Afcon kinanuka
JF-Expert Member
- Apr 5, 2026
- 1,623
- 4,213
Ushahidi wa video kupitia simu jeSio kurusha ngumi tuu; bali kama mtu akishambuliwa huenda kupata na kujaziwa Fomu PF 3. Huyo anayedai kapigwa ana hiyo fomu?. Nani atakayethibitisha kwamba ni kweli alishambuliwa?
Kunyang'anya funguo za gari ni wizi.
Watu wa KANYIGO ni wamoja sana Wana umoja sana sanaaHakimu na Mtuhumiwa wote wahaya wa "kanyigo"
mchezo umeishaHakimu na Mtuhumiwa wote wahaya wa "kanyigo"
Kwa teknolojia iliyopo inaweza kuwa ni AI na sio kweli/halisi.Ushahidi wa video kupitia simu je
Aisee; Hapo sijaelewa kitu.Mbona kama wamemfua?
Mahakama inakitengo cha wataalamu wa kutambua picha za AI na halisiKwa teknolojia iliyopo inaweza kuwa ni AI na sio kweli/halisi.
Ni kweli. Lakini mpaka ifikie hatua hiyo muda utakuwa unaenda. Halafu bado mtuhumia anaweza kuzikataa findings zao kama zitafanywa na kile kitengo cha Polisi. (Ni kitengo cha forensic au.......sikumbuki jina lake)Mahakama inakitengo cha wataalamu wa kutambua picha za AI na halisi
Kesi ya nyani imepelekwa kwa ngedere etie? Polisi anaweza kumkataa Hakimu.Watu wa KANYIGO ni wamoja sana Wana umoja sana sanaa
Haaahaa π π€£Kesi ya nyani imepelekwa kwa ngedere etie? Polisi anaweza kumkataa Hakimu.
Hivi kwenye hii kesi Mlalamikaji ni nani?
Ni Jamhuri ama ni yule Askari Andrew?
Mkuu Ikishakuwa jinai siku zote mshtaki ni Jamhuri kupitia mwendesha mashtaka.Hivi kwenye hii kesi Mlalamikaji ni nani?
Ni Jamhuri ama ni yule Askari Andrew?
Itakuwa jinai kama dkt. atashtakiwa kwa kumzuia askari akitekeleza majukumu yake. Na hili hao jamaa watalipenda zaidi ili kumkomoa dkt.Mkuu Ikishakuwa jinai siku zote mshtaki ni Jamhuri kupitia mwendesha mashtaka.
Kwani chargesheet imesomekaje mkuu.Itakuwa jinai kama dkt. atashtakiwa kwa kumzuia askari akitekeleza majukumu yake. Na hili hao jamaa watalipenda zaidi ili kumkomoa dkt.
Lakini mm naona itakuwa ni ya madai kwani walitwangana ktk. mazingira tatanishi e.g. kwani ni kazi ya askari kukusanya ushuru?
Sijaiona.Kwani chargesheet imesomekaje mkuu.
Hii watasema Mahakama na sio Polisi. Polisi ni waongo mno na wanajua sana kufremu tukio ili ionekane mkosaji ni Dakt.Na itakuwaje madai kabla haijathibitika mkosaji ni nani?
OK.Btw: iwe ni shambulio la kudhuru mwili au kumzuia askari kutekeleza majukumu yake yote ni mashtaka yanayoangukia kwenye kundi la jinai.
N walilipwa fedha na wafadhili wa wanaharakati.Baadae utasikia kuwa ni Raia kutoka Nchi jirani.
Na baadhi walibeba silaha za motoHalafu kituko ile taarifa ya mapolisi eti dokta alipigwa na wananchi wakati akimshambulia trafiki πππ
π€£π€£π€£ Hii nchi bhanaN walilipwa fedha na wafadhili wa wanaharakati.
Na baadhi walibeba silaha za moto
Kipindi cha Ulimboka kuna kamanda aliugua akajipeleka hospitali binafsi kukwepa kulipizwa na timu Ulimboka, huko hospitali binafsi wakasema tiba kamili iko kule waliko mashabiki wakubwa wa Ulimboka na akalengeshewa huko, alipofikishwa huko badala ya kueleza shida yake ya kiafya akaanza kujitetea kuwa yeye siye aliye muumiza ulimboka!Daktari bingwa wa magonjwa ya ndani, Conrad Kahyoza ameachiwa kwa dhamana baada ya kufikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam na kusomewa shtaka moja la kushambulia mwili.
Kahyoza anadaiwa kumshambulia askari wa Kikosi cha Usalama Barabarani, F.8886 SGT Andrew, Septemba 8, 2026, majira ya saa 1:30 asubuhi katika Barabara ya Bagamoyo, eneo la Makongo, wakati askari huyo akiwa akitekeleza majukumu yake.
Soma: Daktari Bingwa wa Mloganzila, Conrad Agonza, anayedaiwa kumshambulia Trafiki afikishwa Mahakamani, 10/09/2026
Akisoma hati ya mashtaka, Leo Septemba 102026 mwendesha mashtaka wa Serikali, Irene John, amesema mtuhumiwa huyo anashtakiwa kwa mujibu wa kifungu cha 243(d) cha Sheria ya Makosa ya Jinai, Sura ya 16, kama kilivyofanyiwa marekebisho.
Baada ya kusomewa shtaka hilo na Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni, Jacqueline Rugemalila, Dk Kahyoza alikana kutenda kosa hilo.