HQ siiwezi ule ubaridi wake unanifanya niwe uncomfortable, natumia Lavy,relief,cherish au softcare kama nikikosa hizo nyingine kabisaYah
Hao wa flow ndogo inawafaa.
Mimi huwa natumia siku za mwisho.
Kale kapackage kananifaa.
Ila siku za mwanzo aisee ni HQ ama Kuna nyingine zinaitwaje sijui,Ganda jeusi
Ndefu sana.
Hiyo lavy ndo yenyewe sasa .HQ siiwezi ule ubaridi wake unanifanya niwe uncomfortable, natumia Lavy,relief,cherish au softcare kama nikikosa hizo nyingine kabisa
yaani pad ni shida jamani kwanini hawa mashoga nao wasingepewa period waone heka heka tunayopitiaHiyo lavy ndo yenyewe sasa .
Kubwa.
HQ Ile harufu huwa inanifanya nijistukie,
Softcare inachubua.
Always ndogo,
Inanifaa siku za mwisho
Yaani hadi kumaliza nakuta nimetumia pakt 3
Kwani yeye ndo analeta bleed??Duh....ngoja waje wale waanze
Kukushushia lawama,kukupiga mawe
Az if umesema wewe kumbe siyo
[emoji1]
Ova
DuhHivi mtu anawezaje kaa na pad masaa8?
Si atachafuka chapachapa.
Wengine speed huwa kubwa siku za 2 za mwanzo kiasi kwamba unaweza change hata mara 20
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Itakuwa umejifungua hivi karibuni...Namshukuru Mungu almost mwaka.mzima.huu sijablee[emoji127][emoji1300][emoji2030]
Gentamycine upo nduguyangu?Waje taratibu nadhani Moto wangu wanaujua.
Kabisayaani pad ni shida jamani kwanini hawa mashoga nao wasingepewa period waone heka heka tunayopitia
Hili swali niliwahi muuliza mama,kuwa zamani walikuwa wanafanyajeTulivaa vitambaa miaka yote, unafua unaanika unapiga pasi unakitunza mwezi ujao unatumia hicho hicho.
Hatukujia UTI wala chochote
Umbea😂Huku nimefata nini.
Kabisa
Mashoga nao wangeexperience hata kwa miezi 3 tu
Wanadhani kuwa mwanamke ni shughuli ndogo .
Kwa kweli mimi zikikaribia siku naanza kuwazia[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tumbo linavyokata