Daktari kesi ya Afande Rama asema baada ya vipimo amebaini kuna uwazi sehemu za siri za nyuma za mshtakiwa

Hilo shoga n la Kunyonga ushahid upo Hawa wanazid kutangaza ushoga mahakaman tu
 
Upo sahihi!Napinga ushoga ila daktari kaudharirisha udaktari!Uwazi c hitimisho la kuingiliwa!Watoe video tu waachane na mambo ya ramadhani liwe hitimisho mahali kokote duniani uwazi c hitimisho may be immediately wangekuta sperms!

Nadhani ni kwakuwa mtuhumiwa anatuhumiwa kwa kosa la kuruhusu kuingiliwa sehemu ya haja kubwa ndio maana ulipobainika huo “uwazi” basi ikahitimishwa hivyo. Video zilisha “tlendi” mtandaoni? labda kama tunashauri watoe video za wakati wanampima.?I mean wakati wanatest kidole kimoja mpaka kikapwaya na hatimaye cha pili!!!....[emoji15]
 
Shahidi namba moja Dkt. Fahad Nassor Mohammed katika kesi namba 59 ya Mwaka 2023, inayomkabili Mshtakiwa Ramadhan Hassan Ali ambaye anashtakiwa kutenda makosa mawili ikiwemo kuruhusu kuingiliwa kinyume na maumbile na kosa la pili la maudhui ya king’ono ametoa ushahidi wake mbele ya Mahakama ya Mkoa Vuga, Mjini Unguja.

Akitoa ushahidi wake mbele ya Hakimu wa Mahakama ya Mkoa Vuga, Khamis Ali Simai amesema baada ya kumfanyia mtuhumiwa uchunguzi alibaini kuwepo kwa uwazi katika sehemu za siri za nyuma zenye uwezo wa kupitisha vidole viwili jambo linaloashiria kuingizwa kitu kigumu kutoka nje.

Shahidi wa Pili katika kesi hiyo Sajenti wa Polisi, Ame Suleiman Ame amethibitisha mbele ya Mahakama kuwa yeye ndie aliyempiga picha mshtakiwa Ramadhani Hassan baada ya kukamatwa na Polisi kwa kutuhumiwa kutenda kosa na picha hizo kutumika kama kielelezo cha kumtambua mshtakiwa wa kesi hiyo.

Kwa upande wa Wakili wa Utetezi, Hassan Kijogoo aliibua maswali kwa mashahidi wote wawili akitaka kufahamu kabla ya uchunguzi huo wa kitabibu kufanyika ridhaa ilipatikana kutoka kwa mhusika na kumtaka shahidi athibitishe kielelezo cha ridhaa hiyo.

Shahidi alisema alipata ridhaa ya kauli kutoka kwa mshtakiwa Ramadhani.

Hata hivyo, Wakili kutoka Ofisi ya Muendesha wa Mashtaka wa Serikali, Mohammed Saleh ameiomba Mahakama kuzuia vielelezo vya ushahidi mwengine wa video ukionyesha tendo likifanyika ili kuheshimu mwezi Mtukufu wa Ramadhani.

Kesi hiyo imeharishwa hadi tarehe 17 Aprili, 2023 huku mshtakiwa akiendelea kuwa rumande.

Chanzo: Wasafi TV
Kaamua mwenyewe kutoa mkondu nyie mnamfunga! Mfireni huyo
 
😂Una ukorofi, eti panazomea,
Haya nitafanya research kuona kama mbele panarudi
Nimekwambia hivyo sababu nimepitisha mtoto, but huwezi amini hata ambayo si kubwa imenichubua na kuingia tabu. Natumaini umelewa.
Hiyo ya bwawa ni maumbile tu, kama ilivyo wanaume wana kubwa na ndogo. Nasisi ni hivyo. Ukifanya utafiti, unipe feedback... Basi Nenda
 
Hivi huyu bwana hadi video yake ilikuwepo? naona watu wanasema hivyo, au mimi ndo nipo nyuma ya connection?[emoji3]
 
Kuingia kwa vidole viwili siyo uthibitisho wa kuingiwa au kuwa shoga. Inawezekana na daktari kalazimisha vidole vyake kuingia. maana kwa huo uwazi wa vidole viwili kama mavi ya afande ingekuwa inatoka tu.
Dalili ya kuwa na tezi dume pia ni kutanuka kwa sehemu ya haja kubwa. Dokta alitakiwa aje ua ushahidi usio na mashaka. Hapo mimi naona daktari katengeneza mchongo wa afande kuwa huru kirahisi tu.
 
Shahidi namba moja Dkt. Fahad Nassor Mohammed katika kesi namba 59 ya Mwaka 2023, inayomkabili Mshtakiwa Ramadhan Hassan Ali ambaye anashtakiwa kutenda makosa mawili ikiwemo kuruhusu kuingiliwa kinyume na maumbile na kosa la pili la maudhui ya king’ono ametoa ushahidi wake mbele ya Mahakama ya Mkoa Vuga, Mjini Unguja.

Akitoa ushahidi wake mbele ya Hakimu wa Mahakama ya Mkoa Vuga, Khamis Ali Simai amesema baada ya kumfanyia mtuhumiwa uchunguzi alibaini kuwepo kwa uwazi katika sehemu za siri za nyuma zenye uwezo wa kupitisha vidole viwili jambo linaloashiria kuingizwa kitu kigumu kutoka nje.

Shahidi wa Pili katika kesi hiyo Sajenti wa Polisi, Ame Suleiman Ame amethibitisha mbele ya Mahakama kuwa yeye ndie aliyempiga picha mshtakiwa Ramadhani Hassan baada ya kukamatwa na Polisi kwa kutuhumiwa kutenda kosa na picha hizo kutumika kama kielelezo cha kumtambua mshtakiwa wa kesi hiyo.

Kwa upande wa Wakili wa Utetezi, Hassan Kijogoo aliibua maswali kwa mashahidi wote wawili akitaka kufahamu kabla ya uchunguzi huo wa kitabibu kufanyika ridhaa ilipatikana kutoka kwa mhusika na kumtaka shahidi athibitishe kielelezo cha ridhaa hiyo.

Shahidi alisema alipata ridhaa ya kauli kutoka kwa mshtakiwa Ramadhani.

Hata hivyo, Wakili kutoka Ofisi ya Muendesha wa Mashtaka wa Serikali, Mohammed Saleh ameiomba Mahakama kuzuia vielelezo vya ushahidi mwengine wa video ukionyesha tendo likifanyika ili kuheshimu mwezi Mtukufu wa Ramadhani.

Kesi hiyo imeharishwa hadi tarehe 17 Aprili, 2023 huku mshtakiwa akiendelea kuwa rumande.

Chanzo: Wasafi TV
Auawe kbs
 
Nimekwambia hivyo sababu nimepitisha mtoto, but huwezi amini hata ambayo si kubwa imenichubua na kuingia tabu. Natumaini umelewa.
Hiyo ya bwawa ni maumbile tu, kama ilivyo wanaume wana kubwa na ndogo. Nasisi ni hivyo. Ukifanya utafiti, unipe feedback... Basi Nenda
😍Huwa napenda sana unavofunguka ndio mana nikiona ume comment nakuchokoza, nakuja PM kwa mengine zaidi
 
Ila hicho kipimo walikuwa na Afande akashikiliwa mikono nini naona Dakatree angeongeza jitihada za kumuandaa kidogo tu ngumi ingeingia[emoji41]
 
Back
Top Bottom