lulu za uru
JF-Expert Member
- Aug 7, 2015
- 2,557
- 3,221
Dawa hazikuweza msaidia?
Hivyo virusi havikuogopa ukachero wake?
Basi wema hawafi"Viliogopa kama vilivyoogopa kwa JIWE."
Kama havikumuogopa marehem rais haviwezi kumuogopa kacheroHivyo virusi havikuogopa ukachero wake?
Kwa maelezo haya ya daktari, Je, yaweza kuwa Covid 19?View attachment 2619127
Daktari wa Familia ya aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Camilius Membe, Prof.Harun Nyagori, ameongelea kifo cha Membe kilichotokea leo katika Hospitali ya Kairuki Jijini Dar es salaam ambapo amesema Membe amefariki kifo cha kawaida na kuwataka Watu wapuuze taarifa zinazoenea mitandaoni kuwa ameuawa.
Dr. Haroun amesema “Dr.Membe amekuwa na afya zake njema katika miaka yote hakuwahi kuwa na ugonjwa wowote wa magonjwa sugu kama kisukari, magonjwa ya moyo, presha hakuwahi kuwa nayo”
“Jana alipata homa ndogo ya kifua, akipata shida ya kukohoa na kubanwa kifua na ilipofika usiku wa kuamkia alfajiri ya leo alishindwa kupumua ghafla akakimbizwa Hospitali”
“Kwa kifupi maradhi haya yanatokana na virusi ambavyo vinazunguka vinaingia kwa njia ya hewa vinasababisha mgando kwenye mfumo wa mapafu, damu inakuwa nzito hiyo ndio imesababisha kifo cha Mh.Membe”
“Tuondoe mawazo potofu ambayo yamekuwa yakizungumzwa mtandaoni kwamba aidha ameuawa au amepewa sumu na vitu kama hivyo, amekufa kifo cha kawaida ambacho Mtu yoyote aidha Mimi au wewe kinaweza kumpata”
Basi wema hawafi
Mungu ameamua ugomvi
Bahari imetulia
Namba tatu ilinisikitisha sana wakati neno kuu kwenye ukristu ni Upendo na MsamahaZogo za mitandaoni zinatokana na sababu zifuatazo:
1. Wafuasi/mashabiki/washirika wake walishangilia kifo cha JPM kana kwamba wao ni immortals (hawatakuja kufa)
2. Ugonjwa wa kupumua uliokuwa ukitumika kumkejelia JPM ndio huo ulio muondoa BCM
3. Alishupaza shingo alipo ambiwa asamehe na viongozi wa kiroho...huku viongozi wa kiroho wakitukanwa na kukejeliwa na wafuasi/mashabiki wake
Basi sawa..Binadam aliyezaliwa na mwanamke hana siku nyingi za kuishi duniani,kila binaadam atakufa ni matter of time tu.
Yes aliamua, jasusi akarudi chamani May 2022 kabla ya hapo kulikuwa na dhoruba kali.
Imetulia tangu 2021 -03 - 17.
Mkuu, hawa mbwa wametukana sana kipenzi chetu Mwamba wa chato,Usiseme Hivyo Mkuu
Hua ukiasi usalama wa Taifa ni lazima ufe kwa namna yoyote