Daktari anasoma miaka 5-7 na mhandisi anasoma miaka kati ya 3-4 lakini ona tofauti ya mishahara kati yao hapa chini

Mkuu mwalimu anaefundisha watu udaktarii analipwa bei gani...?

Wewe unataka kumlinganisha mwalimu kanjinji ambae alipata div four ya 26 kisha unataka umfananishe na mwalimu ambae yuko spesho kwa ajili ya kuwafundisha vijana waliotoka form six PCB...?

Kwanza hapo naona sio sawa kabisa.

Mwalimu kanjenje wa shule ya msingi na sekondari wale hawawezi kufanana mshahara na mwalimu wa chuo ambae yeye ni maalumu kuwapika watu kuuchezea mwili wa mwanadamu.

Au waalimu hawa wote ni sawa,walipwe sawa tuu?

Mwalimu wa shule ya msingi anaweza kuwafundisha vijana waliotoka form six PCB udaktari...?
Kande je 🤣
 
dr anaweza kujiajiri akafungua hospital yake mtengeneza barabara atafungua offisi yake wapi?
 
Udaktari tiba ni fani nyeti na ngumu sana lakini cha kushangaza daktari anapata salary ya Tsh.1,500,000 gloss hukuhandisi wa Civil pale TANROADS(case study) anapata 2,000,000
Clinical officer/tabibu =950,000 huku Civil Technician=1,118,000 per month

Kwa staili hii case za rushwa zitaisha huko hospitali na vituo vya afya?

Tafadhali serikali wapeni madaktari uzito unaostahili kwenye malipo,wanatumia kusoma na wanaumia kazini.

Hata kwenye stahiki za posho na benefits zingine daktari hamfikii mhandisi lakini pia mhandisi hasa wa civil wako kwenye industry ambayo possibility ya yeye kupata pesa ni kubwa kuliko watu wa afya hadi semina zije.

Chonde chonde serikali mnapopanga viwango mliangalie hili na ule mpango wa kuwianisha malipo ya wafanyakazi walio na elimu moja limeishia wapi?
Mbna law school napo ni miaka 4 hujasema mishahara Yao minono
 
Hoja yako ulipoianza nimeipenda, ni kweli kumlipa Civil Engineer zaidi ya Daktari wa binadamu haiingii akilini. Labda aliyepanga ngazi za mishahara alikuwa Civil Engineer. Majukumu na uwajibikaji wao ni mbalimbàli lakini risk pia ni kubwa kwa Dokta kuliko Injinia. Hili ni tatizo lililoanzishwa na ukurupukaji na sasa waneshindwa kulitafutia dawa hata walipounda tume ya mishahara ambayo nayo imeshindwa kurekebisha tatizo zaidi ya kelele za "Tumefikia hatua nzuri".
Hata hivyo udhaifu huo hauwezi kuhalalisha uonezi wanaofanyiwa walimu. Ifike mahali tujue chanzo cha maarifa yote ni Mwalimu. Hata hiyo miaka 5 ya Daktari hawi peke yake, anakuwa na Mwalimu kwa muda huo wote. Daktari ni mwanafunzi kwa miaka 5-7 kama ulivyosema, lakini Mwalimu ni mwanafunzi muda wote wa maisha yake. Kazi yake ni kutotoa Madaktari, Mainjinia, Wachumi, na kuabort mbumbumbu ambao wengine wanageuka kupanga mshahara wake wakitokea kwenye siasa ambako ni Kokoro la waliomo na wasiokuwamo.
Mwalimu ni Kila kitu ingawaje anaonekana si kitu.
Nzuri hii
 
Udaktari tiba ni fani nyeti na ngumu sana lakini cha kushangaza daktari anapata salary ya Tsh.1,500,000 gloss hukuhandisi wa Civil pale TANROADS(case study) anapata 2,000,000
Clinical officer/tabibu =950,000 huku Civil Technician=1,118,000 per month

Kwa staili hii case za rushwa zitaisha huko hospitali na vituo vya afya?

Tafadhali serikali wapeni madaktari uzito unaostahili kwenye malipo,wanatumia kusoma na wanaumia kazini.

Hata kwenye stahiki za posho na benefits zingine daktari hamfikii mhandisi lakini pia mhandisi hasa wa civil wako kwenye industry ambayo possibility ya yeye kupata pesa ni kubwa kuliko watu wa afya hadi semina zije.

Chonde chonde serikali mnapopanga viwango mliangalie hili na ule mpango wa kuwianisha malipo ya wafanyakazi walio na elimu moja limeishia wapi?
vipi kuhusu mbunge... elimu ya darasa la nne, anayejua kusoma na kuandika., maokoto yake naye vipi
 
Udaktari tiba ni fani nyeti na ngumu sana lakini cha kushangaza daktari anapata salary ya Tsh.1,500,000 gloss hukuhandisi wa Civil pale TANROADS(case study) anapata 2,000,000
Clinical officer/tabibu =950,000 huku Civil Technician=1,118,000 per month

Kwa staili hii case za rushwa zitaisha huko hospitali na vituo vya afya?

Tafadhali serikali wapeni madaktari uzito unaostahili kwenye malipo,wanatumia kusoma na wanaumia kazini.

Hata kwenye stahiki za posho na benefits zingine daktari hamfikii mhandisi lakini pia mhandisi hasa wa civil wako kwenye industry ambayo possibility ya yeye kupata pesa ni kubwa kuliko watu wa afya hadi semina zije.

Chonde chonde serikali mnapopanga viwango mliangalie hili na ule mpango wa kuwianisha malipo ya wafanyakazi walio na elimu moja limeishia wapi?
Mshahara haujawahi tosha
 
Back
Top Bottom