Daktari anayedaiwa kumpiga trafiki aachiwa kwa dhamana

Kabisa yaani wakati mwingine unabaki kushangaza tu
Kuna kujisahau sana cku hizi. Wa Tz -wasomi walio katika Ajira au Madarakani i.e. Baadhi ya Waajiriwa kama watoa huduma wanajitoa ufahamu kwamba hawajui huku nje uraiani wapo wataalam wengi sana wa aina/fani mbalimbali nyingi waliokosa kuajiriwa lakini ni wataalam waliokamilika. Hao wataalam walio nje wanawaangalia hao wataalam walioajiriwa kutoa huduma jinsi wanavyo likoroga wanasikitika mno na kushangaa inakuwaje.
 
Kesi ya huyu daktari bingwa inaendeleaje waungwana! Ni zaidi ya wiki mbili tangu alipofikishwa mahakamani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…