Daktari wa Diploma ni bora kuliko yule wa degree

Unawaambia wasijenge chuki ikiwa wewe mwenyewe ushajenga chuki
 
Hakuna dakitari wa diploma. Dakitari by definition ni MD OR equivalent. Diploma holders ni CO au Bwana Mganga.
Sio bwana mgnga ni tabibu i have been a clinical officer for years ni ujinga tu most of time we are doing things in blinded eyes unafanya vitu kwa kukarir with poor reason and justification mtu anafanya kitu ukimuuliza kwa nn umefanya au kwa nn unatoa dawa hii anasema tunatoaga tu huwezi kumfananisha medical officer na clinical officer tuacheni uvivu let us go back to school
Ukiona mtu anakisifia ki diploma chake ujue hana qualification za ku join higher studies either ana gpa ya 2 au principle pass hana
 
Na walimu wa Diploma wapo vizuri sana kuliko degree. Msijiulize kwa nini waajiri wanawachukua vijana wengi wa Diploma kuliko degree msiseme diploma ni cheap kuliko wakiajiri degree ukweli vijana wa degree hawana kitu
Hizo nyingine sijui, ila hapa nakubaliana na wewe, hata mi nilishaona hii walimu wenye diploma wako vizuri sana kuanzia kwenye maadili na utendaji wao...
 
Kwa nini umeanza kumpa advantage ya muda huyo CO?! Vipi na mimi nikikuambia CO kaja kamkuta MD kazini?
Issue ni kuwa CO yuko kazini na MD yuko kazini, CO katoka chuo na MD katoka chuo.
Wazee kama ni maCO nendeni mkasome tu, mtakuja wenyewe kubadili mada hapa. Wanachosoma hadi kuwa maMD ni way above wanachosoma maCO
 
Bangi tu vijana hawa, CO anayejifunza kutoa dawa class A na B na kdg C aje afanane na MD, ndo maana bange inapigwa marufuku.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mtoa mada uwe serious kidogo.
Yaani vile ninavyojisikia faraja ninafika hospitali na kukutana na MD wacha kabisa...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mwingne yupo diploma, mwingne yupo advance watakutana degree na wa advance atatusua tyuuh, acha kabisa msuli wa PCB, usiufananishe na chochote.
 
Umemaliza kila kitu. Nimependa umeazia kua CO sio DR. Wapo wana utani na taaluma za watu. Dawa yao noi kuwaambia ukweli.
 
Ukweli mchungu huu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

Nna wasi wasi na mtoa maada yuko vizuri kweli
 
Nenda t
Iyo point shida GPA inasemaje pia O level glade
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…