe (hata madai ya halali) halafu ndio take home yake hiyo 900, hapo anatakiwa kuvaa suti kila anapoingia mahakamani (ndio sababu ya wengi kuvaa makoti yaliyopauka sana), halafu bado tunajiuliza ni kwa nini serikali inashindwa katika kesi zake nyingi..mazingira haya huyu mtu hata akinunuliwa suti 2 mpya na viatu, anachomokaje (ni mfano tu). Opponent advocate kwa kesi hiyohiyo unakuta kala retianer 30m..
Serikali irekebishe haya, ama sivyo kila siku kwenye hotuba tutaendelea kuulizana kwa nini serikali inashindwa kwenye kesi zake. Unamlipa mwanasheria hiyo 900 wakati Ubalozi wa US wanatangaza kazi ya karani mtanzania mwenye elimu ya kidato cha 4 mshahara wake ni 1.2m kwa mwezi
DuuuhMbunge std 7 analipwa 7m + gari + posho za kikao kila siku 3oo,000/= siyo fair kabisa
Sawa mkuu. All the bestDaah asee bahat mbaya hiyo musoma utalii siijui mkuu.
Sawa najua nipo ngazi ya chini kielimu but tuheshimiane naisaka degree usijali bado miaka minne tutatafutana
Sikuidharau taaluma yoyote kaka hukunielewa nilichoandika mkuu ila sikumdharau mtu kwa hakikaSawa mkuu. All the best
Mimi nilikuwa nakukumbusha tu usidharau taaluma za watu
Angalaaaauuuu umenpiga ktk mshono / coreSasa si bora hao wanapata hiyo, huyo aliyewawezesha mpaka wakajua kusoma na kuandika analipwa sh ngapi!?