Eeh mkuu, kuna wataalamu wa urologist pale Muhimbili na Aga Khan wapo vizuri sana. Mimi nilikwisha mwambia rafiki yangu akatibiwa na akapata matokeo mazuri, usijali ni kawaida kuuliza, afya ya mwanaume ni muhimu kuliko kila kitu. safi sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.