Daktari: Kama una Kilo kuanzia 80 na kuendelea unatakiwa kuwekewa Puto la Kupunguza Uzito

Daktari: Kama una Kilo kuanzia 80 na kuendelea unatakiwa kuwekewa Puto la Kupunguza Uzito

Kinachowashinda wengi ni namna ya kubalance vyakula
 
Madaktari Bingwa Dr. Eliasa Mkongo , Dr. Edwin Muhondezi. pamoja na Dr. Eric Muhumba (Surgeon) ambao ni Madaktari Bingwa wazawa Wakizungumzia Namna Uwekaji Puto Ndani Ya Tumbo unavtofanyika, watu gani wapaswa kuwekewa na Faida na Hasara Zake.
Huyu anataka biashara tu
 
Back
Top Bottom