Mtoa Mada acha inferiority issues hizo, hakuna kitu general kama hicho, na nnachoona mie hapa ni kuwa hivi:
1. MD (alimaliza Form Six akaenda kupiga Degree yake ya Udaktari) anakuja kuanza kazi leo anamkuta CO mwenye miaka kumi kazini halafu siku hiyo hiyo unawapima hawa watu kwa uwezo wa kazi hlf unaanza kumponda MD kweli?
2. Kama unataka kupima ubora na ujazo wa Maarifa kati ya MD na CO waweke ktk mizania moja huyo MD na CO wenye uzoefu wa miaka sawa kazini ndo utashangaa kwa majb utakayoyaona na utaanza kuwaheshimu vzr MDs
3. CO siyo Daktari unatakiwa ujue hilo, hivyo usirudie tena CO kumuita Daktari
4. Ubora ama uwezo wa mtu unakua determined na juhudi binafsi za mtu ktk field yake bila kujali kiwango chake cha elimu, hivyo tuache kuchonganisha ama kulinganisha makazini wale wenye Diploma vs wenye Degree, haya mambo ya kizamani sana tuyaache sasa