Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata mimiKila mtu ana umuhimu wake kwa taifa.
Kabisa. Kum train huyu inachukua muda, pesa na vifaa vingi sana. Ila kum train mkuu wa wilaya inagharimu kadi ya chama tu. Elimu Wala Nini haviangaliwiHawa ndio watu muhimu ktk taifa.
Mtu kama Steve nyerere umuhimu wake utacompare na Marealle?Kila mtu ana umuhimu wake kwa taifa.
Hata dunia yenye unaijua basi.Ha ha ha huwezi kunielewa. Labda ondoa neno taifa kwenye post yangu weka neno dunia utapata mwanga.
Sawa.Hata dunia yenye unaijua basi.
Sio Dr. Marealle mkuu, alikuwa hana dharau kabisa. He was a great doctor and a very down to earth person. Rest in peace my brother from another mother.Kumbe na yeye anakufa...hawa jamaa nilijua hawafagi maana ukifika pale MOI wanakuona kama mzoga
Aaah Numbi hana umuhimu si katani kwake, tarafani wala wilayani kwake!Kila mtu ana umuhimu wake kwa taifa.
Baba yake ni mangi yupi,mana pale wazee wengi wamefariki na juzi walimzika mangi alexR.i.p dr mareale my home boy
Mshiki pole sanaSio Dr. Marealle mkuu, alikuwa hana dharau kabisa. He was a great doctor and a very down to earth person. Rest in peace my brother from another mother.
Sent using Jamii Forums mobile app
Masikitiko makubwa sana,anyway moi pâle homeboys wapo wengi mno about 40%luambomakaidi tumepoteza jembe
Inasikitisha sana R.I.P.
Lakini hawathaminiwi badala yake kipaumbele kinapelekwa kwa akina Msukuma Jah People and the likeHawa ndio watu muhimu ktk taifa.
Hivi hamuwezi kufiri nje ya siasa,mnaboa kishenzi,kuna jukwa la siasa lkn kila jukwaa ,kila threads mnaingiza maswala yenu kisiasa.Hii thread si ya kisiasa tuna mzungumzia mwana sayansi aliye jitoa kuwa hudumia watu kwa utaalam wake,hao watu akina Polepole,Msukuma,Lisu,Membe nk pelekeni huko kwenye jukwaa la siasa.Lakini hawathaminiwi badala yake kipaumbele kinapelekwa kwa akina Msukuma Jah People and the like
Vizuri havidumu ndugu yangu.....Daah why MUNGU anachukua watu muhimu kama hawa ktk dunia,anyway tukubali tu wote ni njia yetu.
RIP Dr