Daktari anayetuhumiwa kwa utoaji mimba ashitakiwa kwa Uhujumu uchumi

Daktari anayetuhumiwa kwa utoaji mimba ashitakiwa kwa Uhujumu uchumi

Uelewa wako mdogo kuhusu utakatishaji fedha. Isiwe sababu ya kutaka kupotosha umma. Kasome sheria upate uelewa, siyo kila kitu siasa. Maana hapo angeshtakiwa mwanasiasa mngesema ni kwasababu ya siasa, wakati sheria ipo wazi.

Sent from my SM-A730F using JamiiForums mobile app
Labda kama umeandika kwa kujifurahisha , lakini hakuna mahali popote nimepinga mashitaka hayo , mimi nimeripoti tu kilichotokea .
 
Dpp ni msukuma kumbuka ndo wameshika hatamu hii jamii inapenda sana ligi.

Jamii gani ? Ya wasukuma ? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hii zamu yetu mtalijua jiji. Ni mwendo wa Kuswaga tu.

Jiwe oyeeeeeeee...! Hii zamu wasukuma tunawapa mfano vile uongozi unapswa kuwa.

Happy dude [emoji67]‍[emoji538]
 
True nyie chapa ng'ombe mwafaa kwa kazi za kutumia nguvu zaid na sio za reasoning hata mkoloni aliliona hilo aliona ni hasara kuiendeleza jamii isiyoelimika
 
Yaonekana kama lengo la msamaha Wa wafungwa ni kupunguza idadi ya wafungwa ili ipatikane nafasi ya wabambikwa uhujumu uchumi wajae
 
Bado tuko wachache sana,50mil kwenye ardhi inayotakiwa kukaliwa na watu zaidi ya 500mil... Huyo amelihujumu taifa maana bado tunahitaji nguvu kazi kufikia ndoto zetu kuwa taifa lenye nguvu duniani chini cha Dr jemedari JPM...
 
View attachment 1305046

Daktari wa Dental Clinic iliyoko Sinza Mori , Dr Awadh Juma mkazi wa Kunduchi ambaye anatuhumiwa kwa utoaji mimba ambao ni kinyume cha sheria za nchi , amefikishwa kwenye Mahakama ya hakimu mkaazi ya Kisutu akishitakiwa kwa makosa 7 likiwemo la utakatishaji wa kitita kikubwa cha pesa za kitanzania cha shilingi 260,000 ( laki mbili na elfu sitini )

Pamoja naye ameshitakiwa pia muuguzi wa clinic hiyo aitwaye Kidawa Ramadhan ambaye ni mkazi wa Manzese.

Kesi hiyo iko mbele ya Mh Hakimu Vicky Mwaikambo , ambapo mashtaka yamesomwa na Wakili wa serikali Simon Wankyo akisaidiwa na Glory Mwenda .
nimeonana na Doto Yakobo leo. Amekonda mnooo
 
Kukosoa ruksa ,kutukana mtapata tabu sana mpaka mtakapo kaa mguu sawa

Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee kumbe wale wanaotukanwa ndo wanateka watu?Asante mkuu sasa kwa kuwa wasiojulikana sasa wanajulikana ,basi watekwaji nao waanze kuteka watekaji maana ukiachilia madaraka kila mmoja wetu ana mwili na ana roho
Punguzeni kuishi kwa stori za vijiweni..
Umewahi shuhudia au unasikia kama mimi tu!
wewe umewahi kushuhudia Lissu akiisaliti Tanzania? au ulisikia tu toka kwa mwenyekiti
 
Uelewa wako mdogo kuhusu utakatishaji fedha. Isiwe sababu ya kutaka kupotosha umma. Kasome sheria upate uelewa, siyo kila kitu siasa. Maana hapo angeshtakiwa mwanasiasa mngesema ni kwasababu ya siasa, wakati sheria ipo wazi.

Sent from my SM-A730F using JamiiForums mobile app

Hebu tuwekee hiyo Sheria hapa inayohusu Uhujumu Uchumi na sie tuhakikishe ,isije ikawa unaongea nje ya Reli hapa.
 
Hapa kama hakuna Mtu/Watu wana viziwa sijui ,ina maana huyu Daktari ana Kesi nzito kama ya kina Setti na mwenzie !?

Wana Sheria na wajuzi wa hili hebu tusaidieni kuhusu hili.
 
Hii nchi ni masikini. Niliposikia "utakatishaji wa kitita kikubwa cha pesa za kitanzania cha shilingi 260,000 ( laki mbili na elfu sitini )" Nikajua ni milion 260 kumbe laki 2 na elfu 60. Ha ha ha ha

Uelewa wako mdogo kuhusu utakatishaji fedha. Isiwe sababu ya kutaka kupotosha umma. Kasome sheria upate uelewa, siyo kila kitu siasa. Maana hapo angeshtakiwa mwanasiasa mngesema ni kwasababu ya siasa, wakati sheria ipo wazi.

Sent from my SM-A730F using JamiiForums mobile app
 
Hii nchi ni masikini. Niliposikia "utakatishaji wa kitita kikubwa cha pesa za kitanzania cha shilingi 260,000 ( laki mbili na elfu sitini )" Nikajua ni milion 260 kumbe laki 2 na elfu 60. Ha ha ha ha
Mkuu mtoa taharifa atakuwa mchaga maana wao kwenye ku-exaggerate mambo huwa hawajambo, kitu kidogo tu utasikia Yeeeesuuu na mariaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23], wachaga oyeee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom