Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Una akili, hakuna ushahidi unaoonyesha akirusha ngumiHakuna kesi, mimi sikumpiga nililuwa namnyang'anya funguo yangu. Ni mali yangu kwa nini achukue?
Hakimu na Mtuhumiwa wote wahaya wa "kanyigo"Daktari bingwa wa magonjwa ya ndani, Conrad Kahyoza ameachiwa kwa dhamana baada ya kufikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam na kusomewa shtaka moja la kushambulia mwili.
Kahyoza anadaiwa kumshambulia askari wa Kikosi cha Usalama Barabarani, F.8886 SGT Andrew, Septemba 8, 2026, majira ya saa 1:30 asubuhi katika Barabara ya Bagamoyo, eneo la Makongo, wakati askari huyo akiwa akitekeleza majukumu yake.
Akisoma hati ya mashtaka, Leo Septemba 102026 mwendesha mashtaka wa Serikali, Irene John, amesema mtuhumiwa huyo anashtakiwa kwa mujibu wa kifungu cha 243(d) cha Sheria ya Makosa ya Jinai, Sura ya 16, kama kilivyofanyiwa marekebisho.
Baada ya kusomewa shtaka hilo na Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni, Jacqueline Rugemalila, Dk Kahyoza alikana kutenda kosa hilo.
We inshomiles. We inshomilize anybodyHakimu na Mtuhumiwa wote wahaya wa "kanyigo"
Mloganzila kazi na morali ingeshukaWanatamani kumpa kesi ya uhaini /ugaidi ili asipate dhamana.
Ndio maana ya kusomesha watoto. Angekuwa msukuma angekutana na hakimu mjita.Wanatamani kumpa kesi ya uhaini /ugaidi ili asipate dhamana.
Shavu na mdomo umevimba upande wa kushoto.Daktari bingwa wa magonjwa ya ndani, Conrad Kahyoza ameachiwa kwa dhamana baada ya kufikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam na kusomewa shtaka moja la kushambulia mwili.
Kahyoza anadaiwa kumshambulia askari wa Kikosi cha Usalama Barabarani, F.8886 SGT Andrew, Septemba 8, 2026, majira ya saa 1:30 asubuhi katika Barabara ya Bagamoyo, eneo la Makongo, wakati askari huyo akiwa akitekeleza majukumu yake.
Soma: Daktari Bingwa wa Mloganzila, Conrad Agonza, anayedaiwa kumshambulia Trafiki afikishwa Mahakamani, 10/09/2026
Akisoma hati ya mashtaka, Leo Septemba 102026 mwendesha mashtaka wa Serikali, Irene John, amesema mtuhumiwa huyo anashtakiwa kwa mujibu wa kifungu cha 243(d) cha Sheria ya Makosa ya Jinai, Sura ya 16, kama kilivyofanyiwa marekebisho.
Baada ya kusomewa shtaka hilo na Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni, Jacqueline Rugemalila, Dk Kahyoza alikana kutenda kosa hilo.
Wanajali hawa? Mama ameshaspecify watu anaowalinda πMloganzila kazi na morali ingeshuka
Kumbuka kule ni "must goo"
Ova
Sio kurusha ngumi tuu; bali kama mtu akishambuliwa huenda kupata na kujaziwa Fomu PF 3. Huyo anayedai kapigwa ana hiyo fomu?. Nani atakayethibitisha kwamba ni kweli alishambuliwa?Una akili, hakuna ushahidi unaoonyesha akirusha ngumi
WasingejalianaWanajali hawa? Mama ameshaspecify watu anaowalinda π
Tambo ziwe na mipaka. Usitambe mpaka kupitiliza hadi kwenye eneo la mwenzako. Huo ni Ubabe.Wasingejaliana
Maana kila mtu ana tamba eneo lake
π
Ova