ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
- #61
Pole tuko 10 Bora ya Nchi za Walevi wengiacheni uongo tupe chanzo cha hiyo takwimu, sidhani hata kumi bora tumo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole tuko 10 Bora ya Nchi za Walevi wengiacheni uongo tupe chanzo cha hiyo takwimu, sidhani hata kumi bora tumo
Dadekiiii wengine tuna masimtank😂 hapo kwenye Kila mtanzania na ndoo ndogo Sasa..
Kuna watu wanamapipa
Hapo kwenye "kila mtanzania." Mbona tumeanza kujumuishana kwenye mambo ambayo siyo wote tunashiriki?Dkt Omar Ubuguyu, Mkurugenzi Msaidizi wa huduma za magonjwa yasiyo ya kuambukiza amesema kwa Wastani, kila Mtanzania anatumia lita 9.1 ya pombe kwa mwaka, sawa na ndoo ndogo ya maji, Tanzania ndio nchi inayoongoza kwa unywaji wa pombe katika Bara la Afrika.
---
My Take:
Ndio maana Hii Nchi Ina Watu Wana matukio ya ajabu sana kumbe tatizo ni pombe na bangi kupanda kichwani, duu.
Ndoo mbona mtu anakunywa wiki tu😂 hapo kwenye Kila mtanzania na ndoo ndogo Sasa..
Kuna watu wanamapipa
Na malaya kwa jumla wanaingiza trillion ngapi kwa mwaka? Fanya short time 50k kwa mfanoNimepiga hesabu ikiwa kwa wastani kila lita itauzwa 1000 tu, basi kwa mwaka tunakunywa pombe za TZS 546,000,000,000/=
Hii noma
Dkt Omar Ubuguyu, Mkurugenzi Msaidizi wa huduma za magonjwa yasiyo ya kuambukiza amesema kwa Wastani, kila Mtanzania anatumia lita 9.1 ya pombe kwa mwaka, sawa na ndoo ndogo ya maji, Tanzania ndio nchi inayoongoza kwa unywaji wa pombe katika Bara la Afrika.
---
My Take:
Ndio maana Hii Nchi Ina Watu Wana matukio ya ajabu sana kumbe tatizo ni pombe na bangi kupanda kichwani, duu.
Pombe ni swala la muungano kwa hiyo lazima tujumlishwe wote.Hapo kwenye "kila mtanzania." Mbona tumeanza kujumuishana kwenye mambo ambayo siyo wote tunashiriki?
... anazungumzia average; chukua kiasi cha pombe yote inayonywewa nchini kwa mwaka gawanya kwa watatnzania wote milioni 61+ (hadi vichanga) ndio unapata wastani wa ndoo ndogo kwa kila mtanzania.Sasa ndoo ndogo nayo ya kulalamikia?
Hiyo ndoo ndogo watu wanaikata kwa siku.
... anazungumzia average; chukua kiasi cha pombe yote inayonywewa nchini kwa mwaka gawanya kwa watatnzania wote milioni 61+ (hadi vichanga) ndio unapata wastani wa ndoo ndogo kwa kila mtanzania.
Angeondoa wasiokunywa kwenye hesabu yake ikagawanywa kwa walevi peke yao, watu wangetoka na wastani wa unit ya DAWASA - 1000 ltrs kwa mwaka ==> 3 ltrs kwa siku ==> 8 bottles kwa siku.
Ingegawanywa kwa walevi sugu peke yao watu wangetoka na kreti 1.5 ==> 30 bottles daily!
... data za kiasi cha pombe rasmi (achana na za kienyeji) kinachozalishwa na kuingizwa nchini kila mwaka zipo. Ni suala la kugawanya kwa idadi ya watanzania.Bado sijajua hizo hesabu za KIWASTANI wametoa wapi...? Yaani mpaka wanafikia huko kujua mimi nakunywa Ndoo ndogo kwa Mwaka hizo hesabu wamaetoa wapi.? Je Kiafya kwa Alc volume ya ndoo ndogo ukigawanya kwa siku 360 je utaniweka kundi la mnywaji hatariii?
Katika pombe ambazo sio Rasmi ndio pombe inayonywewa sana kuliko hii rasmi.... data za kiasi cha pombe rasmi (achana na za kienyeji) kinachozalishwa na kuingizwa nchini kila mwaka zipo. Ni suala la kugawanya kwa idadi ya watanzania.
Hapo Kodi shilingi ngapiNimepiga hesabu ikiwa kwa wastani kila lita itauzwa 1000 tu, basi kwa mwaka tunakunywa pombe za TZS 546,000,000,000/=
Hii noma