Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 19,009
- 22,509
Hajakutana na kina mobeto akaacha hata copy.
Si ndo Nimewaza hapo mkuu😂Yani hapo mimi master yangu itanikuta naitafuta 40 sahv Nina degree mojaAisee
Bachelar of Medicine
Bachelar of Surgery
Mmed internal medicine
Mmed anasthelogy
Halafu ana umri wa miaka 38
Kweli sisi bongo tunapoteza sana muda shuleni kwa elimu hizo zote angekua babu kama angesomea Bongo.
R.I.P specialist
Uhai haupimwi kwa uhai , kwa mungu wote sawa ila sasa ukute aliyeokolewa ni mtu kama Mwijaku au lucas mwakachambaAisee
Bachelar of Medicine
Bachelar of Surgery
Mmed internal medicine
Mmed anasthelogy
Halafu ana umri wa miaka 38
Kweli sisi bongo tunapoteza sana muda shuleni kwa elimu hizo zote angekua babu kama angesomea Bongo.
R.I.P specialist
Wachache saaaana.RIP Jasusi
Ahsante.Mara nyingi ni vyote viwili. Uzito wako unachangia kuvutwa chini.
Mikondo ya aina hii pia iko kwenye maziwa yaliyo lif valley. Kwa mfano kule Mbeya, Matema Beach, Ziwa Nyasa. LIle ziwa lina valley na cliff face ukisogea mbele, ambako kuna mkondo mkali. Watu wengi sana wanakufa wakiwa wakiogoelea na kusogea mbele ndani ya ziwa, kwa kuwa hata ukiwa fundi wa kuogelea huwezi kushindana na mkondo huo. Maziwa kama haya ya Lake Nyasa ni vema kuogelea kandokando ya ziwa, ni hatari sana kwenda ndani - yaani kuna cliff ambayo huioni kwa juu, na ukifika ukingoni mwa hiyo cliff utavutwa
Lake Nyasa liko hivi
View attachment 3374990
Kitu chochote ambacho kinakufanya uelee kitakusaidia usizameAhsan
Ahsante.
Unadhani kwa nini mtaalam kasindwa na maji mwananchi kaokoka ? Ni lile jacket alilotupiwa ?
Ni life jacket au jacket la dereva boda ??
Ingekuwa ni habari ya uzunguni tungepewa hizi details za hatari ya hiyo bahari. Sio ma degree ya Mchina. Kwenye suala la janga na ajali Ma degree ya Mchina yanatusaidia nini ???
Hatimae tumepata mtu ambae sanamu yake inapaswa kujengwa posta,huyu siyo tu apumzike kwa amani ila Nina uhakika atapumzika kwa amani,. ......... Ameyapoteza maisha yake kwa ajili ya wengine,ukoo wa yesu mwenyeweView attachment 3374554
Tumempoteza daktari bingwa wa dawa za usingizi hospitali ya taifa Muhimbili. Dr.Zhang Junqiao amefariki juzi tarehe 15/06/2025 huko Kigamboni baada ya kuzama majini wakati akimuokoa mwananchi aliyekuwa anazama. Siku ya tukio Dr.Zhang alimuona mwananchi akizama na yeye kuamua kujitosa majini kumuokoa. Alipomfikia alimpatia jaketi lake la kuogelea na yeye kwa kuwa ni mzoefu akaogelea bila jaketi. Raia aliyekua akizama alifanikiwa kuokolewa, lakini maji yalimzidi nguvu Dr.Zhang akazama na kupoteza maisha.
Dr.Zhang alikuwa daktari Bingwa wa Dawa za Usingizi na Ganzi (Anesthesiologist), raia wa China aliyekuwa anafanya kazi katika Hospitali ya Taifa Muhimbili. Dr.Zhang alikua alikua na shahada ya udaktari wa binadamu (Bachelor of Medicine) Shahada ya upasuaji (Bachelor of Surgery), shahada ya umahiri katika matibabu ya ndani (Master of Internal Medicine) na shahada ya umahiri katika dawa za usingizi (Master of anesthesiology). Pia alikua na cheti cha ithibati ya kimataifa cha kuhudumu kama daktari bingwa wa dawa za usingizi katika nchi zaidi ya 100 duniani (NMLE).
Dr.Zhang atakumbukwa kwa mchango wake mkubwa wa kuhudumia jamii ya watanzania, pamoja na umahiri wake kufundisha njia mpya za dawa za usingizi na ganzi. Atakumbukwa pia kwa ucheshi wake, uchangamfu wake na passion yake katika kazi. Dr.Zhang amekufa kishujaa akijaribu kuokoa maisha ya Mtanzania mwenzetu aliyekua akizama. Huu ni upendo wa ajabu. Dr.Zhang amefariki akiwa na umri wa miaka 38. Tumuombee pumziko la amani.!
Malisa
Kweli alimpenda jirani yake kama nafsi yake!View attachment 3374554

Miaka hiyoo ya 1980's-90's tulipokuwa tukienda kijijini kuwasalimu wanakijiji ...... mle kijijini kulikuwa na mtoUmesikia wapi mkuu
Wema hawana maisha- PATRICK BALISIDYAInasikitisha sana watu wote wenye utu Huwa hawakai
AI ishafanya yake.