Daktari wa Familia: Membe amefariki kifo cha kawaida, puuzeni uzushi

Daktari wa Familia: Membe amefariki kifo cha kawaida, puuzeni uzushi

Maisha ni fumbo kubwa sana Yule aliyekuwa akitetemeka mwenye mvi...waliimba sana huyu ni wakuondoka kesho ila wale walikuwa na afya njema wakaenda Leo wamemuacha Bado yupo!...hii inatufundisha nn? Pumzika Kwa amani Membe... Jamani sijasema nimewaza tu Kwa sauti..[emoji1732][emoji1732][emoji125][emoji125]
 
View attachment 2619127
Daktari wa Familia ya aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Camilius Membe, Prof.Harun Nyagori, ameongelea kifo cha Membe kilichotokea leo katika Hospitali ya Kairuki Jijini Dar es salaam ambapo amesema Membe amefariki kifo cha kawaida na kuwataka Watu wapuuze taarifa zinazoenea mitandaoni kuwa ameuawa.

Dr. Haroun amesema “Dr.Membe amekuwa na afya zake njema katika miaka yote hakuwahi kuwa na ugonjwa wowote wa magonjwa sugu kama kisukari, magonjwa ya moyo, presha hakuwahi kuwa nayo”

“Jana alipata homa ndogo ya kifua, akipata shida ya kukohoa na kubanwa kifua na ilipofika usiku wa kuamkia alfajiri ya leo alishindwa kupumua ghafla akakimbizwa Hospitali”

“Kwa kifupi maradhi haya yanatokana na virusi ambavyo vinazunguka vinaingia kwa njia ya hewa vinasababisha mgando kwenye mfumo wa mapafu, damu inakuwa nzito hiyo ndio imesababisha kifo cha Mh.Membe”

“Tuondoe mawazo potofu ambayo yamekuwa yakizungumzwa mtandaoni kwamba aidha ameuawa au amepewa sumu na vitu kama hivyo, amekufa kifo cha kawaida ambacho Mtu yoyote aidha Mimi au wewe kinaweza kumpata”
Kwa maelezo haya ya daktari, Je, yaweza kuwa Covid 19?

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Zogo za mitandaoni zinatokana na sababu zifuatazo:

1. Wafuasi/mashabiki/washirika wake walishangilia kifo cha JPM kana kwamba wao ni immortals (hawatakuja kufa)

2. Ugonjwa wa kupumua uliokuwa ukitumika kumkejelia JPM ndio huo ulio muondoa BCM

3. Alishupaza shingo alipo ambiwa asamehe na viongozi wa kiroho...huku viongozi wa kiroho wakitukanwa na kukejeliwa na wafuasi/mashabiki wake
Namba tatu ilinisikitisha sana wakati neno kuu kwenye ukristu ni Upendo na Msamaha
 
Binadam aliyezaliwa na mwanamke hana siku nyingi za kuishi duniani,kila binaadam atakufa ni matter of time tu.


Yes aliamua, jasusi akarudi chamani May 2022 kabla ya hapo kulikuwa na dhoruba kali.



Imetulia tangu 2021 -03 - 17.
Basi sawa..

Wema hawafi
 
Japo nimemwelewa msemaji wa familia, lakini hoja iko palepale: hakuna ushahidi wowote kwamba ni kweli BM amefariki kwa ugonjwa wa kawaida.

Where is the evidence? Should we just take his mere words for it? What if he's lying?

Truth be told, ^changamoto ya kifua^ au ^changamoto ya upumuaji^ imesingiziwa sana vifo vya watu wengi, ambavyo most likely vimetokana na sababu nyinginezo.
 
Back
Top Bottom