Daktari anayetuhumiwa kwa utoaji mimba ashitakiwa kwa Uhujumu uchumi

Labda kama umeandika kwa kujifurahisha , lakini hakuna mahali popote nimepinga mashitaka hayo , mimi nimeripoti tu kilichotokea .
 
Dpp ni msukuma kumbuka ndo wameshika hatamu hii jamii inapenda sana ligi.

Jamii gani ? Ya wasukuma ? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hii zamu yetu mtalijua jiji. Ni mwendo wa Kuswaga tu.

Jiwe oyeeeeeeee...! Hii zamu wasukuma tunawapa mfano vile uongozi unapswa kuwa.


Happy dude [emoji67]‍[emoji538]
 
Jamii gani ? Ya wasukuma ? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hii zamu yetu mtalijua jiji. Ni mwendo wa Kuswaga tu.

Jiwe oyeeeeeeee...! Hii zamu wasukuma tunawapa mfano vile uongozi unapswa kuwa.


Happy dude [emoji67]‍[emoji538]
True nyie chapa ng'ombe mwafaa kwa kazi za kutumia nguvu zaid na sio za reasoning hata mkoloni aliliona hilo aliona ni hasara kuiendeleza jamii isiyoelimika
 
Yaonekana kama lengo la msamaha Wa wafungwa ni kupunguza idadi ya wafungwa ili ipatikane nafasi ya wabambikwa uhujumu uchumi wajae
 
Bado tuko wachache sana,50mil kwenye ardhi inayotakiwa kukaliwa na watu zaidi ya 500mil... Huyo amelihujumu taifa maana bado tunahitaji nguvu kazi kufikia ndoto zetu kuwa taifa lenye nguvu duniani chini cha Dr jemedari JPM...
 
nimeonana na Doto Yakobo leo. Amekonda mnooo
 
Kukosoa ruksa ,kutukana mtapata tabu sana mpaka mtakapo kaa mguu sawa

Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee kumbe wale wanaotukanwa ndo wanateka watu?Asante mkuu sasa kwa kuwa wasiojulikana sasa wanajulikana ,basi watekwaji nao waanze kuteka watekaji maana ukiachilia madaraka kila mmoja wetu ana mwili na ana roho
Punguzeni kuishi kwa stori za vijiweni..
Umewahi shuhudia au unasikia kama mimi tu!
wewe umewahi kushuhudia Lissu akiisaliti Tanzania? au ulisikia tu toka kwa mwenyekiti
 

Hebu tuwekee hiyo Sheria hapa inayohusu Uhujumu Uchumi na sie tuhakikishe ,isije ikawa unaongea nje ya Reli hapa.
 
Hapa kama hakuna Mtu/Watu wana viziwa sijui ,ina maana huyu Daktari ana Kesi nzito kama ya kina Setti na mwenzie !?

Wana Sheria na wajuzi wa hili hebu tusaidieni kuhusu hili.
 
Hii nchi ni masikini. Niliposikia "utakatishaji wa kitita kikubwa cha pesa za kitanzania cha shilingi 260,000 ( laki mbili na elfu sitini )" Nikajua ni milion 260 kumbe laki 2 na elfu 60. Ha ha ha ha

 
Hii nchi ni masikini. Niliposikia "utakatishaji wa kitita kikubwa cha pesa za kitanzania cha shilingi 260,000 ( laki mbili na elfu sitini )" Nikajua ni milion 260 kumbe laki 2 na elfu 60. Ha ha ha ha
Mkuu mtoa taharifa atakuwa mchaga maana wao kwenye ku-exaggerate mambo huwa hawajambo, kitu kidogo tu utasikia Yeeeesuuu na mariaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23], wachaga oyeee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…