Daktari anayetuhumiwa kwa utoaji mimba ashitakiwa kwa Uhujumu uchumi

Kila kitengo au idara inayoongozwa na msukuma iwe halmashauri au taasisi tu Kuna shida. Ubabe mwingi kuonea watu, yaani ni hatari hii jamii.

Mwalimu Nyerere alishauri makabila yenye idadi kubwa ya watu haifai kupewa madaraka makubwa lakini wapi.

Mtu toka anazaliwa anaona ng'ombe tu, atakuwa na uwezo wa kufikiri nje ya box?

JK aliwakabidhi washamba madaraka wacha tuumie tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanamtega aombe kurudisha fedha wapige za kutosha kisha wamwachie.

Kwa lugha ya kimalkia wanaita Extortion
 
Kila kitengo au idara inayoongozwa na msukuma iwe halmashauri au taasisi tu Kuna shida. Ubabe mwingi kuonea watu, yaani ni hatari hii jamii.

Mwalimu Nyerere alishauri makabila yenye idadi kubwa ya watu haifai kupewa madaraka makubwa lakini wapi.

Mtu toka anazaliwa anaona ng'ombe tu, atakuwa na uwezo wa kufikiri nje ya box?

JK aliwakabidhi washamba madaraka wacha tuumie tu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Acha ukabila Kuku Weee!

Wasukuma nao wana haki ya kuwa Viongozi kwa kuwa tunaangalia sifa sio Kabila
 
Sitoshangaa kabisa wote watakaouliza maswali chonganishi au fikirishi kipindi cha kampeni Octoba 2020 wakipewa kesi za ML na uhujumu uchumi!
 
Back
Top Bottom