Daktari anasoma miaka 5-7 na mhandisi anasoma miaka kati ya 3-4 lakini ona tofauti ya mishahara kati yao hapa chini

Kande je 🤣
 
dr anaweza kujiajiri akafungua hospital yake mtengeneza barabara atafungua offisi yake wapi?
 
Mbna law school napo ni miaka 4 hujasema mishahara Yao minono
 
Nzuri hii
 
vipi kuhusu mbunge... elimu ya darasa la nne, anayejua kusoma na kuandika., maokoto yake naye vipi
 
Mshahara haujawahi tosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…