Bachelar of Medicine
Bachelar of Surgery
r.i.p Dr.Zhang 🐒View attachment 3374554
Tumempoteza daktari bingwa wa dawa za usingizi hospitali ya taifa Muhimbili. Dr.Zhang Junqiao amefariki juzi tarehe 15/06/2025 huko Kigamboni baada ya kuzama majini wakati akimuokoa mwananchi aliyekuwa anazama. Siku ya tukio Dr.Zhang alimuona mwananchi akizama na yeye kuamua kujitosa majini kumuokoa. Alipomfikia alimpatia jaketi lake la kuogelea na yeye kwa kuwa ni mzoefu akaogelea bila jaketi. Raia aliyekua akizama alifanikiwa kuokolewa, lakini maji yalimzidi nguvu Dr.Zhang akazama na kupoteza maisha.
Dr.Zhang alikuwa daktari Bingwa wa Dawa za Usingizi na Ganzi (Anesthesiologist), raia wa China aliyekuwa anafanya kazi katika Hospitali ya Taifa Muhimbili. Dr.Zhang alikua alikua na shahada ya udaktari wa binadamu (Bachelor of Medicine) Shahada ya upasuaji (Bachelor of Surgery), shahada ya umahiri katika matibabu ya ndani (Master of Internal Medicine) na shahada ya umahiri katika dawa za usingizi (Master of anesthesiology). Pia alikua na cheti cha ithibati ya kimataifa cha kuhudumu kama daktari bingwa wa dawa za usingizi katika nchi zaidi ya 100 duniani (NMLE).
Dr.Zhang atakumbukwa kwa mchango wake mkubwa wa kuhudumia jamii ya watanzania, pamoja na umahiri wake kufundisha njia mpya za dawa za usingizi na ganzi. Atakumbukwa pia kwa ucheshi wake, uchangamfu wake na passion yake katika kazi. Dr.Zhang amekufa kishujaa akijaribu kuokoa maisha ya Mtanzania mwenzetu aliyekua akizama. Huu ni upendo wa ajabu. Dr.Zhang amefariki akiwa na umri wa miaka 38. Tumuombee pumziko la amani.!
Malisa
Ni kweli, mfumo wetu wa elimu unatuchukulia muda sana. Mtu anakuja kutumikia nchi miaka michache ana staafu. Hasa katika taaluma zinazohitaji umahiri wa hali ya juu kama za medicalAisee
Bachelar of Medicine
Bachelar of Surgery
Mmed internal medicine
Mmed anasthelogy
Halafu ana umri wa miaka 38
Kweli sisi bongo tunapoteza sana muda shuleni kwa elimu hizo zote angekua babu kama angesomea Bongo.
R.I.P specialist
Apumzike kwa amani Dr
Mpuuz tu. Bongo ukipata buyu piga kimya kimya. Sembuse kwenda kumuokoa boya aliyejitakia?View attachment 3374554
Tumempoteza daktari bingwa wa dawa za usingizi hospitali ya taifa Muhimbili. Dr.Zhang Junqiao amefariki juzi tarehe 15/06/2025 huko Kigamboni baada ya kuzama majini wakati akimuokoa mwananchi aliyekuwa anazama. Siku ya tukio Dr.Zhang alimuona mwananchi akizama na yeye kuamua kujitosa majini kumuokoa. Alipomfikia alimpatia jaketi lake la kuogelea na yeye kwa kuwa ni mzoefu akaogelea bila jaketi. Raia aliyekua akizama alifanikiwa kuokolewa, lakini maji yalimzidi nguvu Dr.Zhang akazama na kupoteza maisha.
Dr.Zhang alikuwa daktari Bingwa wa Dawa za Usingizi na Ganzi (Anesthesiologist), raia wa China aliyekuwa anafanya kazi katika Hospitali ya Taifa Muhimbili. Dr.Zhang alikua alikua na shahada ya udaktari wa binadamu (Bachelor of Medicine) Shahada ya upasuaji (Bachelor of Surgery), shahada ya umahiri katika matibabu ya ndani (Master of Internal Medicine) na shahada ya umahiri katika dawa za usingizi (Master of anesthesiology). Pia alikua na cheti cha ithibati ya kimataifa cha kuhudumu kama daktari bingwa wa dawa za usingizi katika nchi zaidi ya 100 duniani (NMLE).
Dr.Zhang atakumbukwa kwa mchango wake mkubwa wa kuhudumia jamii ya watanzania, pamoja na umahiri wake kufundisha njia mpya za dawa za usingizi na ganzi. Atakumbukwa pia kwa ucheshi wake, uchangamfu wake na passion yake katika kazi. Dr.Zhang amekufa kishujaa akijaribu kuokoa maisha ya Mtanzania mwenzetu aliyekua akizama. Huu ni upendo wa ajabu. Dr.Zhang amefariki akiwa na umri wa miaka 38. Tumuombee pumziko la amani.!
Malisa
Watu mlioishia la 7 mna chuki kweliMpuuz tu
Nin la 7 sijaisoma kabisaWatu mlioishia la 7 mna chuki kweli
Hatimae tumepata mtu ambae sanamu yake inapaswa kujengwa posta,huyu siyo tu apumzike kwa amani
Sijatoa wazo hili nikiwa na tope la kibaguzi kichwani mwangu! Umeenda extra miles kwa sababu umeathiriwa na unyanyapaa wa aina Fulani, ,,, unahitaji tabibu ili uwe kama Mimi, yaani mwarabu,mchina ,mzungu na mwafrika wote uwaone kama watu, wakikosea uwahukumu kwa utu wao, na wakipatia uwahukumu kwa utu wao siyo rangi,Ndio maana serikali imependekeza M-Nigeria apewe jina la barabara ya kuzunguka Dodoma. Eti katoa hela za African Dev Bank. Kama za kwake vile.
Waafrika tuna funza vichwani.
Mataifa huwa hayajengi sanamu za wageni katikati ya miji yao kwa sababu inaleta madhara ya kisaikolojia kwenye jamii tokea watoto, kwamba wageni ndio binadamu bora, na wenye uwezo zaidi.
Mimi nimewahi kushuhudia polisi anakufa mbele yetu akizama kumuokoa kijana mmoja. Maji yakamzidi, wakafa wote wawili. Nina trauma ya hilo tukio mpaka kesho. Lakini yule Mswahili hakusemwa ajengewe sanamu ila Mchina
Hakuna duniani utakuta sanamu au jina la barabara kapewa Mtanzania.
Tuache kusujudia watu wa mataifa mengine. Nyerere alitupotosha kuwapa majina ya mitaa kina dikteta Soko Toure, alikuwa kijana mdogo hana busara wakati anafanya uchawa huu.
kwa sababu umeathiriwa na unyanyapaa wa aina Fulani, ,,, unahitaji tabibu ili uwe kama Mimi, yaani mwarabu,mchina ,mzungu na mwafrika wote uwaone kama watu, wakikosea uwahukumu kwa utu wao, na wakipatia uwahukumu kwa
Pole sana mkuu! Unahitaji matibabu , athari za utumwa,ukoloni bado zinakutafuna
HWewe ndio mgonjwa, indoctrinated, brainwashed, hoodwinked, led astray, umepotoshwa na umeathirika na makuzi ya kudanganywa mawazo potofu ya kujifanya hatubagui na kwamba watu wote wa dunia ni sawa. Hiyo ipo Afrika tu, na zaidi Tanzania ndio tunasujudia binadamu wengine. Unajipendekeza kwa watu ambao wewe wanakuona nyani au kinyesi.
KAMA.WATU WOTE NI SAWA, NA HUBAGUI, KWA NINI ULIKATAA KUTAWALIWA NA MKOLONI ?
NA KWA NINI UNA SHERIA INAYO DEFINE URAIA WA WATU WA NCHI HII ??? NA KUWANYIMA WAGENI VITU KAMA VIWANJA ?????
Inasikitisha, hizi pia ni dalili🤔🤔si unitukane kwa kibantu kama kweli wewe ni mzima🤣🤣🤣Wewe ndio mgonjwa, indoctrinated, brainwashed, hoodwinked, led astray,
R.I.P the real MzalendoView attachment 3374554
Tumempoteza daktari bingwa wa dawa za usingizi hospitali ya taifa Muhimbili. Dr.Zhang Junqiao amefariki juzi tarehe 15/06/2025 huko Kigamboni baada ya kuzama majini wakati akimuokoa mwananchi aliyekuwa anazama. Siku ya tukio Dr.Zhang alimuona mwananchi akizama na yeye kuamua kujitosa majini kumuokoa. Alipomfikia alimpatia jaketi lake la kuogelea na yeye kwa kuwa ni mzoefu akaogelea bila jaketi. Raia aliyekua akizama alifanikiwa kuokolewa, lakini maji yalimzidi nguvu Dr.Zhang akazama na kupoteza maisha.
Dr.Zhang alikuwa daktari Bingwa wa Dawa za Usingizi na Ganzi (Anesthesiologist), raia wa China aliyekuwa anafanya kazi katika Hospitali ya Taifa Muhimbili. Dr.Zhang alikua alikua na shahada ya udaktari wa binadamu (Bachelor of Medicine) Shahada ya upasuaji (Bachelor of Surgery), shahada ya umahiri katika matibabu ya ndani (Master of Internal Medicine) na shahada ya umahiri katika dawa za usingizi (Master of anesthesiology). Pia alikua na cheti cha ithibati ya kimataifa cha kuhudumu kama daktari bingwa wa dawa za usingizi katika nchi zaidi ya 100 duniani (NMLE).
Dr.Zhang atakumbukwa kwa mchango wake mkubwa wa kuhudumia jamii ya watanzania, pamoja na umahiri wake kufundisha njia mpya za dawa za usingizi na ganzi. Atakumbukwa pia kwa ucheshi wake, uchangamfu wake na passion yake katika kazi. Dr.Zhang amekufa kishujaa akijaribu kuokoa maisha ya Mtanzania mwenzetu aliyekua akizama. Huu ni upendo wa ajabu. Dr.Zhang amefariki akiwa na umri wa miaka 38. Tumuombee pumziko la amani.!
Malisa
kabisa!Kwa profile yake huyu alikuwa jasusi tu. Anyway Rest easy dr.