Ina vituko.🤣🤣🤣 Hii nchi bhana
Hii inanikumbusha miaka ya nyuma Rau kulikuwa na msemo maarufu wa Wamangi uliosema "Chetsa na mimiaisee usichetse na kazsi yangu. Nitakuua mangi -m*ula!"View attachment 3668472ametoa funzo kwa wasahaulifu wa PGO
Kabisa yaani wakati mwingine unabaki kushangaza tuIna vituko.
Kuna kujisahau sana cku hizi. Wa Tz -wasomi walio katika Ajira au Madarakani i.e. Baadhi ya Waajiriwa kama watoa huduma wanajitoa ufahamu kwamba hawajui huku nje uraiani wapo wataalam wengi sana wa aina/fani mbalimbali nyingi waliokosa kuajiriwa lakini ni wataalam waliokamilika. Hao wataalam walio nje wanawaangalia hao wataalam walioajiriwa kutoa huduma jinsi wanavyo likoroga wanasikitika mno na kushangaa inakuwaje.Kabisa yaani wakati mwingine unabaki kushangaza tu