TANZIA Daktari Bingwa wa Mifupa MOI na Mwenyekiti wa Kamati ya Tiba TFF, Dkt. Paul Gasper Marealle afariki dunia

TANZIA Daktari Bingwa wa Mifupa MOI na Mwenyekiti wa Kamati ya Tiba TFF, Dkt. Paul Gasper Marealle afariki dunia

Kumbe na yeye anakufa...hawa jamaa nilijua hawafagi maana ukifika pale MOI wanakuona kama mzoga
 
Mare.jpg
Mare2.jpg
 
Lakini hawathaminiwi badala yake kipaumbele kinapelekwa kwa akina Msukuma Jah People and the like
Hivi hamuwezi kufiri nje ya siasa,mnaboa kishenzi,kuna jukwa la siasa lkn kila jukwaa ,kila threads mnaingiza maswala yenu kisiasa.Hii thread si ya kisiasa tuna mzungumzia mwana sayansi aliye jitoa kuwa hudumia watu kwa utaalam wake,hao watu akina Polepole,Msukuma,Lisu,Membe nk pelekeni huko kwenye jukwaa la siasa.
 
Back
Top Bottom