Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Mmm!! Ni hatari sasa hivi hata rushwa ya ngono imeingizwa kwenye makosa ya uhujumu uchumi!!Daktari wa clinic moja iliyopo Sinza leo amepandishwa kizimbani kwa mashtaka ya uhujumu uchumi.
View attachment 1305016
Kwasasahivi ieleweke kuwa kila uvunjfu wa sheria ni ML.
So ML ni pi 3.14 ama k kwenye kila kosa
Hivi uhujumu uchumi ndio utakatishaji wa pesa?Kwasasahivi ieleweke kuwa kila uvunjfu wa sheria ni ML.
So ML ni pi 3.14 ama k kwenye kila kosa
Hutaki?Mmm!! Ni hatari sasa hivi hata rushwa ya ngono imeingizwa kwenye makosa ya uhujumu uchumi!!
Ni tofau manske sr kaambiwa kahujumu sh 260,000.
Hujanielewa!! Ndio nchi imefikia hapo!! Kama rushwa ya ngono ni uhujumu uchumi sembuse kutoa mimba?!!! Ni hatariHutaki?
Dpp ni msukuma kumbuka ndo wameshika hatamu hii jamii inapenda sana ligi.DPP na watu wake wanazingua, hivi sasa hata ukiona simu unapewa Uhujumu Uchumi.
Ukiendesha gari spidi Uhujumu Uchumi
Sent using Jamii Forums mobile app
Tupo kipindi kigumu sana
ila anayeteka watu kisa kakosolewa ndo anaongeza na kujenga nguvu kazi ya Taifa,I love this countrySahihi kabisa ,utoaji wa mimba ni kulihujumu taifa(kuua nguvu kazi)
Sent using Jamii Forums mobile app